Owawa mimi niliweka post kuomba CV yako baada ya safari yetu ya utafiti kuhusu Afya katika mkoa wa mara,timu yetu ya watu wanne tulikuwa Rorya,Bado mna kazi kubwa sana,hali ya Afya ni mbaya sana kwa walio wengi.Jitahidi sana ufike na kushirikiana na ndugu zako kutatua changamoto za wilaya ya...
Wana JF juzi nilikuwa kwenye utafiti mkoani Mara nilikuwa nimepangiwa wilaya ya Rorya,Wakati tukiwa kazini nilisikia wananchi wakisema kuwa Mbunge wao yuko likizo ndio maana hasikiki Bungeni,Mbunge wa Rorya kwa sasa ni Lameck Airo,katika pita pita zetu niliwauliza wanajiandaaje kwa uchaguzi wa...
Je,ni CHADEMA ndio ilimpa Mke wa Dr.Slaa kazi ya kutafuta accounting package au CHADEMA? kuna mgongano wa kimasalahi katika hilo pamoja na propaganda zote lakini kumpa mke wa Dr.Slaa bado inazua maswali mengi katika maadili na usimamizi.Kuhusu Tumbo na Mwigamba lazima tukubali palipo na upungufu...
Kwa hiyo yote aliyosema Mkapa ni utani? Kweli Unahitaji kuwa kichaa kuwa au kutetea CCM,wanaarumeru mashariki mpoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo,hiyo ndiyo CCM ya Mkapa na Kikwete ya kutetea ardhi!!
kumbe unajadili watu na kukubaliana na mfumo kuwa ni safi,kama mfumo wa chama ungekuwa na kasoro na matokeo yake ndio kupata watu wabovu ungekuwa na hoja,acha kuwaza fikiri
Nukuu ya maneno haya unajua maana ya upana na tafsiri yake?
Poleni kwa kazi ya kuahalalisha maovu kwa ulaghai wa maneno ya Mwl.
Makosa yetu mengine hutokana na woga; woga unaotuzuia kumlaumu mkubwa japo tunajua kuwa kakosa, au kumtetea mdogo anayelaumiwa na wakubwa japo tunajua kuwa hana...
Kumbe wachaga nao ni wanachama wa CCM? Tangu lini? nakumbuka Nape Nauye aliwahi kusema kuwa CDM ni chama cha Wachaga,iweje leo Tesha amwagiwe Tindikali na Wanachadema?.Democrasia ina garama.
Kwa sasa tulipo hakuna namna yoyote ya kuweza kuwadanganya umma kuwa CCM ina watu,lakini kwa sababu wewe mwenyewe unaonekana muoga,subiri kazi itakayofanywa Igunga.
Tujadili matokeo badala ya kusababisha matokeo,tujiandae kuepusha wananchi wa igunga na Balaa ya kuwa kuendelea kuwa utumwani,Mimi naenda Igunga kutimiza wajibu wangu.Wewe Je? Mjulishe mwenzio kuwa Ukombo wa Nchi hii unahitaji ushiriki wa kila moja alie na nia njema.Tumechoka kuwa katika...
SIMON GROUP CO.LTD inayojitambulisha kununua shirika la usafiri Dar es Salaam ni wawakilishi wa viongozi wa Tanzania katika kufisadi mali za Umma.
Anae jitambulisha kama Robert Simon Kisena ambae alisoma Nsumba Sekondari School akijulikana kwa jina JOKALA KISEANA na kumaliza Kidato cha Nne...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.