Search results

  1. TheNinja

    Staili nyingine ya wizi ATM

    Soon tutarudi kwenye vibubu
  2. TheNinja

    Nataka nijaribu kuzama chumvini ili asinione mshamba

    Nini chumvini watu wanazama topeni
  3. TheNinja

    Alichopost Zari instagram

    Kwa hiyo Mkuu?
  4. TheNinja

    Alichopost Zari instagram

    Duh Nifah Upo vizuri kudadavua mambo
  5. TheNinja

    PICHA: Chuki ya Dola dhidi ya wananchi inatoka wapi?

    Kaka kumbe na wewe uliona kama vipi twende tukaliwekee dhamana litatukumbuka na sie
  6. TheNinja

    Je, ni kweli Mpoki hakuhudhuria harusi ya Masanja?

    Samehe saba Mara sabani kaka hausahau tu
  7. TheNinja

    Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

    Tumbili mbuga duh Huyu mshkaji mpk leo sina hamu nae
  8. TheNinja

    Unaishi karibu na msanii gani kitaa chako?

    Muda kidogo kama miaka mitatu nyuma
  9. TheNinja

    Maisha ninayoishi nilishayaota miaka mitano nyuma

    Nianze tu kwa kusema sijui ni kwanini na ni nini katika maisha yangu toka nikiwa mdogo. Nimekuwa na tabia ya kuota nafanya kitu flan na itapita miaka kama mitano hivi au zaidi nakutana na kile kitu nilichoota siku za nyuma na ninakumbuka kama nishaota hili tukio. Kwa mfano, nishawahi kuota...
  10. TheNinja

    Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

    Kama hauna hiyo pesa kaka naweza kumsaidia Shemeji apate gaunu analolipenda
  11. TheNinja

    Mke wa mtu ananiomba niwe hawara wake

    Woga wako ndio umaskini wako
  12. TheNinja

    Unaishi karibu na msanii gani kitaa chako?

    Duh niliwahi kuishi nyumba moja na linex duh balaa jamaa mibangi sana nakumbuka mpk mwenye nyumba alimwendea serikali ya mtaa jamaa anadaiwa kodi na ahame
  13. TheNinja

    Mke wa mtu ananiomba niwe hawara wake

    Hainaga ushemeji kula tu Mkuu hawa wameumbwa kwa ajiri yetu mie mwenyewe ninae mmoja nampakuaga kama sina akili nzuri
  14. TheNinja

    Nimempangia ratiba ya kujamiiana, hataki kuifuata

    Sio kweli sometimes hata hata mwanaume anaona kuliko kwenda nje ni bora afanye umalaya wake kwa mkewe
  15. TheNinja

    Nimempangia ratiba ya kujamiiana, hataki kuifuata

    Mkuu usikute hiyo ndio kazi yake
  16. TheNinja

    Danguro la uwanja wa fisi, polisi hamlioni?

    Kaolewa wapi Mkuu maana najua jasiri haachi asili
  17. TheNinja

    2016 Toyota Fortuner 2.8 GD.

    IPO vizuri nacho zipendea ni nyepesi zinachanganya haraka
  18. TheNinja

    Mugabe aagiza polisi kuwakamata wanamichezo waliochemsha Olympic Brazil

    Wanasemaga nyani haoni........ Ndio Huyu Mzee
Back
Top Bottom