Search results

  1. T

    Msaada maombi ya ualimu 2022

    Kuna baadhi ya kozi hazionekani kama Diploma in Physical education haipo je walioomba physical education wamefanyaje?
  2. T

    Uwakala wa NMB, CRDB,NBC nk na M-PESA, TIGO PESA , AIRTEL MONEY nk

    Naomba mwenye uelewa anisaidie nataka kuanzisha biashara km ilivyoelezw hapo juu je n hatua gn z kufata? Je changamoto zkoje? Na faida zkoje? Kwa maana comission zkoje?
  3. T

    Kuanzisha na kusajili chuo (college/institution)

    Msaada kwa anayejua utaratibu wa kujenga na kusajiri chuo vigezo vinavyohitajika na Mamlaka zinazohusika kusajiri
  4. T

    Ufafanuzi biashara ya Uwakala NMB, CRDB, M-PESA n.k

    Naomba mwenye uzoefu na biashara ya uwakala wa bank na huduma nyingine za kifedha kama M-pesa nazingine naomba kujua mtaji wa kuanza nao na makadirio ya faida ambayo hupatikana kwa mwezi.
  5. T

    Tatizo la nguvu za kiume kuzidi kwa kasi

    Naomba msaada sababu nina tatzo la kuongezeka kwa nguvu za kiume kupita kiasi. Yaani nakuwa na nguvu nyingi za kiume kupita kawaida. Please naomba msaada.
  6. T

    Natafta laptop

    natafta laptop aina ya DELL au HP nina 200,000 iwe ktk hal nzur HDD kuanzia 150gb na kuendlea RAM 2gb iwe inakaa na chaj ila isiwe DELL 600 na 610 npo kahama shinyanga mwenye nayo antafte kptia 0676258176 au 0769752425
  7. T

    Natafuta kiwanja Dar

    Natafuta kiwanja cha 3milion maeneo yoyote Dar kiwe na ukubwa wa kuanzia 20x20
  8. T

    Kiwanja dar

    naweza kupata kiwanja cha million Tartu(3m) sehem yoyte dar kiwe na ukubwa Wa 25x25
  9. T

    Public relation and marketing

    Naombeni mnisaidie hivi hii facult ya public relation and marketing inahusika na nn? na ajira zake zikoje? na zinapatikana wapi? na nafasi zake zinatoka kupitia vyombo gani vya habari?
  10. T

    naombeni msaada wenu tafadhari

    napenda kujua hivi ukimlamba mwamke mwenye ukimwi ukeni kama hajachubuka unaweza kupata maambukizo?
  11. T

    A-level sylabus

    Naombeni mnisaidie sylabus ya a-level katika combinatin ya HKL
  12. T

    Waiochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 211

    Jamani naombeni mnisaidie hivi lini watatangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2011? Maana nimesubiri hadi nimechoka.naombeni msaada wenu
  13. T

    Naomben mnisaidie kuhusu combinations

    Jamani naombeni mnisaidie swali langu ni kwamba ; hivi combination ya HKL ina jihusisha na maswala gani? iwapo ukifika chuo kikuu? naombeni msaada wenu
Back
Top Bottom