Search results

  1. D

    Yabainika magufuli anatumia sheria feki katika hifadhi ya barabara ubungo

    Katika majumuisho ya ziara ya Mkoa wa Kagera Waziri Mkuu ameonyesha dhahiri kuwa amestukia mchezo mchafu wa Waziri wa Ujenzi Mhe John Magufuli kutafisiri vibaya na kutumia sheria feki kuagiza mawe na mabango yanayoonyesha mwisho wa hifadhi ya barabara kuwekwa Mita 120 ndani ya ardhi na makazi...
  2. D

    Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Nzega inakualika kwenye Maandamano ya Amani kupinga uwepo wa Mgodi wa Kuchimba dhahabu wa Golden Pride Project, Nzega, kwa kuwa hauna faida kwa Nzega na kwa Taifa, Unaharibu mazingira, Umegubikwa na usiri mkubwa, Wachimbaji wadogo na wakazi wa maeneo mgodi huu ulipo...
  3. D

    Yabainika magufuli anatumia sheria feki katika hifadhi ya barabara ubungo

    umeuliza swali zuri sana. Impact ya Magufuli katika CCM kuchuliwa ni pale alipotumia ubabe kama huu kuuza nyumba za Serikali kwa bei chee, hakika wananchi wengi sana wankerwa na hili mpaka leo. Hivyo ninamini kuwa utakubalina na mimi amechangia sana kuporomosha umaarugu wa CCM kwa kuuza nyumba...
  4. D

    Yabainika magufuli anatumia sheria feki katika hifadhi ya barabara ubungo

    [SIZE="3"]Nahisi wewe ni mmoja wa mamangi meza mnaosubiri Dr Slaa, Mbowe, Zitto n.k.wakuamsh. Unaweza kuniambia wewe binafsi umeshafanya nini kupinga maovu katika eneo lako linalokuzunguka? Umeshirikia vipi katika kupambana na maovu kama haya ya Mhe John Magufuli kutumia madaraka yaake vibaya...
  5. D

    Yabainika magufuli anatumia sheria feki katika hifadhi ya barabara ubungo

    Moja ya athari mbaya ya ulaghai wa Mhe John Magufuli kuhusu utata katika uoana wa hifadhi za barabara ni majirani kujengeana chuki kutokana na kuamini kuwa wenzao ambao wanadaiwa kujenga katika hifadhi ya barabara wakati sio kweli hata kidogo ndio chanzo cha kuteseka kwao kwa tatizo la...
  6. D

    Yabainika magufuli anatumia sheria feki katika hifadhi ya barabara ubungo

    Vyama vya Upinzani sio Mwarobaini wa kila kitu, unaweza kuwa na vyama, wabunge, madiwani and everything lakini kama mind set ya wananchi haijabadilika hata viongozi wa vyama watachoka na hatmaye kurithishwa mabaya. Charity begins at home, if you cant fight for your yr right at household level...
  7. D

    Yabainika magufuli anatumia sheria feki katika hifadhi ya barabara ubungo

    Licha ya Waziri wa Ujenzi Mhe John Pombe Magufuli kujigamba kuwa ni muumini mzuri wa utawala wa sheria, na ameapa kulinda sheria kwa kutamka "Mungu Nisaidie" hivyo hawezi kusita kutekeleza sheria. Imebainika kuwa katika hoja ya hifadhi ya barabara Ubungo anatumia sheria feki. Ibara ya 2 ya...
  8. D

    Kati ya mabanga ya matangazo na magari yaliyotelekezwa barabarani, kipi hatari zaidi?

    Hapo ndugu yangu umesema kweli, mimi ni dereva wa magari makubwa, kutokana na kusafiri mara kwa mara nafahamu ukubwa watatizo hili na magari yaliyoharibika na kutelekezwa barabarani linavyosababisha ajali na vifo karibu kila siku. Cha kushangaza hakuna mamlaka yoyote inayoonekana kuchukua hatua...
Back
Top Bottom