Search results

  1. retweeted

    Maisha yako kasi sana

    Ivi wale tulikuwa tupenda kwenda East Zoo (Iringa Girls [emoji130] mpo wapi) 1 tupeane code basi...ulibahatika kula pisi ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. retweeted

    NATAFUTA KAZI

    Nimemaliza law school of Tanzania sasa nilikuwa naomba kazi ya mda mfupi kwa kipindi hiki nacho subiri matokeo ya law school me naomba nipewe nauli tu
  3. retweeted

    habari zenu jamni natafuta mke wa kuoa umri 20- 25 nipo serios sichagui dini mradi yeue akubali kuwa mkristo

    Kwahiyo Umeshindwa kutafuta hata uliyo soma nao wewe utakuwa so mzima
  4. retweeted

    Alisikika mlevi wa Gongo akisema

    Nchi maskini kama Tanzania kuwa na bunge ni Zaidi ya kuongeza umaskini. Anasema serikali ndo mtoa pesa ansema serikali ndo mtunga sheria bunge yeye hufanya proof readings tu, ansema hiyo hela tunayo walipa wabunge ni bora tunge mlipa balozi wa nyumba kumi na mwenyekiti tu nakujenga miundombinu...
  5. retweeted

    The only living plato in Tanzania

    Ukiona mwanaume anapenda sana mtoto wake ujue alikuwa mpiga puri sana na alikuwa hana uwezo wa kutongoza wanawake ili wa mzalie pia katika mausinao yake yote aliyopitia hakuna mwanamke aliye kuwa ana mwelewa kabisa. Yani wanawake walikuwa wana mchukulia poa tu. Sasa kwa upande wa wanawake...
  6. retweeted

    Ovyo kwa Chadema

    Ivi chadema mnavyo jichelewesha kwenda kujibu case zenu mahakamini mtakuja kutia uchaguzi ndo huo unakaribia Boss wenu bado yuko ndani anatoa sababu za kuumwa ambazo hazina mashiko kabisa.. Mwisho wa siku mtafeli kwenye uchaguzi unao kuja kisa hizo kesi zenu kuisha kwa kutoa sababu sizizo na...
  7. retweeted

    IVI PESA NI ZA WANANCHI AU ZA MTU

    mana naona kuna mtu anagawa pesa tu kila siku wakati leo asubui kuna mmama anamtoto wa ugonjwa wa moyo amekataliwa kutibiwa kisa hana pesa hafu unampa hela mtu yuko na afya yake nzima tu hela zote zile..
  8. retweeted

    Nchi zinazo endelea

    Yani tulicho kosea nchi zinazo endelea ni kujiunga nahizi taasisi za haki za binadamu ndo zinazo tutudisha nyuma, Wakoloni wao waliona wamesha endelea wametumia mababu zetu kiasi hawana shida nao wanauwezo wakutumia mashine ili sisi tusitumie watu wetu vizur wakaweka haki za binadamu kama...
  9. retweeted

    Maisha ya kutegemea misaada hasa nchi yetu

    World Bank na IMF hawa hawa ndo walio mtisha Nyerere saiz naona wanataka kumtisha Magu sijui hawajui kwamba Tanzania kuna watu wengi wanao jitambua vizuri Hafu maisha ya kuishi kwa kutegemea misaada ni ukoloni wa kitumwa sana lazima tufike mahali na sisi tuwe na kauli. Wasitake kutunyanyasa na...
  10. retweeted

    NAWAZA KWA SAUTI KUBWA HUKU

    Ivi CHADEMA KWANINI BADO MNASIMMISHA WAGOMBEA KWENYE HIZI CHAGUZI NDOGO WAKATI MWASEMA NI UBADHIRIFU WA KODI ZETU.. GOMENI KUSIMAMISHA WAGOMBEA TUOKOE PESA KAMA KOROGWE VIJIJINI Sent using Jamii Forums mobile app
  11. retweeted

    ULAZIMA NA SIO ULAZIMA

    Nimesoma sana maada juu mikopo ya elimu ya juu ila nilicho kungua kuna kunguru nyingi hazielewi mana ya haya Maneno ULAZIMA NA SIO ULAZIMA.. PIA wengi wetu hawajui kwamba dhima kubwa ya Mkopo ilikuwa ni nini hasa ancho kifanya Rais wetu ni ULAZIMA kuna watu hata akikosa mkopo anaweza soma popote...
  12. retweeted

    Ccm oyeee @ccm_tanzania

    Yani hadi ifike 2025 si dhani kama kutakuwa na chama kinacho itwa CHADEMA kwa hali nayo iona sijui..
  13. retweeted

    Vyama vya wafanyakazi vipo kweli? Maana viongozi wake wapo kimya

    I'm John Haule Pesambili Ludewa moja.. Ivi vyama vya wafanyakazi vipo kweli.. Mana toka round ya tano iingie ulingoni sijasikia viongozi wa vyama wakiongea wapo kimya tu.. Sasa si bora ile michango yenu ika baki kwenye mishahara tu ili maisha yaweze enda mbele mana mwapiga kelele...
  14. retweeted

    Africa Bana: Ningekuwa Rais ningefukuza balozi wa USA

    Mimi leo hii ningekuwa Rais ningefukuza balozi wa USA sasa hivi na sitaki misaada yao tena jitu linawatusi hafu viongozi wetu wamekaa kimya fukuza ubalozi wote kataa misaada yao basi kwani nini
  15. retweeted

    Nahitaji mashine ya kukushanyia kodi

    Jamani anae uza mashine ya kukushanyia kodi inahitajika haraka sana. 0714919809 Sent using Jamii Forums mobile app
  16. retweeted

    Maisha Magumu Mtaani

    Km kichwa kinavyo jieleza hapo juu.. Ndio Maisha Magumu sasa nyinyi watanzania kila kukicha mwalalamika tu jamaa amebana amebana sasa mnataka awe anawapa hela mikononi au fanyeni kazi bana
Back
Top Bottom