Search results

  1. Wandagara

    Hata wao wameshidwa kujiajili?

    Niliwayi kusema si kila mtu anapenda kujiajiri ila ni matokeo tu ndo usababisha watu na wasomi wanazuoni kuamu kujiajili. Ukitaka kujua hilo ebu angalia jinsi dunia ilivyo leo Wenje naye anaumia kukaa kitaa hadi inamlazimu kutumia mbinu za ziada kupata ajira. Leo anaomba nafasi ya ubunge wa...
  2. Wandagara

    KILIO TANZANIA NI KILIO CHA KUJITAFUTIA

    Usiambiwe tu ukapenda nakuitikia ndio hapohapo. Fikili kwanza kwanini umeambiwa na ndipo utoe jibu la kukubali au kutolidhiana na jambo hilo. Rais wangu wewe ni mchapakazi sana na huruka hii ya uchapakazi na uadilifu ulionao umefanya hata walionyuma yako kuwa wa ndio tu. Ndo maana leo napata...
  3. Wandagara

    Ni Uzoba wetu ndo unatufanya kila kitu kutegemea matamshi ya Rais?

    Ni umbumbumbu au uzoba ndo unasababisha kila sekita imekuwa duni sana hata bila kuelewa kanuni na sheria zinazoongoza hiyo sekta? Niko zangu Kisorya - Bunda eti leo sept 26, 2016 ndo afisa uvuvi na mtendaji wanakuja nakutoa tamko kuwa kuanzia kesho samaki wadogo wadogo hawatakiwi katika eneo la...
  4. Wandagara

    Hiki ni kilio cha mazoea

    Ni muda sasa tangu serikali iseme itapambana na samaki wadogowadogo wanaovuliwa ziwa victoria. Katika mazoe imekuwa nijambo zito wavuvi kuacha kutumia nyavyu zisizo nakiwango. Tatizo nililoliona si kwamba wavuvi hawako tayali kutumia nyavu usika ila ni mazoea ya wavuvi na maafisa wavuvi...
Back
Top Bottom