Search results

  1. Amomaker

    Hivi kumbe unaweza kuwa na ndoto ya kufanya kazi sehemu tangu ukiwa mdogo na usifikie hata robo? Basi usikate tamaa!

    Habari wana jamvi! Napenda kushare japo kwa ufupi story yangu naimani itatufunza na kupata Ushauri ambao hata mimi nitajifunza. Nikiwa nina miaka 6 baba yangu alikuwa mwajiliwa wa taasisi moja na yeye mara kamoja moja sana tulikuwa tunaenda wote BANK(NMB) kutoa pesa kidogo kilicho kuwepo kwa...
  2. Amomaker

    TCU watoa mwongozo mpya kwa MULTIPLE APPLICANTS 2018/2019

    UTARATIBU MPYA KWA WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA NA CHUO ZAIDI YA KIMOJA
  3. Amomaker

    Institute of accountancy Arusha-IAA

    Habari wana jukwaa,kwa msaada wangu na wengine pia,naomba msaada kwa anaye kifahamu chuo hiki cha IAA,hasa kwa upande wa accomodation.Vipi hoster zao unapataje,bei yake,ni kweli maisha ya Arusha ni Expensive?,na je!vipi kweye upande wa usalama?.kwenye academic sina wasiwasi sana.Tafadhali...
  4. Amomaker

    Kwa wale wanao penda kubadili faculty Nacte sasa wamesha fungua

    Kwa wale wote walio appy diploma na certificate NACTE wamefungua kubadili choice na kuapply upya fungua account yako utaona au bonyeza hapa www.nacte.go.tz kisha bonyeza "Central addimission system" Mbalikiwe
  5. Amomaker

    mwenye kunisaidi kuhusu clinical medicine karibu

    Habari wapendwa nahitaji mtu aliye soma clinical medicine pale St aggrey Mbeya ngazi ya astashahada ani PM tafadhari kunajambo nahitaji kuuliza Tafadhali.Barikiwa utakaye Nisaidia
  6. Amomaker

    taarifa mpya toka nacte

    fungua hapa kisha tujadili kidogo na kupeana mawazo www.nacte.go.tz/en/update.php?id=1472283159&slug=TAARIFA-KWA-UMMA-KUHUSU-UTEUZI-WA-PILI-NA-KUONGEZWA-KWA-MUDA-WA-KUFANYA-MAOMBI-KATIKA-KOZI-ZA-CHETI-NA-DIPLOMA-KWA-MWAKA-WA-MASOMO-2016/2017
  7. Amomaker

    hallo

    naitwa jerry nafurahi kuungana nanyi,Mungu awabari wote!
Back
Top Bottom