Search results

  1. M

    Hivi Kama mtazamo wa majirani zetu ndivyo Ulivyo...... Kuna haja?

    Wanajamii Nawasalim, I would like to share with you the link below so tha you can have a look and comment. Why do you think this is the case? Soon after I finished reading the thread, I went through searching for facts about our economy compared to theirs, it seems the gap is declining and...
  2. M

    Hivi BABU WA LOLIONDO AITWE MGANGA, OR MCHUNGAJI?

    Please, Najua jina lake!! Nauliza Cheo chake iliniweze kujua ranking yake compared na wengine kama kakobe, lwakatare, lusekelo, mwingira, ndodi nk.
  3. M

    Hivi BABU WA LOLIONDO AITWE MGANGA, OR MCHUNGAJI?

    Primitivity have no cure for sure !! BABU SIO YESU. yesu hakuwa anaota alipewa elimu na Mungu na mara nyingi alikuwa akimuomba msaada live.
  4. M

    Ziara ya Rais Kikwete Hazina na 'Long Room' (leo)

    Nashangaa mwamsifia Mkapa wakati mwajua fika matatizo mengi ya ufisadi yalitokea kipindi chake. Mfano EPA, MEREMETA, NET GROUP, RADA, NDEGE YA RAIS nk.. so sielewi kama issue to personal or hatujui tunachotaka.
  5. M

    Hivi BABU WA LOLIONDO AITWE MGANGA, OR MCHUNGAJI?

    :angry:WANAJAMII kipi hasa ni cheo cha Babu? 1. aITWE nabii? mtume? Mchungaji? Tabibu? mganga? mnajimu? 2. Musa alikuwahi kukutana wa wachawi MISRI wakamrushia nyoka wa kichawi naye mungu akamuamuru arushe fimbo ambayo ilizuka joka akawameza nyoka wote. Je dawa ya babu ni nyoka or joka na...
  6. M

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    PLEASE READ AND THEN CLICK IMAGES FOR FULL STORIES. TUSISHABIKIE TU.. To no-fly or not to no-fly Libya — RT MKULUNGWA CHITUTWA= MKUBWA JALALA
  7. M

    Hivi mtu akipata degree za vyuo vikuu hawezi kazi nyingine mpaka aajiriwe?

    Hali zenu wanajamii!!! Mwenzenu nina mdogo wangu kamaliza Chuo kikuu cha Dar Es Salaam mambo ya biashara. Miaka mitatu sasa anatembea kutafuta kazi hajapata hata kama ana first class. Nimemfungulia biashara pale kariakoo kusimamia mzigo toka china na kusambaza kwa wateja .. but kashindwa...
  8. M

    Barua ya mwisho toka kwa mwanangu Chambondala (NIFANYEJE WADAU?)- PART I

    Nashukuru wazee kwa comment zilizo tukuka, bado natafuta jibu la huyu kijana:mullet:
  9. M

    Elections 2010 Hivi mtu akipata degree za vyuo vikuu hawezi kazi nyingine mpaka aajiriwe?

    Hali zenu wanajamii!!! Mwenzenu nina mdogo wangu kamaliza Chuo kikuu cha Dar Es Salaam mambo ya biashara. Miaka mitatu sasa anatembea kutafuta kazi hajapata hata kama ana first class. Nimemfungulia biashara pale kariakoo kusimamia mzigo toka china na kusambaza kwa wateja .. but kashindwa...
  10. M

    Barua ya mwisho toka kwa mwanangu Chambondala (NIFANYEJE WADAU?)- PART I

    Kwako Baba mpendwa shikamoo!! Salamu zangu kwenu nyumbani, mimi ni mzima hofu ni kwenu mlio mbali na upeo wa macho yangu!! Dhumuni la barua hii ni kukushukuru kwa yote ambayo umekuwa ukinifanyia katika maisha yangu, pia nataka kutoa sononeko langu kuhusu maendeleo yangu kimasomo; Baba naomba...
  11. M

    Kwanini Bongo Mchango wa Maprofessor na Ma-PHD holders hauonekani?

    Hello Wazee kwenye Jukwaa, Naanza kwa kuwasalim wote. Last week nilikuta mjadala kuhusu kiwango cha elimu kati ya UDSM graduates na vyuo vingine. Mjadala ulikuwa mkali mno but kwangu ulinipelekea kufikiria mchango wa maprofs na PHD holders na other graduates kwenye jamii. Hivi wanajamii...
Back
Top Bottom