Search results

  1. Joe Unruly

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Asante kwa ufafanuzi, kuna hiko kitabu, nmescreenshot costs zake, cost ya shipping iko juu ilhali kitabu kina uzito wa gram 790 tuu
  2. Joe Unruly

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mwl nina swali. Kuagiza kitabu (hardcopy) Amazon gharama yake halisi ikoje? Nimepitia vitabu kadhaa naona gharama ya kusafirisha iko juu sana. Kuna namna ya kupunguza cost kusafirisha au kuna online store nyingine ambayo delivery cost ya vitabu iko affordable? Shukrani.
  3. Joe Unruly

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Chief samahani. Kuna app nliinstall kwenye PC nkijua ni crack kumbe ni ransomware. Imekula file zangu, hasa hasa documents (pdf, docx, epub etc) na nyimbo. Imeziencrypt na kuzipa file extension mpya ya .rtgf na kunitumia text message kudai ransom kama $$900 kuzifungua (kuzidecrpyt). Je, hamna...
  4. Joe Unruly

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Mkuu samahani, hii app inaitwaje??
  5. Joe Unruly

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Chief nashkuru kwa uchambuzi. Samahani kwa mara nyngne, je Kati ya redmi 9 na redmi note 8 ipi ni bora in terms of performance na specs?? Oh my..... ain't no tellin
  6. Joe Unruly

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Redmi 9 unazo mkuu?? 64/4 gb sh ngapi?? Oh my..... ain't no tellin
  7. Joe Unruly

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Chief samahani...Nina options mbili hapa Kati ya Samsung A11 na redmi 9a, unashauri nchukue ipi?? Naomba comparison in terms of bands za 4G, processing performance na fast charging Thanks in advance Oh my..... ain't no tellin
  8. Joe Unruly

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Just finished with The rogue lawyer by John Grisham.... Currently reading El Sicario: Autobiography of a Mexican assassin. Oh my..... ain't no tellin
  9. Joe Unruly

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Mkuu Kiranga...kuna thread moja nliona umemwongelea Stalin....naomba suggestion ya kitabu kinachomzungumzia kiundani, his history, rise and fall. Thanks in advance mkuu. Oh my..... ain't no tellin
  10. Joe Unruly

    Wenye wallpaper pamoja na picha kali tukutane hapa

    Oh my..... ain't no tellin
  11. Joe Unruly

    Nauza suruali za kadeti

    Mkuu ongezea picha za jeans tuchague Oh my..... ain't no tellin
  12. Joe Unruly

    John wick ni movie zenye action za kibabe sana

    Mads Mikkelsen aliitendea haki nafasi ya ustelingi...jambazi ndo alkosewa
  13. Joe Unruly

    John wick ni movie zenye action za kibabe sana

    Kuna The night comes for us...ni unyama mzee dogo Iko Uwais yupo
  14. Joe Unruly

    John wick ni movie zenye action za kibabe sana

    Kingsman ya pili iliuma pale jamaa mwenye upara anakufa....akawa anaimba wimbo wa "country roads take me home"
  15. Joe Unruly

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    https://www.jumia.co.ke/jbl-tune-110-in-ear-headphones-black-17921377.html Mwl. RCT nataka hizi earphones...ila zpo Kenya unaweza kuniagizia....na gharama itakuaje??
  16. Joe Unruly

    Series (Special thread)

    Wahusika wamezeeka....Todd ndo kabsa hadi kitambi Ni single movie inaelezea what happened baada ya Pinkman kutoroka
  17. Joe Unruly

    Series (Special thread)

    Hii post inaonesha kama vile jamaa kaaga hatarudi kwne episode za mwsho
  18. Joe Unruly

    Marvel Cinematic Universe special thread

    Na kwne marvel comics yupo...ni mshkaj wake rocket
Back
Top Bottom