Search results

  1. C

    Sony Bravia TV - 32" Full HD - 750,000/=

    The unit has been sold out.
  2. C

    Sony Bravia TV - 32" Full HD - 750,000/=

    Haina king'amuzi mkuu M2mwembamba
  3. C

    Sony Bravia TV - 32" Full HD - 750,000/=

    Maongezi yapo kiongozi.
  4. C

    Sony Bravia TV - 32" Full HD - 750,000/=

    32" SONY BRAVIA TV FOR SALE - 550,000/= (Negotiable) Full HD 1080 BRAVIA Engine™ 2 BRAVIA Sync 24P True Cinema Intelligent Picture New S-Force Front Surround Dynamic/MPEG Noise Reduction Ambient Light Sensor Picture In Picture (PIP) & Picture And Picture (PAP) Theatre Mode 8-bit...
  5. C

    Toyota RAV 4, 5 Doors, 1998 Model for Sale

    Mileage 184000 km: Reg T...AS..
  6. C

    Toyota RAV 4, 5 Doors, 1998 Model for Sale

    In good running condition with full options. Available for viewing at Tabata Segerea. Price Tzs. 12.5 million - Negotiable Please call 0765 222 333.
  7. C

    Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Wadau. Kwa mtizamo wangu, siasa katika kipindi hiki tulichopo ni Biashara / Mradi au vyovyote tunavyoweza kuiita kwa maana ya wanasiasa kunufaika na tasnia hii. Angalia jinsi watu wanavyo-invest wakati wa kugombea nafasi za uongozi kama ubunge halafu jiulize ni wapi hizo pesa wanazotumia...
  8. C

    Mabilioni yapotea kiaina NBC! Wateja hufutiwa madeni katika mazingira tata...

    Nakubaliana na hoja ya kwamba watanzania wa sasa no werevu lakini si majasiri! Kwa kuongea na uchambuzi wa masuala mbalimbali kwenye vikao vya bia na mitandao ya kijamii tuko juu sana. Utendaji na utekelezaji wa tunayoyazungumza Hamna. Sasa hili linafahamika vema na watawala wetu na hivyo...
  9. C

    Gazeti la Mwananchi kupanda bei

    Wadau Ongezeko la 60% la bei ya Gazeti naona limeruka sana. Ni huu umeme au kuna mengine yanayoletezea upandaji huu wa bei??
  10. C

    Shule ya Tusiime inaelekea kubaya/inachungulia kaburi

    Nashukuru mdau uliyeibua hoja hii. Mimi pia nina mtoto pale yuko darasa la 3. Ni kweli kwamba darasani wako zaidi ya 30 (karibu mara 2 ya idadi hiyo); Chakula anaonesha kukifurahia; etc Kwa maoni yangu nafikiri suluhisho si kuhamisha watoto au kutopeleka watoto bali ni kumkabili mwenye shule au...
Back
Top Bottom