Search results

  1. T-1000

    Video za nyimbo 10 bora za wakati wote zilizoweza kufikisha ujumbe kama ilivyokusudiwa

    Hiyo no. 10 Ya Lucky dube inaitwa it is not easy
  2. T-1000

    Madonna amefikisha miaka 60 leo

    Ana vituko lakini kipaji cha mziki anacho, namkubali sana Madonna, napenda nyimbo zake kama Frozen, power of goodbye, substitute for love, holiday, na nyinginezo
  3. T-1000

    King’amuzi cha Azam chaondoa Chaneli za FTA na kubakiza TBC na ZBC tu

    Utaendelea kuiona TBC 1 pekee tu kwa kuwa ndiyo channel ya bure Ambayo providers wanatakiwa waionyeshe, local channels zilizobaki ni option ya service provider kuonyesha bure au asionyeshe kabisa
  4. T-1000

    Haya magazeti yanamuonea Magufuli au ndivyo ilivyo

    Mkuu Kwa mtu ambaye hajazisoma hukumu hizo anaweza hisi walionewa lakini ukizisoma hukumu hizo kama una roho nyepesi unatokwa machozi jinsi watoto walivyofanyiwa
  5. T-1000

    Je, ni wakati muafaka sasa kwa Babu Seya na Papii Kocha kuomba radhi?

    Mara ya kwanza nazisoma hukumu zao zote kuanzia kisutu nilihisi kutoa machozi Kwa jinsi watoto walivyofanyiwa , ni moja ya kesi ambazo Prosecution walijipanga vizuri
  6. T-1000

    Michael Jackson ni mmoja ya watu wenye akili sana waliopata kuzaliwa Duniani

    Earth song ni moja ya nyimbo zake ninazozikubali sana, video yake baadhi ya clip zimechukuliwa Tanzania
  7. T-1000

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nakuunga mkono mkuu, game kama dhidi ya middlesbrough haikuwa ya draw, tulistahili point 3, mwaka huu arsenal ana kikosi kipana Lakin baada ya draw ya middlesbrough niliona matatizo yale yale yanajirudia ya misimu iliyopita, tungekuwa tunaongoza ligi now, msimu huu tupo vizuri
  8. T-1000

    Kipi kipindi bora kati ya Friday night live na D'Wikend chat show

    FNL noma wakuu me nakikubali sana
  9. T-1000

    Maalim Seif aiandikia barua ZEC, kujitoa rasmi kwenye uchaguzi wa Machi 20

    Mbona hata Tz bara Lowasa alitangaza ameshinda
  10. T-1000

    Car4Sale Nissan Primera for sale

    Km ngapi ?
  11. T-1000

    Kaniwekea dawa za kulevya kwenye wine na kunibaka

    Unasema ni glass moja ya wine na wakati huo huo umesema Jamaa alifuata trip kama tatu za wine, kuna contradiction here, anyway nice Scripts
  12. T-1000

    Mambo gani yanaweza kubatilisha WOSIA?

    Huyo mtoto unayetaka kumtoa katika beneficiaries ni lazima utoe sababu why, kuna case law zimetoa muongozo wa sababu hizo moja wapo ni kama huyo mtoto alitaka kujaribu kukua, kuna zingine pia ngoja nitafute hizo case ntarudi
  13. T-1000

    Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

    Hiyo nyingine
  14. T-1000

    Halima Abdallah Bulembo, Mbunge mdogo kuliko wote Bunge la kumi na moja!

    Ccm ni ile ile... Mtaisoma namba .....
  15. T-1000

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa, Musoma mjini - Oktoba 11, 2015

    No umekosea Saddam ni rais wa Kuwait na sio Libya mkuu..
  16. T-1000

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowasa
  17. T-1000

    Kwa kibano hiki Lowassa hatoki

    Pole mleta mada
Back
Top Bottom