Search results

  1. mwasita

    Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

    Mfano CRDB kwa mkopo usiozidi miaka miwili wana riba ya 13%.
  2. mwasita

    Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

    Huo mda mfupi labda usiwe zaidi ya miaka 2 vinginevyo riba inaanza kufanana kwa wote kwa aliyekopa miaka 5, 8 nk. Mfano kwa CRDB ni kwamba advantage ya anayekopa mda mfupi yaani usiozidi miaka miwili riba yake ni 13% zaidi ya hapo mnaanza kuchezea wote kwenye 16% uwe umekopa miaka 5 au 8 wote...
  3. mwasita

    Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

    Mkuu napingana na wewe kidogo katika hili. Zamani nilikuwa nawaza kama wewe kuwa benki wanatuibia sana kumbe kiuhalisi tunanufaika sana kuliko benki. Hoja ni kwamba umekopa kwa ajili gani? Kuna mikopo mzuri na mikopo mibaya, mkopaji ukiangukia ule upande wa mikopo mibaya lazima uone kama vle...
  4. mwasita

    Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

    Wanatoa mkuu tena unaenda nayo home kabisa unajaza na unairudisha siku unayotaka wewe pamoja na jumla ya makato utakayokatwa wanakupa kabisa yanaambatanishwa na form pamoja na terms and conditions. Baada ya kujaza ndio unarejesha form zao.
  5. mwasita

    Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

    Nyie wenzetu huwa mnakopa wapi ambapo hawawapi taarifa za mkopo wako. Ukienda kukopa wanakuuliza kiasi unachotaka kukopa, then wanaingiza kwenye mfumo wao, mfumo unafanya calculations za kiasi chote utakachotakiwa kurejesha na kiasi utakachokatwa kila mwezi katika mda uliochagua. Baada ya hapo...
  6. mwasita

    Mipango yangu: Miaka 10 ijayo nataka kuwa nina milioni mia tano benki

    Hapa ulifikia wapi? https://www.jamiiforums.com/threads/mipango-yangu-kufika-2025-niwe-na-kiasi-cha-tsh-milioni-hamsini-benki.1962697/
  7. mwasita

    Mwalimu mwingine huyu hapa njooni muone

    10M inakutoa itategemea na unaifanyia nini na usimamizi wako kwenye hiyo biashara ukoje. Mfano kama ulikuwa na 10M msimu uliopita ukaenda kukusanya mazao mfano Mpunga. Gunia la mpunga la debe 10 mwezi May na June 2022, shambani lilikuwa linauzwa Tsh 100000-120000. Tuchukulie umenunua kwa...
  8. mwasita

    Wakuu vidonda vya tumbo dawa yake nini?

    Kwa yeyote anayeumwa vidonda vya tumbo atumie dawa hii. Chukua vifuu vya nazi, vichome viwe kama mkaa mweusi (visiwe majivu) halafu visage uchanganye na chumvi ya mawe. Note: Visage pamoja na chumvi ya mawe. Chumvi iwe kiasi tu isizidi kiasi cha kuleta maudhi kwa mtumiaji. Matumizi: Lamba...
  9. mwasita

    Kati ya ndugu zako wa damu wote ni yupi unaempenda zaidi?

    Binafsi mwanzoni nilikuwa nawapenda wote kwa usawa. Tuko 6 kuzaliwa, mimi wa pili kuzaliwa. Amenitangulia kaka then akafuata wa kike. Kaka nimepunguza upendo kwake kwa sababu ya ujuaji wake kwa kujiona yeye yuko sahihi always na hawezi kushauriwa na wadogo zake hata kama ameenda isivyo na pia...
  10. mwasita

    Umewahi kusoma kitabu, The Richest Man In Babylon? Ulijifunza nini? Kinasaidia?

    Nimewahi kukisoma. Ni moja kati ya vitabu vizuri sana hasa hasa ukiweza kukiishi!
  11. mwasita

    Ingekua vizuri mitani ya UE Vyuo Vikuu iwe inatungwa na kusahihishwa na TCU

    Narudia kusema hicho kitu HAKIPO na kama uliambiwa basi ulidanganywa. Na kama supervisor wako au mtu mwingine yeyote ndio alikuambia kuwa wamekuwekea marks za internal na kuwa huo ndio utaratibu wa UDSM basi alikudanganya. Nadhani tatizo sio wewe ila aliyekuambia huo uongo ndio msingi wa...
  12. mwasita

    Ingekua vizuri mitani ya UE Vyuo Vikuu iwe inatungwa na kusahihishwa na TCU

    Mkuu hapa umedanganya umma kabisa. Ukweli ni kwamba; Dissertation/Thesis huwa inasahihishwa na watu wawili 1. internal examiner (huyu ni mwalimu wa hapo hapo ndani ya idara), 2. External examiner (huyu huwa ni wa chuo cha nje). Marks za external examiner huwa zinapewa uzito, hasa ikitokea hawa...
  13. mwasita

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    Kwa niliyoyashuhudia kwa macho yangu nimekubaliana na hoja hii ya @Jokajeus japokuwa wengi wanampinga. Lakini inasikitisha sana!
  14. mwasita

    Ni hasara gani kubwa ulishawahi kuipata ikakurudisha nyuma?

    Pole sana mkuu! Kisa chako sehemu ya pili kinakaribiana kufanana na cha kwangu. Mimi nililima mpunga hivyo hivyo sehemu 2 tofauti, sehemu ya kwanza nilikuwa namtumia rafiki yangu hela aweke vibarua lakini mwisho wa siku sikuvuna hata kilo moja. Sehemu hii nililima hekari 4 na ilinigharimu kama...
  15. mwasita

    Ni wakati muafaka sasa Mifugo itozwe kodi. Msukuma au Mmasai anamiliki zaidi ya ng’ombe 1,000 na hachangii chochote! It is not fair

    Idadi ni kubwa sana, chukua idadi ya ng'ombe wanaochinjwa na wale ambao wannunuliwa kwa ajili ya kufugwa hiyo ndio idadi ya wanaopita mnadani. Mifugo inayobaki ni kubwa kuliko inayoenda mnadani na ukitaka inayokwenda minadani iwe kubwa kuliko inayofugwa basi ujue hapo mifugo wanaenda kuisha...
  16. mwasita

    Ni wakati muafaka sasa Mifugo itozwe kodi. Msukuma au Mmasai anamiliki zaidi ya ng’ombe 1,000 na hachangii chochote! It is not fair

    Kwa hoja hii tutafikia wakati tutadai kodi hadi wakulima wa mazao ya chakula. Mtu akivuna tu gunia zake tano za mahindi inabidi azilipie kodi hata kama hajazipeleka sokoni kuziuza. Unapomwambia huyu azilipie hizo gunia tano una uhakika gani kuwa amefanya biashara? Kwa nini usisubiri atakapokuwa...
  17. mwasita

    Baada ya Mwl. Mussa Iddy kulalamika, HESLB yatoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa urejeshaji mikopo

    Ni ya deni la lililobaki. Mie baada tu ya kumaliza chuo jumla ya pesa niliyokuwa nimetumia ilikuwa 11,394,700 hii ni pesa ambayo ilitumika kunihudumia kipindi cha masomo yangu. Mwaka huo huo namaliza chuo hii pesa ilikuwa na retention fee ya Tsh 1,400,094. Hii inamaanisha retention fee inaanza...
  18. mwasita

    Mpenzi wako anakuvutia akivaa vipi?

    Mimi pia nduguye na Antetokounmpo Hapo kwenye combination ya namna ya kuzipangilia suruali na shati ina matter pia katika kuongeza umaridadi na nakubaliana na wewe kwa rangi ulizopendekeza.
Back
Top Bottom