Search results

  1. M

    Wachina 150 katika mradi wa barabara ya km 65 je wote hawa ni wataalamu au ni siasa?

    Ni kweli kwa hili inashangaza uwingi wa Chinese kwa kipande hicho cha barabara ,kwa haraka ina maana kwa suala la usimamizi kila mchina pale anasimamia si zaidi ya nusu km. Hata hivyo uzalendo wa kutaka kuona tunapata vitu vizuri ikiwemo barabara bora ndiyo unatufikisha hapa,kwani wizi wa hata...
  2. M

    Chupi imeleta kizaazaa

    Duuh,pole sana,tatizo ni kufikiri kilichofunikwa na chupi na si chupi kama nguo. Maana wakati anakupelekea maji bafuni,si alihakikisha upo pekee yako na binti jirani hayupo. Labda uhandsome wako unachangia kutokujiamini kwa mkeo,muache apumzike kidogo hasira na kihoro vipungue,baadaye umueleze...
  3. M

    Godbless Lema aunguruma uwanja wa NMC Arusha

    siku zote mjinga huona wenzake wajinga,hakuna maendeleo pasina haki,wanachokifanya leo watoto na wajukuu zako watavifaidi ili hali wewe,ukificha sura yako kwa aibu ya kuwa mwoga.
  4. M

    Wizi arusha......

    Pole sana kwa yaliyokukuta ,ukosefu wa ajira kwa kweli umechangia ongezeko la uhalifu katika jiji zuri kama hili,haswa maeneo hayo ya Metropole,Friends Corner,Shoprite kuelekea Mbauda kwa kweli ni shida. Ni kuwa muangalifu sana.
  5. M

    Godbless Lema aunguruma uwanja wa NMC Arusha

    Kwa taarifa nilizotumiwa hivi punde,eneo la Majengo barabara ya kuelekea Kisongo alipo shujaa wetu,kuna takribani pikipiki(boda boda) zaidi ya mia mbili zikisubiri kumlaki Kamanda Lema. Mnaoelekea huko msisahau jani linaloitwa "Sale" kuelezea Amani na Ushindi wetu,mpka sasa hakuna taarifa ya...
  6. M

    Hongera Mh.Lema kwa uamuzi wako

    Kamanda ni ngumu sana kudeal na mtu aliyezoea kukaririsha,ikitokea hesabu kafundishwa 2+2=4 na kwenye mtihani likatoka 3+1= atasema hawajafundishwa. Hivyo wapotezee kamanda
  7. M

    ameniomba nimsamehe

    Msamehe na mkae chini mzungumzie hilo suala,maana kulaumiana kila wakati siyo kujenga huko.
  8. M

    ameniomba nimsamehe

    ndiyo binadamu hao kigeugeu ni tabia yao
  9. M

    Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

    The Young and the Restless
  10. M

    Lema kuwatoa wafungwa gerezani

    Safi sana kamanda ni jambo zuri hilo kuwasaidia wanyonge,machozi yanayotiririka katika mioyo ya wanyonge wengi bila kuonekana katika nyuso zao ,ni fimbo tosha kwa hawa fedhuli wa fadhila. Na Mungu hatatuacha wenye haki katika safari ya ukombozi
  11. M

    Wazo la kujiajiri

    Thanks mkuu sijaona kitufe hapo sijui vimekwenda wapi,Be Blessed kwa mchango wako
  12. M

    Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

    Yaani wewe sijui una nini kwenye ubongo wako kuna watu wengine wakifa bongo zao tutatengenezea kiwi,ili tujaribu kama viatu vyetu vitapata mng'ao baada ya ukombozi,Zito huko anaendelea kupata huduma na sisi huku tunaendelea na mapambano akirudi tunaendeleza mapambano wewe ng'aka tu kama nyati...
  13. M

    Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

    Waliozoea kudhalilishwa huwa hawaoni hata wakivuliwa nguo mbele ya watoto,kuimarisha chama ni jambo endelevu haimaanishi tukae tunyamaze na kuinamisha vichwa chini eti kwasababu ni kichanga,hata mtoto ili atembee lazima apitie changamoto mbali mbali ,hivyo kutudhalilisha siyo sababu ya...
  14. M

    Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

    Naitamani sana siku ile ya Ukombozi ambaye imewadia,imefika mwisho kwa mtu mtumishi anayelipwa kwa kodi yangu kuniita mimi panya. Naamka asubuhi ili kuhakikisha na yeye na familia yake mkate unakuwa mezani,leo kaota mapembe kwa kujifunza kutumia silaha,na kufunikwa na ulimbukeni wa kusifiwa na...
  15. M

    Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

    Sishangazwi na wewe maana katika msafara wa ukombozi wasaliti hawakosekani,itafika wakati utajua fikra zetu wana Arusha zimekomaa,ni wakati tutakapoikomboa Tanzania
  16. M

    Wazo la kujiajiri

    Mkuu naomba ufafanuzi hapo kwenye input,process na output kwa uelewa zaidi.
  17. M

    Kwa hili, Rostam Aziz hutasameheka

    Haya yote aliyofanya RM kwa wana Igunga kwa kutumia mtaji wa Ujinga/Sintofahamu ipo siku haitafika kizazi cha nne,na matokeo ya Uchaguzi wa Igunga umeonesha jinsi gani watu wamechoshwa na hali hiyo. Lakini mapambano haya yanawahitaji wana Igunga kwa ushirika na wenye Uzalendo,wasitumike kama...
  18. M

    Nataka kujiunga chadema ili nigombee ubunge 2015

    Karibu sana kwenye chama,kwa kuwa bado hujajiunga na chama,maeneo unayoishi,tafuta uongozi wa CDM Kata ili uweze kujipatia kadi unahitajika tu kuwa na picha (passport Size) na shilingi elfu na mia tano ambayo ni kiingilio pamoja na ada. baada ya hapo uwe karibu na uongozi wa eneo lako unaloishi...
  19. M

    inahitajika mashine ya kufyatua matofali

    Sijajua uko panda gani ya TZ lakini kwa hapa Arusha kuna E.J.K Engineering Works ya kaka anaitwa Elibariki,complite nikiwa na maana Mixer pamoja na ya kufyatulia matofali inatoa matofali mawili hadi matatu,kiutaalamu sijui vinaitwaje lakini kwa maelezo haya utanielewa, katika hiyo mashine...
Back
Top Bottom