Search results

  1. MARILYN

    Askari ala kichapo Kimara mwisho

    Am waiting..... Sent from my BlackBerry
  2. MARILYN

    Askari ala kichapo Kimara mwisho

    Ccm inahusika vipi na uvivu wa kufikiri wa huyo askari? Sielewi atii...
  3. MARILYN

    Kuwa makini na mapenzi ya facebook

    Duh! Unatumaje hizo hela, kuna fesibukmoney au?. Sent from my BlackBerry
  4. MARILYN

    Wamiliki shule binafsi waiangukia serikali kupandisha vibali walimu wa kigeni $ 2000

    Kwani nilazima waajiri watu wa nje? Mbona wapo wa tanzania kibao wenye uwezo...
  5. MARILYN

    Zamaradi Mketema na Ray C warushiana maneno Instagram kisa ni penzi la Ruge!

    Huyu ray c huyu si juzi juzi hapa tumeambiwa kaokoka SILOAM!?
  6. MARILYN

    Mayai ya Kwale Yanauzwa

    Ungetuwekea picha maana wengine hata hatujui kwale wanafananaje.
  7. MARILYN

    Nampenda tatizo namuogopa

    Teh teh teh teh Sent from my BlackBerry
  8. MARILYN

    USHAURI Jamani sijawahi kumwambia ukweli juu ya hili....!!

    Yaani ulianzaje kuchat na demu ambaye unajua rafiki yako yuko interested!? Kama ni mimi urafiki unakufa hapo hapo. I thought hayo mambo wanafanya wanawake tu! Sent from my BlackBerry
  9. MARILYN

    Ugonjwa wa homa ya matumbo (Typhoid) na tiba mbadala

    Mi naona tatizo ni hizo waterguards, inawezekana ni feki....maana siku hizi bwana feki zimetapakaa....jaribu kununua kwenye big pharmacies (zile zenye hadhi ya kuprotect) Sent from my BlackBerry
  10. MARILYN

    Six pack ya Shilole

    Teh teh teh
  11. MARILYN

    Gharama halisi za kujifungua kwa Operation

    Wadada siku hizi! kila mtu CS ..... Wengi wanaponzwa na swagga za BIG NAMES (hospitals) ukiwauliza advantages za CS hawajui hata moja! BANDWAGON! Sent from my BlackBerry using JamiiForums
  12. MARILYN

    Msaidieni huyu plizzz

    Ndo tatizo la watoto wa chuo, mkifika chuo tu mnajiona watu wazima na kukurupukia mambo, alitakiwa afikirie hayo yote kabla ya kubeba hiyo mimba. Akiamua kuitoa kuna matatu, Moja ni kifo, mbili ni ugumba baadae tatu anaweza kubahatika kuepuka hayo mawili hapo juu japo there's a very slim chance...
  13. MARILYN

    Wanawake wengi hawajui kuwa heshima yao ipo kwenye maumbile yao

    Si tunawaiga kina maria clara, marichuy, ruby.....nikiona mwanamke amevaa vibaya huwa sijisikii vizuri yaani mimi ndo naonaga aibu! Kuiga kubaya! Sent from my BlackBerry using JamiiForums
  14. MARILYN

    Looking for a female friend in Dar

    Duh! Short romance!? Heart at risk. Sent from my BlackBerry using JamiiForums
  15. MARILYN

    Nampenda sana ila nahisi ananitesa.

    Sweery, ndoa haina majaribio, funguka tujue anachofanya tujue tukupe ushauri gani.... Sent from my BlackBerry using JamiiForums
  16. MARILYN

    Nampenda Sanaa Ila Simuoi Sio Wife Material!!!!!! Mhhhhhh! Hayaaaaaaa!

    Wanawake tuna tabu.....I know a guy alikuwa na baby wake wanapendana kweli but alimbwaga ghafla and in less than a week akatangaza ndoa na kitu kipya! I was very disappointed though ni cousin wangu...kwa nini umpotezee mtu muda wake? Kama unaona sio wife material mwache aende zake akabahatike...
  17. MARILYN

    Ladies Flat Shoes From UK......

    bei jamani.......
  18. MARILYN

    Binti aliyechukua uamuzi huu,,ungemsamehe?

    Kha! Kama nauli tu ya kumleta dada wa watu mjini imemshinda ndo angeweza kumlisha!?....au ndo ubahili! Ila huyo dada nae hafai! Sent from my BlackBerry using JamiiForums
  19. MARILYN

    Mwanamke mwenye sura kama hii hupendwa sana na wanaume walio wengi

    Ajabu nina sure kama hiyo na sipendi mastaa. Sent from my BlackBerry 9520 using JamiiForums
Back
Top Bottom