Search results

  1. Mnyanyunda

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Taa za ist za busta unauza bei gani ?
  2. Mnyanyunda

    Paul Makonda: IST ni gari wanayohongwa wanawake mitaani, siwezi kuitumia na siwezi kumpa askari wangu

    Makonda tuombe radhi tafadhali...! Hii kauli haijakaa vizuri ukiwa kama kiongozi ni udhalilishaji husio na msamaa wa kuombewa radhi na Bashiru.Umetuaribia siku kwa kweli
  3. Mnyanyunda

    Mke wangu anaongea vitu bila mpangilio, itamchukua muda gani?

    Asante.. na ni kweli mabadiliko yanaonekana
  4. Mnyanyunda

    Mke wangu anaongea vitu bila mpangilio, itamchukua muda gani?

    Kuchanganyikiwa kaka si lengo langu mkuu
  5. Mnyanyunda

    Mke wangu anaongea vitu bila mpangilio, itamchukua muda gani?

    Wamesema hii hali itakwenda itakuja kuacha
  6. Mnyanyunda

    Mke wangu anaongea vitu bila mpangilio, itamchukua muda gani?

    Nimeeasiliana na dktari usiku huu anasema ni matatizo ya ugonjwa wa uzazi na hii hali itakwenda itakuja mwacha sasa nimeshindwa kumwelewa ndio maana naomba msaada wa mawazo kwani mpaka muda huu bado mke wangu yupo icu
  7. Mnyanyunda

    Mke wangu anaongea vitu bila mpangilio, itamchukua muda gani?

    Mada tajwa hapo juu,naomba msaada kwa walio na ujuzi kwa hili..!Mke wangu amepasukiwa na chupa ya uzazi na mtoto kufariki naye hali yake si nzuri kuanzia ijumaa ya 10/8/2018.Jana jumatatu ameanza kutambua watu,jumanne ya leo hali yake kuanzia asubuhi ni kuongea vitu bila mpangilio (kubwabwaja)...
  8. Mnyanyunda

    Je kuna ukweli wowote hapa?

    Hayo mambo ya wadada wa kazi yameanza miaka y vizazi vyenu.Wakongwe wa miaka hiyo hatukupata bahati ya kuhudumiwa na mabeki tatu.
  9. Mnyanyunda

    Kuvuja oil katika Cylinder head.

    Happy new year 2018 and kazi njema
  10. Mnyanyunda

    Kuvuja oil katika Cylinder head.

    Solution; angalia vizuri hiyo top cover hasa hapo panapovujisha oil.Dhibiti kwa gundi (Arladite).Kama bado panapuliza oil..,basi badirisha hiyo top cover.
  11. Mnyanyunda

    Kuvuja oil katika Cylinder head.

    Oil pump ndio yenye jukumu la kuhakikisha oil inafika sehemu zote za engine kulingana na mfumo wake.Sasa unapozungumzia Oil pump,ni Chombo ambacho kinakimbiza kwa nguvu mafuta (oil).Kutokana na nguvu ya oil kutafuta eneo husika panapopatikana mpenyo(leakage) lazima oil ipitie hapo.
  12. Mnyanyunda

    Kuvuja oil katika Cylinder head.

    Msaada wa kiufundi unategemea na maelezo ya tatizo.Mada husika haijakidhi maelezo.Mfano anasema kwenye "mirija ya clynderhead" Sasa hapo utaelewa nn kiufundi!! Lkn baada ya kuzoom picha nimegundua kwenye cylinder head cover ndio penye tatzo.
  13. Mnyanyunda

    Kuvuja oil katika Cylinder head.

    Kwangua vizur hiyo bigijii iliyogandikwa na pakaushe vizuri paka bigijii nyingine,hiyo ni leakage tu.
Back
Top Bottom