Search results

  1. Good People

    Uhusiano kati ya Tanzania na North Korea!

    Marekani Itaipiga Lugalo, Monduli, Tabora Ngome, Kigoma, Arusha Kwa Siku Moja tuu halafu Vita inakua imeisha
  2. Good People

    Aliyetoa maoni "Acha Wafe" kwenye habari ya kuuawa askari 8 atiwa mbaroni Mbeya

    Aliyetoa maoni ktk Tweet ya Millard Ayo kwamba Askari 8 waliouwawa acha wafe, amekamatwa na Polisi Mbeya kwa kauli hiyo
  3. Good People

    TTCL waja na toboa bando

    Inapatikana kwa bei gani mpendwa.
  4. Good People

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Dial : *149*99# Chagua 2 Offer Maalum Chagua 3 Amsha Popo Chagua 4 Internet Bila Kikomo
  5. Good People

    TTCL waja na toboa bando

    Uko maeneo/Mkoa gani? Je hadi huku Kolomije itafika?
  6. Good People

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kweli mkuu Mimi imenitokea Jana nilikua nimetumia MB 500 Bahati nzuri Simu yangu huwa inanirekodia Matumizi cha ajabu zile MB 100 hata sikuzitumia
  7. Good People

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Edit hapo Airtel Wana Night Pack (Amsha Popo) kwa Tsh. 1,500 unapata 10GB.
  8. Good People

    Rais Magufuli naomba Uingilie Kati Siku hizi Kuajiriwa ni Kuanzia Miaka 18-25?

    TZ ya Kifala miaka 20 Marekani mtu anaongoza command!
  9. Good People

    Webiro Wassira anamuona Dk. Mwakyembe Kama ni Mtu asiyejua Majukumu yake

    Webiro Wassira ni Mtoto wa Steven Wassira na Ni msanii wa Hip hop
  10. Good People

    Waziri Mwigulu Nchemba amepiga marufuku Polisi kuwasafirisha wabunge kutoka nje ya Dodoma

    Sasa Mimi na wewe Nani anaandika Pumba JF we know your antics na wewe ni like merchant!
  11. Good People

    Rais Magufuli naomba Uingilie Kati Siku hizi Kuajiriwa ni Kuanzia Miaka 18-25?

    Bora Tanroad Umri huo ni kwa shift in charge nilishawahi Kufanya nao kazi shift incharge kweli anatakiwa awe na Umri huo lakini officers wengine wana Umri wa kawaida tuu.
  12. Good People

    Waziri Mwigulu Nchemba amepiga marufuku Polisi kuwasafirisha wabunge kutoka nje ya Dodoma

    Kakojoe Ulale Mimi ni Mtu Mzima Mambo yako ya kitoto Peleka FB huko!
  13. Good People

    Job vacancies Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB)

    Direct from College/university halafu wanasema Applicants who have been employed must channel their application through their current employer.
  14. Good People

    Rais Magufuli naomba Uingilie Kati Siku hizi Kuajiriwa ni Kuanzia Miaka 18-25?

    Wakuu Nilisikitishwa sana mwaka jana TRA walitoa Nafasi wakawa wanataka watu wasiozidi Umri wa Miaka 25. Kutokana na System ya Elimu ya Bongo watu wengi wanamaliza wakiwa na miaka 24 na Kuendelea na Tatizo la ajira kufika miaka 27 hajapata kazi ni Kawaida. So anafika miaka 27 anakua hana...
  15. Good People

    Job vacancies Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB)

    Wapuuzi 25 years so siku hizi Wastaafu Wana miaka 26?
Back
Top Bottom