Search results

  1. khamsinda

    NATA STATIONARY

    Habari wakubwa zangu, Nimewaletea stationary ya kibabe zaidi ambayo inatoa huduma kwa bei nafuu kabisa sawa na bure. Tunatoa huduma zote za secretarial services kama vile printing, typing, binding lamination, copies na tunatengeneza business card. Pia tunasambaza [supply] files, rim papers, pen...
  2. khamsinda

    Nauza mahindi, nina tani 34, nipo Dar

    Salamu wakuu, Mimi ni mkulima wa mahindi, nina tani 34 za mahindi na napatikana dar es salaam. Kilo nauza kwa sh.650. Napatikana dar es salaam. Ukihitaji ni pm tumalize biashara. Karibuni wakuu I need serious buyers
  3. khamsinda

    Msaada: Economic dissertation topic

    Wakuu salamu ziwafikie popote mlipo. Kijana wenu nina shida sana ya topic ya kiuchumi ambayo data zake zipo tayari ili niifanyie dissertation.. Nataka yenye data kabisa na mahali nitakapo pata hizo data kwa maana sisi hatuna mda wa kuzunguka kukusanya data. Ni tunafanya dissertation huku...
  4. khamsinda

    Natafuta chumba maeneo ya TCU

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha ardhi. Natafuta chumba maeneo ya sinza mitaa ya tcu au hata kivulini, catalunya au lufungila.. Kiwe cha tiles na kikubwa Bajeti yangu 100k Hata kama nyumba maeneo hayo inapangishwa nikapata room ya laki ndani ya hiyo nyumba ni fair pia. Napenda kuwasilisha
  5. khamsinda

    LA LIGA 2016/17 SEASON SPECIAL THREAD

    Haya sasa... Wale wapenzi wa ligi bora duniani, Ligi yenye miamba mikubwa ya soka duniani Fc Barcelona, Real madrid na Sevila.. Ligi yenye wachezaji bora kabisa kuwahi kutokea duniani CR7 na La pulga Messi.... Karibuni katika uzi huu tufanye tathmini ya ligi yetu pendwa kwa msimu huu wa...
  6. khamsinda

    Wenye ujuzi wa kufanya cost benefit analyisis

    ECONOMISTS wenzangu wa jukwaa letu pendwa la kiuchumi. Habari zenu wakuu ! CBA ndio uchumi wenyewe.. Naomba tushirikiane kwa wale wenye ujuzi zaidi jinsi ya kufanya cost and benefit analysis katika projects mbalimbali na mifano zaidi... Hii ni kwa ajili ya kuwa na wanauchumi imara Tanzania...
  7. khamsinda

    Kabila la Wairaki tufahamiane hapa

    Habarini ndugu jamaa na marafiki mliopo humu JF, Mimi kijana wenu nimegundua kuwa kabila letu Wairaki kama tupo wachache sana hapa nchini. Ningependa tufahamiane humu vizuri.
  8. khamsinda

    HUWAWEI 625 AVAILABLE FOR 200K

    Wakuu habari zenu Nna huwawei 625 nmeinunua si mda naiuza kwa laki 2. Warranty yake nakupa ni ya mwaka mmoja. If interested nicheki.
Back
Top Bottom