Search results

  1. chisluk

    TANESCO mbona unatupa stress kiasi hiki?

    Shirika la hovyo sana hili yani yakijisikia tu yanakata umeme saa ivi yanakata hata siku mbili mfululizo sasa huu ni mgawo wa umeme au mgawo wa giza
  2. chisluk

    Nigeria: Watu 50 wauawa kwa mashambulizi ya risasi

    Daah mtu kwenye pikipiki anatembeza shaba kwa raia
  3. chisluk

    Msaada: Napata maumivu baada ya kumaliza tendo

    I Ivi ukipumzika kwa muda flani hata kama kulikuwa na cells ziko damaged zinaweza pona kumbe
  4. chisluk

    Siwezi kufanya mapenzi na mwanamke mpaka tupigane hasa!

    😂😂😂😂 umenichekesha sana aisee sema jaribu kutafuta hisia akiwa ana furaha
  5. chisluk

    Naomba msaada wa tiba ya homa ya ini

    Pole sana mkuu i can feel your pain wewe kama ni mzima wa afya mahukuru sana Muumba wako
  6. chisluk

    Nataka kujua vitu vya kula kujiboost niwe imara

    Wewe si ndio umetoa bandiko humu ukilalamikia tatizo hilo hilo au umepona tayari
  7. chisluk

    Nifanye nini nisiwe hanithi

    Umeangalia na kujichua kwa muda gani
  8. chisluk

    Ni maamuzi gani ya ajabu uliyowahi kuyafanya sababu ya mapenzi?

    Nilifanya kitu cha kipumbavu sana bila kupima kitakuwa na madhara gani baadae kisa mapenzi ila kinanicost mpaka leo yani karibia mwaka sasa
  9. chisluk

    Naomba ushauri: Nina shida ya kukojoa mkojo kidogo sana

    Pole sana wahi hospitali haraka sana
  10. chisluk

    Marekani yatangaza Tsh. Bilioni 11 kwa atakayefanikisha kukamatwa Joseph Kony

    Kwani ni mara ya kwanza kutangaza wewe ndio shirikisha fuvu hilo
  11. chisluk

    Marekani yatangaza Tsh. Bilioni 11 kwa atakayefanikisha kukamatwa Joseph Kony

    Sasa US kama walishindwa kumkamata ama kumuua kipindi kile wamekuja kufanya operations pamoja na majeshi ya Uganda wanataka nini tena ni wakati sahihi wa wao kukubali kuwa wamemshindwa mwamba joseph kony
  12. chisluk

    Natafuta Gynecologist mzuri Mbeya

    Pole sana ila kama mdau alivyosema hapo juu nenda na mwenzako mkachekiwe wote kwa pamoja
  13. chisluk

    Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Hiyo chango inapimwaje
  14. chisluk

    Msaada: uvimbe kwenye mrija wa uume

    Yani umehisi tu kuwa una uvimbe baada ya kubinyeza?? Kama una wasiwasi we nenda tu hospitali huko ndipo utapata tiba sahihi
  15. chisluk

    Msaada tafadhali, napitia wakati mgumu sana

    Hiyo inatokeaga hata mimi niliwai shikwa na mmoja mpaka nikajishangaa ni mimi kweli na nilipelekwa puta vibaya sana mpaka baadae nikaamua yaishe tu iliniuma sana ila nikasahau mdogo mdogo tu
  16. chisluk

    Msaada tafadhali, napitia wakati mgumu sana

    Mkuu vuta pumzi ndani acha ipite hiyo hayo mambo yanauma sana sana asikwambie mtu ila endelea na mishe zako jichanganye na watu usimtafute kabisa mda sio mrefu utarudi normal tu
Back
Top Bottom