Search results

  1. MST

    Kamanda Kamuhunda awageuka wakubwa...

    Excuse ya 'kutii sheria' walitumia maaskari wa Third Reich ya Hitler Ujerumani baada ya vita, lkn haukukubalika...
  2. MST

    UCHUNGUZI KUTOKA POLISI: Jacky Daniel" imechangia kifo cha Kanumba

    Wanashindwa tu kusema polisi kuwa huu ndo ukweli - kesi inazuia hata watu wenye taarifa kushindwa kuzianika hadharani, lkn ukweli ni kwamba chanzo cha kifo hiki ni pombe - na ushahidi upo lkn umekaliwa.
  3. MST

    "Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

    Inaelekea suala hili linamushkeli sana, hata ulcotueleza Baija bado ina maswali meg: - Huyu mkuu alikuwa na azoea haya na mama huyutu auna wengne? - Kwa nini 'polisi jamii' imuue? Kwa kunyanyua radio call? Hii inaonekana ni inside job zaidi but hatutaambiwa ukweli kamwe!
  4. MST

    Hivi Kikwete hachukiwi na wasomi tu?

    Chesty umesema kweli kabisa tunachoona ni kukosekana kwa uongozi. Hii iwe fundisho kwetu kuwa urais huhitaji kiongozi si kumpigia kura eti kwa kuwa ni handsome.
  5. MST

    Kikwete alivyoondoka Monduli chuo cha Jeshi kwa misukosuko

    Bwana Phillemon, nimekupa thanks kwa sababu umegusia kiini cha kisa hiki. Katika professional army hakuna nafasi ya fitna na hata kama una malalamiko kuhusu mkuu wako kuna utaratibu wa kufuata huwezi kuandika barua kwa amri mkuu wa jeshi. Ila pia kama nafasi ilikuwepo ya kujieleza Kikwete...
  6. MST

    Jk anadesa kwenye vikao vya kimataifa

    Jamani msema kweli mpenzi wa Mungu! Lini na wapi Mkapa aliwahi kusema eti JK ni mashine nyingine? Tuache ushabiki. Kila mtu anajua kuwa IQ ya JK haifikii hata 50% ya Mkapa, pamoja na kuwa wote wana kale kaugonjwa cha kimaadili kinachojulikana kama ufisadi, ila pamoja na mapungufu yake Ben...
  7. MST

    Ccm na makamba, nao waandae waandae maandamano kupinga madhumuni ya maandamano yacdm

    Hakuna mwenye ubavu huu. Ukweli ni kuwa wanachama wengi wa CCM hivi sasa hata t-shirt na kofia wanaogopa kuvaa hadharani hasa maeneo yaliyojaa vijana wa kijiweni! :A S 13:
  8. MST

    Mishahara serikalini kulipwa dirishani

    Hilo nalo neno! Maana tatizo kubwa la kulipwa cash money ni uporaji! Hata mfanyakazi anapoondoka dirishani na kurudi ofisini au nyumbani vibaka wanaweza kumvizia na kumpora mshahara wote! Uporaji huu unawezekana hata katika maeneo ya ATM lakini huwezi kuibiwa mshahara wote, labda kiasi kile...
  9. MST

    Chadema wampa Kikwete 'siku tisa'

    Safi sana! Ni vyema wakifanya kazi na deadline badala ya kufanya tuuuu maandamano na mikutano. Kama wangekuwa wamekurupuka wangesema siku 3 au 5.. lkn nadhani wana ratiba ya kila siku. Baada ya siku 9, moto utawaka mkubwa zaidi kwani wananchi wengi zaidi watataka kujiunga na maandamano na...
  10. MST

    Dr. NDODI: Kuvaa suruali kuna madhara kwa wanawake

    Kuuliza si ujinga: Dr Ndodi ni daktari wa nini? Yaani specialist au GP au AMC? Maana kwa kum-judge based on the above, udaktari wake unaendana na ule wa Prof Majimarefu. Mwanamke kuvaa suruali inaweza kumwepusha na madhara mbali2 ya kiafya na kijamii sasa anapojaribu kurudisha wanawake into...
  11. MST

    Waandishi kwa hili mmepotoka kama nikweli!!

    Ukweli ni kwamba si wahariri wote walioalikwa ktk mkutano huo. Wapo ambao wangekuwa na uwezo wa kukataa masharti haya lakini hawajawakaribisha. Na tukumbuke si waandishi walioalikwa bali wahariri - jambo linalosikitisha zaidi!
  12. MST

    Mishahara serikalini kulipwa dirishani

    Kurudi tena katika utaratibu wa zamani wa kulipa dirishani haitapunguza wafanyakazi hewa. Ukweli ni kwamba serikali kuu ie hazina inahaha kulipa mishahara ya civil servants. Sasa kwa kutumia utaratibu wa zamani wa kulipa dirishani wana-buy time na instead of tarehe 20 na kitu mishahara inalipwa...
  13. MST

    Hivi Kikwete hachukiwi na wasomi tu?

    Wakuu, nadhani sasa wakati umefika tutambue ya kuwa nchi yetu ni failed state na mkuu wa nchi amekosa mwongozo. Tokea 2006 alipochukua nchi alikuwa hatuongozi. Kila kitu ilikuwa remote control na system ilikuwa inaenda na steam ya awamu ya 3 lkn sasa baada ya 2010 mipango imekamilika au ku...
  14. MST

    Hodi hodi Great thinkers!

    Asante. Nitafanya hivyo na kama nitafanya makosa naomba mnirekebishe na kumbukeni kosa si kutenda kosa bali kurudia kosa.
  15. MST

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    Inaonekana picha ya juu ni ya zamani kidogo lakini ndiye Al Adawi mwenyewe. Nawapongeza wale waliofanikiwa kunasa picha yake na mpaka sasa sijaelewa mantiki yake ya kukataa kupigwa picha.
  16. MST

    Nimesikia eti mabomu hufuata simu.

    Siyo kweli, ila kuna watu wanaamini kuwa radi ndo huwa inaweza kufuata mionzi ya simu, hata hivyo hata suala hili bado halijawa 'proven scientific fact'. Ila wakati wa maafa watu wengi hujaribu kutafuta njia ya kuokoa maisha yao na huona kila kitu ni hatari. Hata hivyo nimesikia kwa mhanga kuwa...
  17. MST

    Hodi hodi Great thinkers!

    Wakubwa shikamooni, wadogo mamboz? Naomba mnipokee ili na mimi nikue nipate za kwangu na niweze kuwa Great Thinker, naamini pia hata kwa hatua niliyofikia mimi pia nitaweza kutoa mchango wa kujenga this historic Tanzanian forum na kuendeleza mijadala hasa inayohusu mustakabali wa nchi yetu...
Back
Top Bottom