Search results

  1. M

    CAG acha kuupotosha umma wa Watanzania

    Nimesoma kwa masikitiko makubwa kile kilichoandikwa katika gazeti la habari leo la jana tarehe 5/12/2011 likimnukuu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali akiwalaumu watendaji mbalimbali wanaohusika katika usimamizi wa miradi ya maendeleo kwa kushindwa kusimamia miradi hiyo na hivyo kupelekea...
  2. M

    clouds fm mpo juu

    Huku ni kukosa busara na mtazamo wa kimaendeleo. Nilitumaini ya kwamba kwa mtu anayetaka kusonga mbele angeweza kuwa makini zaidi na maoni ambayo ni very critical yanayotolewa na wana JF ili kuweza kuboresha utendaji wa Redio Clouds. Nadhani huu ni mtazamo finyu sana na if you want to stay in...
  3. M

    Kukamatwa Kwa Freeman Mbowe: Tafsiri Yangu

    Maggid amejitahidi kutoa tafsiri yake na huku akijaribu kutumia hoja dhaifu katika ku-balance habari yake. Nadhani katika aina ya uandishi wa akina Maggid kuna-vitu vingi tu vinakosekana pale anapojaribu kujenga hoja ambayo yeye anadhani ni balanced. Habari inakuwa balanced pale pande zote za...
  4. M

    Hali si shwari Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi

    Itnoject: Ni kweli tutafika, ila kumbuka tutafika tukiwa na maumivu makali sana. Hawa ni watu na watumishi wa umma tuliowaamini na kuwapa dhamana ya kukagua matumizi ya mali za umma na leo hii wao ndio wanafanya mambo yakutisha kiasi hiki ni wapi tunakwenda? Nguvumali: Hiyo ndio hali, yamkini...
  5. M

    Hali si shwari Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi

    Hali inazidi kuwa ngumu kwa Menejimenti ya Juu ya Ofisi hii ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kufutia mgawanyiko mkubwa ambao umetokea. Hali hii imejitokeza baada ya wakaguzi wa kanda wapatao 11 kutoa waraka wenye kuonyesha malalamiko mbalimbali na kuuelekeza kwa CAG Bw. Utouh kwa ajili ya...
  6. M

    Movie Review: The Mechanic

    Nashukuru kwa hilo Asha D. Ila kama kuna member yeyote anayeweza kunielekeza popote ninapoweza kununua DVD za movie mbalimbali then I will be very happy.
  7. M

    IGP mwema na tuzo ya Amani

    Nadhani anatunukiwa tuzo ya kuwahakikishia Mafisadi amani kwa kutumia nguvu za askari wake. Ni tuzo ya kumpongeza kwa kutekeleza matakwa ya mafisadi pasipo kujali maslahi ya walio wengi.
  8. M

    Movie Review: The Mechanic

    Nashukuru sana Asha D. Maeneo ambayo umeyaorodhesha ni mengi. Ila nilitaka kujua kama kuna maduka specific ambayo naweza kununua DVD hizo na if possible nikajua ni wapi pa ku-download pia some of the movies since I have an access ya internet. Ni rahisi kwangu mimi kufika maeneo ya kariakoo...
  9. M

    Movie Review: The Mechanic

    Ninaposoma hii review ya Movie nazidi kuwa-interested na movie mbalimbali ambazo members wa JF wanaziongelea. Nina ombi moja, Je ni wapi hapa Dar es salaam ninapoweza kununua au kukodi Movie hizo? Naomba mnielekeze, they are very interesting.
  10. M

    Rais amchagua Abdala Mtonga kuwa Internal Auditor General

    Nadhani tunapoteza muelekeo wa mjadala huu kama tunajikita katika kuijadili dini yake pekee. Pili nadhani tutapoteza muelekeo zaidi kama tutaridhishwa na kiwango cha Elimu kilichoainishwa katika taarifa hii. Nadhani cha msingi kabisa ambacho inabidi tuangalie ni utendaji wake katika maeneo...
  11. M

    Nafasi za kazi national audit office(nao)

    Ulimakafu nakubaliana nawe ya kwamba nafasi ni mia na mpambano wake utakuwa ni mkali sana. Ila naamini ya kwamba ni vizuri mpambano uwe mkali na wa haki. Ofisi zetu za umma zinahitaji watendaji wazuri waliopatikana kupitia mchakato uliofanyika kwa haki na hivyo kuweza kupata watendaji...
  12. M

    Nafasi za kazi national audit office(nao)

    Thanks God, nafasi hizi zimetangazwa na Utumishi na Secretariat ya ajira ya Utumishi itasimamia zoezi hili. Hali ilikuwa mbaya sana katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita na kwenda nyuma pale nafasi hizoi za ajira zilipokuwa zinatangazwa na mchakato mzima wa ajira kusimamiwa na Ofisi ya Taifa...
  13. M

    Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

    Hili la kuwataja Mafisadi waliopo CCM na Serikalini ni la muhimu sana. Tusisahau ya kwamba CCM wanajaribu kutuonyesha ya kwamba kwa Sekretariati yake kujiuzulu na wajumbe wake kutorudishwa tena basi wapo safi. Au isidhani kwa viongozi wake wenye tuhuma nyingi kama Chenge, RA na EL kutokuwamo...
  14. M

    EU: CHADEMA funding claim a lie

    CCm hili nadhani litakuwa funzo kwenu. Mlizoea kuendesha mambo kienyeji na kufanya wengine wajinga na hawaelewi nini cha kufanya. Sasa, mmewatuhumu hizo nchi za Ulaya pasipo kujua ya kwamba hili suala litabackfire. Now Sophia Simba na Membe hebu jibuni hilo tena. Mmeshindwa kutekeleza wajibu...
  15. M

    KATIBA: Askofu Ruzoka amlima barua Waziri

    Mambo yameanza sasa. Ni dhahiri huu mchakato unaburuzwa kwa nia ya kulinda maslahi ya baadhi ya watu na haswa watawala pasipo kujua ya kwamba Katiba ni ya Watanzania wote. Waliongea wadau na washiriki mbalimbali katika kongamano la kujadili mchakato wa Katiba mpya pale Chuo Kikuu sehemu ya...
  16. M

    Barua ya mwisho toka kwa mwanangu Chambondala (NIFANYEJE WADAU?)- PART I

    Mkuu safi sana kwa ujumbe wako mzito. Umeweza kuutazama mfumo wetu wa elimu kwa mapana makubwa na kubaini mambo mengi ya ajabu ambayo yapo katika mfumo wa elimu hapa nchini kwetu. Ni ukweli ulio wazi bila Marking scheme na ku-solve past papers sio rahisi kwa kijana kufaulu katika mfumo wetu...
  17. M

    Hodi Hodi Jamani

    Nashukuru sana kwa ukaribisho wenu. tupo pamoja katika jamvi hili
  18. M

    Hodi Hodi Jamani

    Kama Mwanachama mpya wa Jamiiforums naomba kujitambulisha kwenu wanachama wenzangu mliopo jamvini kwa muda mrefu. Nimeona nijiunge nanyi katika jamvi hili lenye kutoa fursa nzuri ya kubadilishana na kuchangia mawazo katika nyanja mbalimbali za maisha yetu ya kila siku. Nashukuru na naomba...
Back
Top Bottom