Kaka umechanganyikiwa na kuvurugika kabisa! Unachofanya ni kujaribu kutulisha udini wako! Tanzania ina dini nyingi usitake kufanya watu wawe watumwa wa dini zao!!!!! Mbona kulikuwa na wimbo wa mtoto iddi na nyingine nyingi tu!!! Watu kaka wewe ndo wana akili za "Alshabab"! Fikra zako ni...
Kiongozi inabidi ushangae kweli! Waschana wengi hupoteza bikra zamostly at the age 12-13! "Cha baba na mama", mangi, kale kabf kake primary sch, mwl wa second, konda ila apate daladala kila asbh! Nk! Wanazaliwa na bikra ndio ila nahisi za cku hizi hung'oka kama meno ya utotoni! So ukimpata mmoja...
Ndo maana huwa siwaamini eti "wasomi wa kike"...60% huwa wapitishwa kiujanjaujanja tu! Unamkuta dada kwenye posti kubwa lakini mambo anayoyaongea ni sawa na bibi yangu kule kijijini! Ila sio kosa lao..wengi wamezoea kubebwa kuanzia hom so wanategemea mbeleko tu! To b honest I trust only 40% of...
Jogoo liwike au lisiweke asubuhi itafika tu! CCM itatoka either kwa maandamano or bila maandamano! I time will come when we'll have a new party at statehouse and that party will not b CCM, for sure! And that time is around the turn! Mi nshachoka na manyanyaso!
Sent from my BlackBerry using...
Watajadili nini sasa? Au neno "hoja binafsi" libadilishwe liwe "hoja za wananchi"? Au CCM haitaki kuhojiwa? Ushaona wapi kiongozi anaogopa maswali...I think member mshaona akili ya hawa imefikia wapi. 2015 tusifanye ajizi, toa tupa kule. Wakatae hoja binafsi vyumbani mwao.ile ni sauti ya umma...
Technicaly i think waaliimu wapo kwenye mgomo baridi (go slow)! Huwezi kunishawishi eti katika shuke zote hizo watoto ni wajinga wote so wameshindwa kufaulu. Nawalaumu waalimu na serikali kwa ujumla. Waalimu hawasimamii madai ya badala ya wanaadhibu wanafunzi kwa kutowafundisha ipasavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.