Search results

  1. NIKOSTRATOS

    Sababu za polisi kuiba maiti usiku mochwari na kukamatwa Lissu Tarime

    ccm iondolewe madarakani by any means neccessary,na jeshi la polisi livunjwe ,liundwe upya!
  2. NIKOSTRATOS

    Sababu za polisi kuiba maiti usiku mochwari na kukamatwa Lissu Tarime

    Tundika youtube, waonevu wakubwa hawa.
  3. NIKOSTRATOS

    Desecration of the Dead: A criminal offense in our law

    Maandamano yaanza immediately kushikiza uliowataja wajiuzulu mara moja....Pia ni wakati wa kulitupia tatizo hilo macho kwa karibu zaidi.Tupate documentaries,tumudhihirishie ulimwengu unyama na unyanyasaji,kiini ni gold na ufisadi,yani rasilimali za watanzania.This is a serious issue,we need to...
  4. NIKOSTRATOS

    Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

    Welcome back mami,i missd yu....:A S-rose:
  5. NIKOSTRATOS

    CHADEMA: A mob psychology na ole wenu

    Waandae presentation ya nguvu,maybe a PPT,kama wana links za video za huo unyama pia wazi incorporate,wasambaze kunakohusika na pia online iwe available,hapo mtaanza kuchochea fikra za mapinduzi tuwang'oe hawa mafisadi by any means neccessary,its time to come together and act,once and for all to...
  6. NIKOSTRATOS

    Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

    Mifisadi imevamia humu inatia hasira
  7. NIKOSTRATOS

    Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

    Ni bora ungeendelea kusoma,si lazima uchangie everything,ni kitu gani umeandika sasa?Tulia soma hoja za wenzako badala ya kuposti upupu.Eti umaarufu zaidi,pumbavu sana!Unajuwa sheria wewe?Ama unasikia "sheria" na wewe unadakia tu "sheria"?Ni jambo gani polisi walilofanya la kisheria hadi useme...
  8. NIKOSTRATOS

    CHADEMA: A mob psychology na ole wenu

    Mods anzisheni jukwaa la mashoga halafu muihamishie hii huko....Wameleta diarrhea
  9. NIKOSTRATOS

    Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

    Mnatakiwa nyembe za makalio nyie ndo mtatia akili....Kihere here chenu,mmelianzisha.
  10. NIKOSTRATOS

    Kutumia marehemu kisiasa ni zaidi ya kufilisika kisiasa

    Kwahiyo maneno ya kwenye vikatuni ndiyo polisi wameyatumia kama sababu ya kupora maiti,ku arrest revolutionaries na kunyanyasa wananchi?Kweli magamba mwisho wenu umefika.
  11. NIKOSTRATOS

    Jk aongoza maziko ya shekh yahya hussein

    Haya CHADEMA....
  12. NIKOSTRATOS

    Jk aongoza maziko ya shekh yahya hussein

    Inaelekea alikuwa si mchezo huyu mzee,waombolezaji wengi wanaonekana wakiwa na huzuni ya kiukweli,hata hao viongozi wa vyama vya siasa wanaonekana wana huzuni kweli kweli,i wonder nani ataachiwa mikoba kati ya hao watoto wake.
  13. NIKOSTRATOS

    Mukama akumbana na zomea zomea huko musoma.

    CCM waondoke madarakani mara moja kabla ya umwagaji damu.Ni ushauri tu.Wameshindwa kazi ni wakati wa kuondoka.
  14. NIKOSTRATOS

    Nyalando aipepea CCM: Asifia upepo na jua la "Tanzania"..

    Anaendesha wizara ka ukwata....Mwuza sura tu,by the way kiazi is a better description.
  15. NIKOSTRATOS

    Makofi ya Mbowe na kizungumkuti cha maadili ya Viongozi Tanzania

    Awajibishwe ilikuwa kikaoni?Bilicanas kulikuwana kikao cha chama?Acha ujinga.
  16. NIKOSTRATOS

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    Mkuu usidhani kwasababu mimi nimgeni kwa kujiunga hapa basi nilikuwa sisomi hii jf,nimeisoma tokea ikiwa Jambo Forum....Kama yanayozungumzwa humu yangekuwa yanafanya kazi,basi tungekuwa na serikali ya tofauti hivi sasa.Nasema ni upotevu wa muda kwasababu haya yamezungumzwa tokea 2006 na bado...
Back
Top Bottom