Search results

  1. peaci

    Special Thread: Wauza Nyumba, Viwanja na Mashamba.

    Habari wana jamvi. Hapa ni sehemu maalum ya kuuza Nyumba, kiwanja na shamba. Ni sehemu ya kukutanisha muuzaji na mnunuzi moja kwa moja au kupitia Dalali. Habari na matangazo yatolewe kiusahihi yakiambatana na picha ya Mali inayouzwa, mahali inapopatikana, bei n.k
  2. peaci

    Miliki Nyumba yako kwa bei poa.

    Nauza Nyumba kwa bei poa kabisa, kuanzia milioni 15, 20, 25, 30, 40, 50......200. Kwa maeneo ya CHAMAZI. Swali lolote unaruhusiwa kuuliza na utajibiwa.
  3. peaci

    Nauza Kipikipi cha kijanja kwa bei poa.

    Nauza pikipiki kwa bei poa kabisa, 1200,000.(Milioni moja na lk mbili) Kwa anayehitaji unaweza ni pm tufanye biashara.
Back
Top Bottom