Search results

  1. Kuchakuro Ps

    Unaombwa kutoa Ushauri kwa huyu ndugu yetu. Je, amuoe huyu binti?

    Wakuu Salam, Kijana mmoja alikuwa anataka kuoa binti mmoja kutoka kabila...lakini Wazazi wakakataa. Baada ya Wazazi kuona speed ya kijana wao kutaka kumuoa huyo binti wasiemtaka inashika Kasi, wakatafuta binti wanae mtaka Kwaajili ya kijana wao, wakatuma barua ya posa na Sasa maandalizi ya...
  2. Kuchakuro Ps

    Sheria Inasemaje kuhusu biashara ya ngono?

    Wakuu Salam, Biashara tajwa ni moja Kati chanzo kikuu cha mapato kwa dada zetu wengi na walio Warembo wamijini. Wengine mpaka wamejenga nyumba nzuri tu, na Wana drive gari kalikali mijini. Hii biashara inafanywa waziwazi tu, kwahiyo hatuwezi kusema ni biashara haramu hii. Kwahiyo, Sambamba na...
  3. Kuchakuro Ps

    Wanawake wanawafanyia nini wanaume wakisha waoa?

    Wakuu Salam, Nina marafiki zangu kadhaa walioamua kuondoka katika lililokuwa chama letu la mabachala. Baadhi ya tabia wanazo zionesha huwezi kushangaa kwani kawaida. Mfano kutokuhudhuria maeneo mliokuwa mnatulia Mara kwa Mara nk. Lakini maswali yanakuja pale unapomuona akipokea simu ya mke wake...
  4. Kuchakuro Ps

    Wanawake wazuri wafanye nini ili wafae kwa doa?

    Wakuu Habari gani? Nyuzi nyingi humu JF zina tahadharisha juu ya hatari na madhara ya kuwa na mwanamke mzuri na mrembo. Wanaume wengi wangependa kuwa na mahusiano na Wanawake wa aina hiyo, lakini inaonekana wengi wanakuwa malaya kuliko kuwa Wanandoa. Wafanye nini, ili wafae kuwa akina Mama Bora...
  5. Kuchakuro Ps

    Hizi hali katika maisha zinazotesa watu wengi

    Wakuu Salam, Nini kifanyike ili kuondokana nazo? The following Life situations happen to people when they are false identified. Being identified by that which they are not .(Identification through your thoughts) In this form of identification, one is identified by his or her position at work...
  6. Kuchakuro Ps

    Inawezekana kufaulu usaili wa sekretarieti ya ajira halafu Ofisi au Taasisi husika kumkataa muhusika baada ya jina lake kupelekwa?

    Nina rafiki yangu anasema aliitwa kazini katika Ofisi moja ya serikali baada ya kufaulu kwenye usaili, lakini akaambiwa hatakiwi kwani hawajui ni vigezo gani sekretarieti wamevitumia kufanya recruitment.
  7. Kuchakuro Ps

    Hivi wazungu hawafundishwi chochote kuhusu ustarabu wetu kabla ya kuingia nchini?

    Wakuu Salama? Nilikuwa nashiriki Misa ya Pasaka katika Kanisa fulani Leo. Wakati Misa inaendelea wamekuja Hawa wenzetu kutoka nchi za Magharibi wakiwa katika mavazi ambayo Vijana na Mabinti zetu waki Tanzania huvaa ama wakiwa Beach, Disco, au Huko kwenye Vilabu vya pombe. Sasa hawa watu weupe...
  8. Kuchakuro Ps

    Sifa ya Uzoefu kwenye nafasi mbalimbali za kazi zinazotangazwa

    Ndugu Wana Jf Kwenye matangazo mengi ya kazi tunayokutana nayo mitandaoni, matangazo mengi yanataka Uzoefu. Sasa kinachoshangaza kwenye matango mengi Uzoefu ni miaka 3,5, mpaka 10. Unakuta wakati mwingine tangozo lenyewe ni la Internship. Maafisa waajiri mlioko humu tushaurini tukikutana na...
  9. Kuchakuro Ps

    Uwajibikaji Maofisini bado ni hafifu

    Haiwezekani, pamoja na changamoto kubwa ya ajira unawaona walioko Maofisini hawawajibiki ipasavyo. Unakwenda ofisini unamueleza muhusika shida yako yeye yuko mbaaaali, anaitika Mara mbilimbili unasemaje? Anabembea kwenye kiti, Mara ajizungushe huku Mara huku katoa macho tu! Baadae ndo anakuja...
  10. Kuchakuro Ps

    KUNA SIRI GANI KATIKA KUFANYA MAPENZI?

    Ukipita katika mitandao mbalimbali ya kijamii mijadala ya MAPENZI inaoneka kuwa na mashabiki wengi Sana ukilinganisha na maada nyingine. Humu mitandaoni na katika apps store mbalimbali kumekuwa na Wimbi kubwa la Mabinti wakiwa wamevalia vijichupi, sio chupi. Mapaja yamepakwa Mafuta ya mgando...
Back
Top Bottom