Search results

  1. mtei msomi

    Jamani first year mimi nakufa njaa chuoni

    Huko wapi mkuu km huko DSM nitafute uje gheto
  2. mtei msomi

    Matumaini mapya kwa wanaosubiri ajira za walimu.

    Mkuu kuwa makn na maneno yako wale jamaa wasije wakakudaka jamaa wetu
  3. mtei msomi

    Kuhusu walimu waliodahili diploma in primary school

    Tatzo ni jinsi alivyoandika thread take Maelezo yanajichanganya cjui alikuwa ana stress wkt anaandka
  4. mtei msomi

    Msaada wa kuhusu uhamisho

    We nenda ktk ofs ya mkurgnz wako watakupa taarfa dahh cyo kila kitu lzm uulize mana hapa utapotoshwa
  5. mtei msomi

    Uhamisho wa watumishi umeyeyukia wapi!!!

    Sasa ndege zina uhusiano UPI na uhamisho
  6. mtei msomi

    Uhamisho wa walimu 2016

    Hakuna ajuaye mkuu zaidi ya maafsa wa tamisemi km wamo humu ndani watusaidie taarfa
  7. mtei msomi

    TAMISEMI wanatoa lini majina ya uhamisho?

    Kuanzia septemba 1 unaweza kutoka
  8. mtei msomi

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Wanaohama desemba mchakato umesimama hakuna barua ya uhamisho inayosainiwa kwa sasa kwa taarfa nilizozipata punde uenda ikawa septemba mana mkuu WS kaya anakabdhiwa ripot ya watumish hewa ijumaa hii labda uenda akaruhsu mambo yaendelee ,lkn inavuruga akilibsana hadi nimepata msongo wa mawaz
  9. mtei msomi

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nnjoo kasulu mji nije sengerema au busega idara s/msingi no.0714267840 na 0785226668
  10. mtei msomi

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Aisee yani hawa jamaa wangejua jinsi tunaosubiria uhamisho hatuna munkar na kaz tens basi wangetoa uhamisho mana me hapa had I nimeshaathrka kisaikolojia
  11. mtei msomi

    TAMISEMI ni kweli wasitisha uhamisho

    Wadau naomba mnisaidie eti tamisemi wamesitisha uhamisho mfano wa kubadilishana hadi uhakik wa watumshi hewa ukamilike au bado uko palepale,mwenye taarfa anisaidie mana hapa nimeshaathirika kisaikolojia mana hata kazi nafanya tu kwasababu napata mshaara lkn sins mnkari na kazi kabisa kwani fikra...
  12. mtei msomi

    Nimekuta 74,549,940.36 kwenye account yangu

    Hiyo chota tote mkuu na account uipige chini
  13. mtei msomi

    Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    Vipi kuhusu uhamisho mfano ule wa kubadilishana nao pia umesitishwa
  14. mtei msomi

    Msaada wa jinsi ya kupata 'software' mpya ya Azam TV

    Msaada wada jinsi ya kupata soft ware mpya azam tv
Back
Top Bottom