Search results

  1. B

    Kuhusu Muungano, Wazanzibari wametuzidi ujanja

    Inawezekana tumewazidi ujinga
  2. B

    Israel inavyorudi upya Gaza kwa nguvu, ni wazi kulikuwa na njama kati yake na Marekani kuiwacha Iran ishinde ili kupata ushindi wa Gaza

    1. Inahitaji mtu kuwa mwenda wazimu kuinga mkono Israel kwa lolote hapa ilipo kwenye hii vita. 2. Hivi Gaza wanaiishikilia yote inahitaji bado kutumia mabomu, ndege, drone au mizinga? Si waombe ushauri hata kutoka kwa kina muliro?
  3. B

    Mbunge Musukuma ashauri V8 za Mawaziri zifungwe mitungi ya gesi ili kubana matumizi

    Ukiona wao hawachangamkii hiyo fursa na wao wanakuhamasisha ujue wewe ndiyo fursa
  4. B

    Israel inavyorudi upya Gaza kwa nguvu, ni wazi kulikuwa na njama kati yake na Marekani kuiwacha Iran ishinde ili kupata ushindi wa Gaza

    1. Labda Ilikuwa na maana ya FaizaFoxy? 2. Tofautisha sisi wengine wengi tu tunaopigania haki bila kujali ni Ukraine, Sahara Magharibi, tukipinga ukoloni na utumwa na wenye dini zao. 3. Kuwashupalia Johnny Sack na sisi wengine kuwa wafia dini kama wewe ni umbumbu uliopitiliza. 4. Nikukumbushe...
  5. B

    Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

    Ningali namsubiri mwongozo wako kuhusu haya mavalio tunayoyaheshimu sana ndugu. Nduguyo Yoda anaonekana kutokukusikia ukiyaita vinginevyo. Unaweza kuthubutu kutamka kwa sauti tena kama wewe ni kidume kweli kweli?
  6. B

    Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

    1. Hilo kamwulize yeye. 2. Nimekuwa nikimwona akibagaza ya wengine kuwa ni Madera wewe hujawahi kuliona hilo? 3. Ni kwa kuliona hilo ndiyo maana nilimletea hivyo picha kuupata mwongozo wake au wa awaye yote ambaye amekuwa akiona na akabqkia kimya labda kama wewe pia. Au nasema uongo ndugu...
  7. B

    Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

    Ninatambua hivyo na kuyaheshimu mno. Ila hujawahi kumsikia nduguyo MK254 akibagaza mavalio ya wengine? Uliwahi kumkumbusha hilo hata mara moja? Au ni pale yanapotuhusu tu?
  8. B

    Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

    1. Wapi umeona nikibagaza nguo za watu hata kama mimi hazinihusu? 2. Au wapi umeona nikijinasibu popote na dini yoyote Ile? Angalizo: miye siyo mfia dini mwenzenu zenu ziwe uislamu, ukristo, ubaniani, uhindu, ubudha, upagani nk. BTW: Vipi vile vi drone vyetu vya watoto lini mwarusha tena?
  9. B

    Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

    Kuna hizi nguo za heshima sana hapa: Hivi tunaziitaje kwa majina ndugu?
  10. B

    Namna ya shambulizi la Israel huko Isfahan-Iran inathibitisha Israel wamedhamiria na wanawaalika Iran kwa vita kamili.

    Shambulizi ukilizungumzia ni hili? SI tulishakubaliana ngoma ya watoto haikeshi?
  11. B

    Sikutarajia Israel Wajibu kinyonge hivyo, wenda maombi yetu ya amani yamesaidia

    Habari mbaya mno kwa akina MK254 na wenzao buza pale:
  12. B

    Sikutarajia Israel Wajibu kinyonge hivyo, wenda maombi yetu ya amani yamesaidia

    Achilia mbali mchokozi nani. Ulisoma kweli nilichokuwa nimeandika au ni kukurupuka tu?
  13. B

    Figo zimefeli ghafa umri miaka 37

    Poleni sana. Hapo ufumbuzi wa kudumu waweza kuwa kufikiria kumpa figo.
  14. B

    Uingereza yasema kipigo kutokea Israel ni suala muda tu

    Kwa mtaji huu: Vita kwishney.
  15. B

    Sikutarajia Israel Wajibu kinyonge hivyo, wenda maombi yetu ya amani yamesaidia

    Kwa hakika imekuwa ni kinyonge sana! Bora angerusha hata jiwe Kwa manati: MK254 umeona nduguzo migambo wanarukaruka na kukanyagana huku? Ama kweli vita si lele mama
  16. B

    Jinsi Iran ilivyojipata chini ya utawala wa Ki-Ayatollah

    Kwani nyani huona kundule?
  17. B

    Sikutarajia Israel Wajibu kinyonge hivyo, wenda maombi yetu ya amani yamesaidia

    Habari mbaya mno hii kwa wale mabwanyenye uchwara wa vita; MK254 na wenzao Buza pale. Imekuwa kelele za chura au za mlango. Kazi kweli kweli.
  18. B

    Uingereza yasema kipigo kutokea Israel ni suala muda tu

    Kwa mwendo huu wala haipo haja ya kumrushia lolote:
  19. B

    Uingereza yasema kipigo kutokea Israel ni suala muda tu

    Bila taarifa za hasara au kiwango huu unakuwa utopolo utopolo wa kiana mgambo mgambo tu.
Back
Top Bottom