Search results

  1. Kobello

    Lawama zote ataangushiwa Herry Sasalli

    Azam walikuwa na kila sababu ya kuifunga Yanga Leo, simlaumu wachezaji wa Yanga Wala refa.
  2. Kobello

    Biashara ya Night Club Dar imekufa?

    6. Lights Taa za maana ni sifa kuu mmojawapo ya night clubs, kila demu anaonekana nzuri.
  3. Kobello

    Dickson Job arudishe posho zote alizolipwa kwenye safari ya Afcon Ivory Coast

    Kwanini wasiwapeleke vijana ili waanze kujiandaa na 2027? Wangechagua wachezaji wanaochipukia.
  4. Kobello

    Nani yuko nyuma ya Mkataba wa TFF na GSM, kwanini TFF wanazuia usijadiliwe wala kuhojiwa?

    Mkataba wa Yanga na sportspesa unajuwa vifungu vyake vyote? Unaujua mkataba wa NBC na Bodi ya Ligi au TFF? Umeuona mkataba wa Azam na TFF?
  5. Kobello

    Nani yuko nyuma ya Mkataba wa TFF na GSM, kwanini TFF wanazuia usijadiliwe wala kuhojiwa?

    Hujakatazwa kuhoji, ila kawaulize TFF au GSM hao ndiyo wanaweza kutoa ufafanuzi. Mmeambiwa hivyo tangu 2021. Sportpesa kadhamini Simba, Yanga na Namungo kwa wakati mmoja, mliuliza kwanini?
  6. Kobello

    Msaada wa mawazo yenu nipo katika harakati za kupambania maisha yangu

    Dar ukitaka chumba hata kesho unakipata. Hela yako tu, siyo kama unaenda Europe au US. Madalali kibao wapo Dar, kama una hela kidogo hukosi sehemu ya kukaa kwa miezi angalau 6, na sehemu za kula bei rahisi zipo kibao. Kwa ufupi, mimi najua Dar es salaam ni mji rahisi sana kuhamia tena sana...
  7. Kobello

    Kama unaamini unapendwa unajidanganya

    Kupenda ni hisia na anaezijua hisia hizo ni mtu anayependa tu. Anayependwa kamwe hawezi kujua kama anapendwa, kwa hiyo angalia matendo na siyo maneno. Unapoangalia matendo, bado huwezi kujua lakini matendo ndiyo kitu kinacho-matter.
  8. Kobello

    M23 watwaa mji wa Nyanzale kule DRC

    Hapo Kuna mgawanyiko upi? Yaani mnakalia mapori ya FDLR ndiyo mnaona mmeshinda? Si mlikuwa mnakaaa Goma? That's a victory to you? Mnachekesha sana, jengeni nchi yenu acheni kuwa paranoid.
  9. Kobello

    Kwanini Ukimwi Unazidi kupungua badala Ya kuongezeka

    ARV zimeboreshwa sana. Pia vipimo teknolojia yake ipo bora sasa hivi within seconds. Zipo ARV za mara moja kila miezi miwili na pia kuna sindano ya mara moja kwa mwezi. Zipo approved States.
  10. Kobello

    FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

    Majeraha na familia. Mwisho wa mwezi (3 weeks from now) kuna mechi kubwa. Hawa kina Skudu wanatosha.
  11. Kobello

    FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

    Cha mkwezi halafu watu wanachukua ndege hadi terminal 1 usiku.
  12. Kobello

    M23 watwaa mji wa Nyanzale kule DRC

    Haongelei Ukraine saa hizi kahamia M23. Kwa sababu wakenya walishindwa anadhani SADC nao watashindwa.
Back
Top Bottom