Search results

  1. chizcom

    Dawa ya kutibu kifua ilivyogeuka kuwa kilevi cha madawa ya kulevya

    Kipindi kile miaka 2004 kwenda mbele msanii maarufu kwa jina Lil Wayne alijozelea umaarufu na swaga zake za kushika muda wote kikombe chekundu ambacho watu wengi walitaka kujua anaburudika na nini? Upande wa Marekani kuliibuka tabia ya vijana wengi kutumia dawa maalumu ya kifua kwa jina moja...
  2. chizcom

    Wanaijeria wanaofanya utapeli kupitia mtandao mwisho wa siku hukamatwa kupitia mitandao ya kijamii

    Wanaijeria wengi wana akili zinafanana wanapo fanikiwa kupata pesa za udanganyifu kwa njia ya mtandao ujikuta kutamba kwenye mitandao ya kijamii, kuonesha magari, pesa, nyumba,matumizi na n.k. Huku wengi wakijigamba kama influencer, watafutaji wasiochoka. Huko nijeria wanakamatwa kama kuku...
  3. chizcom

    Majeruhi ajali za bodaboda tishio, MOI hupokea wagonjwa 280 kwa mwezi

    Dar es Salaam. Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) imekiri kupokea majeruhi wa ajali za bodaboda wastani wa watu 9 hadi 10 kwa siku ambapo ni sawa na 70 kwa wiki na 280 kwa mwezi. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam kwenye mafunzo ya kimataifa ya matumizi...
  4. chizcom

    Wezi kuingia chini ya kitanda na kuacha boksi ulivyoshika kasi miaka ya 90 kurudi nyuma

    Miaka ya 90 kurudi nyuma kulikuwa na wizi wa kichekesho sana hujawahi kurudiwa tena. Kipindi cha nyuma mambo ya vyoo vya ndani yalikuwa sio kila mtu na vyumba vya uwani kuzungushiwa ukuta. Sasa kile kipindi unatoka nje kwenda haja ndio mwizi hupata nafasi kuingia kuiba. Na kuna mtindo mwengine...
  5. chizcom

    Serikali iachane na Sera zinazobana Wawekezaji, mfano kumtaka Elon Musk kuweka ofisi za Starlink Tanzania

    Kwa kigezo kipi kesho kushurutisha mtu. Lengo lake ili ikiwa ofisi kucontrol Internet uchaguzi ukifika au kufunga sehemu itakayoona ccm inasemwa
  6. chizcom

    Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

    Mnazalilishwa nini mlitaka kuwa wasafi wakati ndio tabia zenu
  7. chizcom

    Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

    Subiri dawa kuwaingia nyie wa visiwani
  8. chizcom

    ACT Wazalendo wataka Zanzibar ipewe mamlaka kamili

    Ndio maana muungano uwezi kuvunjika.ngono watafanyia wapi na uhuru wa kuuza used,pamoja kuliwa kisanvu cha kopo.
  9. chizcom

    Marehemu Augustino Mrema ndiye Waziri wa Mambo ya Ndani pekee mpaka majambazi walijisalimisha

    Marehemu Augustino mrema kipindi yupo wizara ya mambo ya ndani 1990-1994. Watu walikiona cha moto ijalishi ni nani mpaka kufikia majambazi wengi kujisalimisha. Kuna mambo mengi wizara ya mambo ya ndani kaweka mchango mkubwa sana japo historia ijapata kuandikwa kwa mema aliyofanya. Na mwisho wa...
  10. chizcom

    Hivi yule mtoto aliyeimba Tanzania nchi yangu mwaka 90 yupo wapi

    Kale katoto kike kipindi cha ITV kalitamba sana huku mwenzake Eddy wa watoto show kama mtangazaji mdogo kila mtu alijua mtu na ndugu yake. Huyu mtoto aliimba nyimbo" tanzania yangu wee ,nchi yangu wee" Huku watoto wa kizungu wakiitikia kwa makini. Kwa enzi zile za 90 kapo nje. Kuna wengine na...
  11. chizcom

    PICHA: Nifanyeje ili kuacha Kitimoto kama dini yangu inavyonikataza?

    Ushawai kusikia watu walifunikwa na kifusi mgodini wakala mwili wa marehemu na kushushia mkojo wao
  12. chizcom

    Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad apata Uteuzi CCM

    Kumbe lengo ni teuzi na sheik aliyetoka si kipenzi cha marehemu. Ccm kila mtu na mchezaji wake
  13. chizcom

    Mchumba hawekewi BIMA ,NIPIGE TAFU na HISA mtakuja kujinyonga

    Kitu nilichojifunza japo sipo huko ni kwa waliokuwa na mahusiano au wapenzi wakiwa kwenye uchumba au sio uchumba. Wengi wao wameweka Bima ,nipige tafu na hisa.unajua kwa nini nimetaja hayo maneno na kwa nini nimetumia. Sababu ni ; *BIMA Kwenye uchumba wengi wamejiakikishia kuwa na asilimia 100...
  14. chizcom

    Naomba kufahamu madhara bangi

    Ukielewa utaweza.kuzuia bangi
  15. chizcom

    Sifa za kupigiwa miruzi na kushangiliwa ndio kichocheo cha ajali nyingi kwenye mabasi

    Kama utakuwa na kumbukumbu ya ajali hii utakuwa umeelewa mada nayo sema. Kosta 2 zilibeba wana jumuiya wa kanisa .ni mambo ya kushangiliana
Back
Top Bottom