Search results

  1. THT

    Natamani ku-adopt watoto kutoka vituo vya watoto wenye mazingira Magumu

    Habari wapendwa Binafsi nataman sana ku-adopt watoto kutoka vituo vya watoto yatima (wenye mazingira magumu) ilikuwa ni tamaa yangu tangu nilipojitambua. Nataman niadopt watoto wadogo kabisa chini ya mwaka ili wakikua wajue mimi ndie mama yao. Natamani niwape malezi na mapenzi kama watoto...
  2. THT

    Tuwe na utu na tukubali kushauriwa

    Habarini wapenda, Binafsi nafurahi sana kuwa mahali hapa najifunza mnooo. Ila nilikuwa nina ombi. Mtu anapoleta uzi kutaka ushauri au msaada. Tujifunze kuwa na utu kuwaelekeza watu bila kuwatukana, kuwakejelia na kuumiza hisia za watu wengine bila sababu za msingi. Kuna baadhi ya watu tunaleta...
  3. THT

    UFADHILI WA MASOMO

    Habari, Mimi ni binti wa miaka 23, nimemaliza Diploma ya clinical medicine, Niko mwanza, ninahitaji msaada wa maelekezo ya namna ya kupata ufadhili wa masomo au ufadhili kabisa wa kusomeshwa nataman kujiendeleza kusomea Degree. Karibuni Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  4. THT

    Tatizi la kusahau mara kwa mara

    Habari madaktari, Nahitaji msaada kwakweli, baada tu ya kujifungua huyu mtoto wangu wa kwanza nasahau mnoo, inanikera sanaa kwakweli, nasahau haraka sana na mara kwa mara, ninaweza kuwa na fanya kazi fulan, Ikitokea issue nyingine nasahu kabisa kazi ya mwanzo, mpaka wenzangu wananiambia...
  5. THT

    Natafuta ajira nimesomea Clinical Medicine

    Habari mm ni msichana wa miaka 23, nina certificate ya clinical medicine. Nipo Moshi. Ninatafuta kazi yeyote ile ya halali iwe ya fani yangu au isiwe ya fani yangu. Ukihitaji taarifa zaidi na maswali, karibu PM. Samahani uandishi wangu si mzuri tuvumiliane wapendwa. Sent using Jamii Forums...
  6. THT

    Naombeni msaada nimechanganyikiwa

    .
  7. THT

    Taja movie Kali unayoipenda

    .
  8. THT

    Jamani hebu tusaidiane mawazo

    .
  9. THT

    Tuweni waangalifu na wageni, awekewa dawa kwenye maji, watoto wawa vilema wengine wapoteza maisha

    Habari zenu wapendwa, Kuna kisa kilimtokea jirani yangu nikaona si vyema kukaanacho kimya, nikaona ni vyema niwashirikishe nanyi wenzangu ili mpate kujifunza pia kuchukua tahadhari kuna jirani yangu alibarikiwa kupata watoto nane, wakiume watano wa kike watatu na wote walikuwa na uwezo mzuri tu...
  10. THT

    Maumivu makali ukeni

    .
Back
Top Bottom