Search results

  1. Jabman

    Kwa nini Emmerson Mnangagwa aliyekuwa makamu wa rais wa Zimbabwe wanamwita crocodile(mamba)?

    Alikuwa mwanajeshi was jeshi LA majini. Aliishi majini kwa zaidi ya siku 30 bila kutoka nnchi kavu.na ndo hapo jina LA crocodile lilipoanzia.
  2. Jabman

    Masha, Mkumbo, Mwigamba, Albert Msando na Katambi Mwenyekiti BAVICHA, wajiunga CCM

    In kawaida mchezaji anayesumbua timu pinzani kutafutwa kwa dau kubwa ili wampate. Anaweza kupewa namba au kukaa benchi mradi hasumbui tena. Hata siasa hivyo hivyo ila tuangalie, si ajabu kupelekwa sleeper agents ili warudishe feedback. Katambi vs Nyarandu NB. Tusijenge chuki
  3. Jabman

    Mkenya ashinda taji la malkia wa urembo Afrika

    Vipi , unamfahamu ni wa wapi?
  4. Jabman

    Kwanini Wakulya Hadi Leo Wanapigana Vita?

    Hata wamarekani wanapigana hadi Leo huko Pakistan na wako mbioni kupigana na kim
  5. Jabman

    Msaada: Nahitaji kwenda South Korea

    Nenda North Korea ndiko amani imetamalaki
  6. Jabman

    Robert Mugabe Ataacha kwa Hiari, Atarejea Ikulu Akiamua

    UN is nonsense. Wazimbabwe waamue wenyewe hatma ya nnchi yao
  7. Jabman

    Upi mkoa wa ndoto za maisha yako?

    Hahahahahahhhhhhhhhh!!!
  8. Jabman

    Bila haya Bidada ana miaka 33 anataka nimwoe. Nimemcheck usoni yupo serious kabisa

    Atakufaa huyo, ameletwa kwako na Mungu muumba mbingu na nnchi. Kwanza ni bikra kajitunza sana. Unataka kupiga teke bakuli LA dhahabu. Lakini pia uache women discrimination
  9. Jabman

    Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

    Siyo kuchanwa. Ukitaka kubadili jinsia ndipo watakuchana.
  10. Jabman

    Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

    Siyo operations. Utapimwa kwa vipimo maalumu siyo kupasuliwa mkuu. Jipe moyo
  11. Jabman

    Kiwanda gani naweza fungua/anzisha kwa gharama ya millioni nne?

    Ukipata access ya malighafi inawezekana tu. Faida zake ni kuwa, makapi ya alizeti, Karanga na ufuta ni chakula kizuri sana kwa mifugo kama kuku, ng'ombe nk
  12. Jabman

    Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

    Nenda kwa daktari akuchunguze ipi inafanya kazi sawsawa yaani aangalie mayai ya kike na mbegu za kiume zipi zenye nguvu zaidi. Akuangalie mfuko was uzazi kama una uwezo was kubeba mtoto. Kama vyote vitakuwa sawa ytaangalia mwenyewe ni wapi unapata raha.
  13. Jabman

    Kiwanda gani naweza fungua/anzisha kwa gharama ya millioni nne?

    Uko mkoa gani? Unaweza kuanzisha kiwanda cha mafuta ya alizeti, karanga ufuta nk.
Back
Top Bottom