Search results

  1. ely B

    Sera ya afya na usalama mahali pa kazi

    Wadau naomba msaada wa soft copy ya Sera ya taifa ya afya na usalama mahali pa kazi. Mwenye nayo naomba a-attach tu hapa kwenye hii thread.
  2. ely B

    list ya majina ya watu waliochaguliwa zaidi ya chuo kimoja

    TCU kwa sasa hawachagui wanafunzi,vyuo ndo vinachagua vyenyewe na kuyapeleka TCU, ndipo TCU wanaangalia waliochaguliwa na vyuo husika wanavigezo vya kusoma elimu ya juu pia na kuangalia waliochaguliwa vyuo zaidi ya kimoja Ku confirm kimoja na baada ya apo wanaruhusu maombi tena kwa ambao...
  3. ely B

    Joining instruction ya mzumbe

    kila mtu anawekewa yake kwenye akaunti tumia link hii kuingia http://aris.mzumbe.ac.tz:8080
  4. ely B

    Mzumbe, kuna tatizo gani katika system yenu ya udahili?

    system yao kiukweli inasumbua nikilog in naambiwa kati ya username na password kuna kimoja kinakosewa yani nashindwa kuelewa kabsa na uku ndo kila siku natumia
  5. ely B

    Bsc. Industrial Engineering vs Bsc. Industrial Engineering Management

    kati ya kozi tajwa apo juu ipi inauwanda mpana wa kujiajiri au kuajiriwa karibuni kwa maoni.
  6. ely B

    Bachelor of industrial engineering ya UDSM vs bachelor of industrial engineering management ya Mzumbe

    Naombeni nisaidiwe tofauti kati ya izi degree programme Bachelor of industrial engineering ya udsm na bachelor of industrial engineering management ya Mzumbe ili niweze kumsaidia mdogo wangu kwa sababu mimi nimeshindwa kumpatia majibu aliponiuliza kuhusu ipi inauwanda mkubwa wa kuajiriwa au...
  7. ely B

    Muhimu kwa waombaji mikopo

    Soma tangazo hilo kutoka RITA
  8. ely B

    Serikali itoe tamko rasmi kwa vyuo vikuu kurudisha pesa zetu

    Kwanza naipongeza serikali kwa hatua ilizochukua kuhusu kupunguza gharama za maombi kwa vyuo vyake kwa waombaji wanaotarajia kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka 2017/18. Ombi langu kwa serikali ni kuiomba itoe tamko kwa umma na kwa vyuo husika kurudisha pesa kwa waombaji walio omba kabla ya...
  9. ely B

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    uwezi mkuu kwa sababu wanataka uwe na C mbili kwa walio maliza 2014 na 2015
  10. ely B

    Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Natumaini mu wazima.Naomba aliye kwisha pata joining instruction letter ya Vudoi secondary kwa kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2017/18. Anitumie kupitia e-mail hii abu.eli6@yahoo.com Natanguliza shukrani.
  11. ely B

    Top Six Hardest Physics Topics Ever...

    sio tu kuwaridhisha wanafunzi pia kuwaridhisha wakaguzi pindi wanapokuja kukagua
  12. ely B

    Waliochaguliwa Clinical Officers Training Centre Mvumi-Dodoma tukutane hapa

    Joining instructions ulishapata sababu ulisema ukipata ndo utakuja na ufafanuzi zaidi
  13. ely B

    Natafuta kazi ya kufundisha masomo ya sayansi

    uko wapi ndugu,emu jaribu kutuma tu maombi kwenye shule hasa shule za binafsi
Back
Top Bottom