Search results

  1. K

    Gazeti la Raia Mwema na habari za Ki-Facebook!

    Angalia unavyochanga vitu, tuchangie ipi katika hizi?
  2. K

    Gazeti la Raia Mwema na habari za Ki-Facebook!

    mtoa mada hivi mbona hujaeleweka hoja hasa ni nini unayotaka kutuambia sisi wananchi maana hoja yako imeonyesha jinsi unaposema wasifu wa ofisi zilipo na si hoja ya habari za kifacebook. Unapotaka kusema kitu kwanza jenga hoja kisha leta watu wajadili, yaelekea bado unamhemko wa pombe...
  3. K

    Nimemtafutia kazi sasa anakataa kutoa penzi kwa bosi, mimi nimfanyeje?

    Nakubaliana na wewe Jean Philipe Beyun, huyu jamaa kaonyesha udhaifu wa hali ya juu, yaani anamtoa dada yake kuingia katika shimo la moto, je ana uhakika gani wa usalama wa huyo bosi, ninavyojua huyo bosi hatotaka kutumia kinga na baada ya hapo atamtosa na kumsema vibaya. Namshauri huyo dada...
  4. K

    Shibuda: Mimi Nyambizi Sitoki CHADEMA

    NA MARY VICTOR MBUNGE wa Maswa Magharibi (Chadema), John Shibuda, amekanusha madai ya kukihama chama hicho na kujigamba kwamba yeye ni sawa na “Nyambizi ya kisiasa isiyozama.” Akizungumza na Raia Tanzania katika mahojiano kwa njia ya simu jana, Shibuda alisema tangu juzi amekuwa akipokea simu...
  5. K

    Evarist Chahali, hili limenitisha!

    Huyu bwana alikuwa usalama ambaye yuko masomoni uskochi miaka mingi tu nafikiri kaamua kuishi huko
  6. K

    Kibanda amemuudhi nani?

    Mkuu samahani lakini wakati unaandika hii kitu ulikuwa unakimbizwa mbona umeunganisha maneno kama mntoto anayejifunza kuandika? Ebu jaribu kutuliza akili kwanza kabla ya kuanza kuweka mawazo hapa.
  7. K

    balaa gani hili jamani la reg.no!

    Taarifa niliipata kiintelejensia ni kuwa namba za TxxxCCM zilipoingia wadau wa CCM wamezihifadhi kwa ajili ya usajili wa magari yao mapya wanayotarajia kuyaingiza kwa shughuli za chama na chaguzi zinazokuja
  8. K

    Kova: Kelele Zenu Ni Bure, Ahmed Msangi Ni Mtu Safi. Lazima Aongoze Tume...

    hivi jamani kuna mtu ambaye hajui katika makamanda wengi hata wale waliostaafu wa jeshi hili la polisi walilidhishwa tabia ya ujambazi na yule BABA yao OMAR MAHITA Ngunguli kwa hiyo hata iweje ni lazima watete ujambazi hasa katika kipindi hiki cha wao kujiandaa kustaafu, majuzi tumesikia kontena...
  9. K

    Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

    Alichosema chaArusha ni kweli hawa ni watu wawili tofauti japo majina yanafanana, isitoshe katika New Habari kuna mtu mwigine anaitwa Chrisostom Rweyemamu je na yeye mtasema ni ndugu? Jibu ni wazi kuwa si ndugu japo wapo kwenye fani moja. Muhingo taaluma yake ni mwalimu wa sekondari hivyo...
  10. K

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Wakuu hii ni kweli saa kumi jioni ameita wahariri na waandishi kwenda ikulu.
  11. K

    Katoliki kuwekeza zaidi katika elimu

    nimefurahi sana kuona kanisa linawekeza katika elimu tena kwa maendeleo ya vijana hapo hakuna kubagua lakini ngoja mpuuzi mmoja anaitwa malaria sugu aje kuchafua hali ya hewa twamsubiri kwa hamu ms
  12. K

    Rwanda yanunua ndege mpya!!

    Natoka kisha ntarudi tena
  13. K

    Rwanda yanunua ndege mpya!!

    halijua kubadili nembo tu
  14. K

    Rwanda yanunua ndege mpya!!

    HIVI KIKWETE KWELI ATAONA AIBU WAKATI YEYE DHAMIRA YAKE YA KUWA RAIS IMESHATIMIA? HAPA ATATUPELEKA MPAKA 2015 kisha atakuja mwingine ambaye atujui atatupeleka wapi sababu HAKUNA MTU WOTE WANAFIKRA KAMA ZA HUYU TU
  15. K

    Rwanda yanunua ndege mpya!!

    RWANDA hiyo hiyo majuzi wamegundua gesi katika ziwa Kivu yule waziri wao mwanamama kasema wanataka kutengeneza umeme kutokana na gesi hiyo sisi huku watu wanapongezana kwa kurudishana madarakani kwa sababu tu wakati alipokuweo walikuwa wanapata milioni moja moja, huku TAIFA likiangamia gizani...
  16. K

    Rwanda yanunua ndege mpya!!

    Hivi wakati mdau wa shirika la ndege la precionAIr anataka kuifanya marekebisho ya utendaji ATC tulimkatalia lakini wazo lake hilo leo hii shirika lake limepiga hatua kubwa kweli na majuzi tu kaanzisha safari ya Afrika Kusini, hivi ATC kama shirika la umma lilishindwa nini kuchukua mapendekezo...
  17. K

    Rwanda yanunua ndege mpya!!

    JAMANi HIVi sisi tunashindwa nini, yaani kila nchi tuliyoisaidia kujikomboa zinapiga hatua lakini sisi tunabaki pale pale na si ajabu tunashuka zaidi. Tatizo ni kwamba viongozi wetu wamezidi kuwa vilaza na uchowo wa nafsi zao na familia zao. Nchi iliyokuwa na ndege kumi leo hii hata moja hakuna...
  18. K

    Kama unauhakika wa kupata maziwa ya nini kufuga ng'ombe?

    nimeipenda hii nami nilikuwa namwandalia jibu kama hilo, thanxs
  19. K

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Kamujingijingi---naomba tafsiri kwa hii nadhani ni kinyaturu MAANA YAKE KURUKARUKA
Back
Top Bottom