Search results

  1. nikolas digala

    Msaada: Mbegu hii ya Mahindi inaitwaje?

    Wadau.. Hii ni mbegu ya mahindi ambayo niliichukua kwa rafiki yangu Lakini yeye hajui ni aina gani hakumbuki kifupi. Mimi nimepata kujua ni mbegu bora ya mahindi, lakini ni aina gani hasa kitaalamu sababu wadau wengi wananiulizia jina lake wameipemda. Msaada kwa yeyote mwenye idea. Sent...
  2. nikolas digala

    Nijuzeni kuhusu chuo cha Chimala nursing Mbeya

    Habari wakuu.. Msaada kwa anayefahamu chuo cha nursing kinaitwa CHIMALA kipo MBEYA kimesajiliwa na kinatambulika na serikali maana sina imani na vyuo hivi kuna mtu anataka kwenda kusoma huko. msaada wenu wadau.[emoji120] [emoji120]
  3. nikolas digala

    Utani wa ngumi..

    Nilifikiri nimeona maajabu yote kwa dunia hii.. but jana ninemwona kijana mmoja mwenye umri wa miak 16 kaingia baa na kuagiza 4 bottle of heineken na kuzinywa zoote na kukuanza kuondoka, muhudumu wa baa alimsimamisha na kumtaka alipie huduma aliyoipata ..bila kuchelewa jamaa alitoa chet chake...
  4. nikolas digala

    Staajabika na Kim Jong-Un (almaarufu kwa jina la kiduku) Rais wa Korea Kaskazini

    Kim Jong- Un ni mtoto wa tano na wa mwisho katika uzao wa Kim Jog-Il (Rais wa pili wa Korea Kaskazini). Kwa sasa ndiye kiongozi wa nchi hiyo na alichukua cheo hicho baada ya kifo cha baba yake Dec 19, 2011. Kim Jong-Un anatajwa kuwa mmoja wa viongozi wenye msimamo mkali hasa kwa nchi za...
  5. nikolas digala

    Mwanaume bora

    zifa za mwanaume bora n hiz.. 1.hanywi pombe 2. Havuti sigara 3. Mkweli 4. Mchamungu 5. Hachepuki 6. Handsome 7. Mpole 8. Ana hela 9. Anajua mapenzi 10. HAYUPO DUNIANI Sisi wa Duniani tuvumiliane tu maana vita ya kumtafuta mume bora haijawahi mwacha mtu salamaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]...
  6. nikolas digala

    Level of wichcraft

    kuna watu katika marafiki ulionao ambao wanaangalia na kukagua page yako kila cku., lakini hakuna like wala coments ya aina yyte..balaa zaid n kwamba wameshindwa hata kukufuta maana wanaogopa sana watashindwa kupata updates unazopost wakifatilia kwa makini kitu gan unafanya.. Level ya uchawi ktk...
  7. nikolas digala

    Njia mpya ya kuwalinda wanawake

    Kutembea na wasichana wengi ni mbinu mpya ambayo inaweza kumlinda mwanamke wako unayempenda zaidi asivamiwe na maadui zako.. Ingawaje n ngumu kwa mwanamke kuelewa hii mbinu.. atabaki amekununua wakati unamsaidia[emoji3] [emoji3] [emoji4] wisdom will kill me[emoji23] [emoji23]
  8. nikolas digala

    Top 10 ya list wanaoongoza kucheat ktk mahusiano

    Top 10 ya watu wanaosemekana ni rahisi zaid ama wanaongoza katika cheat.( kutoka nje ya mahusiano) na kiwango chake % 1.Financial (Wafanyakaz wa benki. bankers, analysts) 21% 2.Aviation( Pilots, na wahudumu wa ndege) 19% 3. Healthcare (Doctors, nurses, nursing assistants) 15% 4. Business...
  9. nikolas digala

    Wadada hamuwezi mkawa seriously

    Wadada bhan..;Utasikia mwanamke anahitaji matunzo mara utasikia mashine yako kasagie mahindi[emoji13] [emoji13] Swali linakuja ikiwa Baba ako kashindwa kukutunza mpaka kaamua kukubadilisha na Ng"ombe[emoji28] [emoji28] [emoji28] mm ntawezaje akili zang nazijua mwenyew[emoji3] [emoji3]...
  10. nikolas digala

    True story: Usimhukumu yeyote bila kujua historia ya maisha yake

    Daktari aliingia hospitalini kwa haraka sana baada ya kuitwa kwa shughuli ya Upasuaji wa haraka, alipokea simu haraka, na kuvaa nguoza kazi na kuelekea moja kwa moja kwenye chumba cha upasuaji. Wakati akielekea kwenye chumba cha upasuaji alimkuta Baba wa mtoto anazunguka huku na huku karibu na...
  11. nikolas digala

    Tetesi za soccer ulaya leo J"tano 16th aug.

    TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATANO 16.08.2017 Chelsea wanajiandaa kutoa pauni milioni 50 kumsajili beki wa Tottenham Danny Rose, 27, baada ya mchezaji huyo kushutumu sera za usajili za Spurs. (Sun) Tottenham wamefikia makubaliano na PSG kumsajili beki Serge Aurier, 24, ambaye alikuwa akifuatiliwa na...
  12. nikolas digala

    Weed hazijawah muacha mtu salama

    Wakati wew unatamani baba ako angekuwa Billigate; baba ako nae anatamani angekuwa Mbwana samatta Hapo ndipo ujue shetan anacheza na akilizenu wote wawili[emoji23][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. nikolas digala

    Njia mpya ya kumpata umpendae

    Acha kumwuliza mwanamke kama ana boyfriend, mtoe out mnunulie msosi, kinywaji, mfanye acheke, mnunulie kila anachokihitaji kam n sim, nguo na vingne then mwache achague mwenyew kama yuko single ama double.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akili zangu nazijua mwenyew.. Sent using Jamii...
  14. nikolas digala

    Innovation is life

    Dating many girls is just a way of confusing your enemies from attacking your main girl.. But many ladies will not understand this strategy[emoji3] [emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  15. nikolas digala

    Innovation..

    The best strategy to win an argument Is to have mouth odor.. You will see your opponents Nodding their heads on whatever you say... Sent using Jamii Forums mobile app
  16. nikolas digala

    Life is not fear

    Been dumped by a girl you really love so much and you don't know what to say to change her mind. You end up saying: "Baby I Am pregnant"[emoji30] [emoji30] [emoji30] Sent using Jamii Forums mobile app
  17. nikolas digala

    That"s crazzy

    Your relationship doesn't need to make sense to anyone, except you and your partner. It's a relationship, Not a community project[emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom