Search results

  1. Last KING Ontuzu

    Matumizi ya Lugha ya Kiarabu kwenye kujifunza dini ya Kiislam ni utumwa wa hadharani

    Biblia ya kwanza kuandikwa iliandikwa kwa lugha ya Kigiriki, lakini inafundishwa kwa lugha zote no limitations za lugha. Ila sisi Waislam kwanini tujifunze dini kwa Kiarabu, yaani hii naona sio sawa hadi azana asubuhi Kiarabu wasio Waislam wanasikia makelele tu maana hamna wanachoelewa.
  2. Last KING Ontuzu

    Jinsi gani mapenzi yaliweza kukurudisha nyuma kimaendeleo au kuvuruga maisha yako?

    Kuna ukweli katika msemo wa kwamba "Bora ukosee vyote ila usikosee kuoa au kuolewa. Mapenzi ni vita, Mapenzi mabaya Wahenga wanasema hivyo na wanasistiza mapenzi yana run dunia. Kuna jamaa namfahamu alifanyiziwa ushirikina na demu wake baada ya kuachana jogoo akawa hawiki kbs, na akapata nuksi...
  3. Last KING Ontuzu

    Kwanini tatizo la upungufu wa nguvu za kike halizungumziwi vizuri?

    Nahisi kabisa hapa hakuna balance kwenye suala hili, Wanaume wanazungumziwa kwa sababu hawezi kufanya kitu mpka isimame ila mwanamke anaweza kufanya mapenzi anytime ili mradi mwanaume amesimamisha kazi itafanyika tu. Wanawake wengi siku hizi hawasisimuliwi kabisa na njia zinazofahamika za...
  4. Last KING Ontuzu

    Hivi mwanamke kuficha makucha kwenye mahusiano kabla ya ndoa inaweza ikawa mwisho miaka mingapi?

    Kuna Jamaa yangu alikuja kwangu kunipa taarifa kuwa ataoa muda si mrefu na akaniambia ameshamchunguza mwenza wake vya kutosha. Nikamuuliza kwani umemchunguza kwa muda gani jamaa anadai ni miezi 4 sasa nikapigwa na butwaa kidogo maana miezi minne tuu! Sasa jamaa akahamaki kweli akaniuliza kwani...
  5. Last KING Ontuzu

    Hivi CHADEMA zile harakati za kudai Katiba Mpya zimeishia wapi?

    Ndugu zetu wana Chadema mlikuja spidi sana miezi kadhaa na kuanza kudai katiba mpya ,mitandaoni kote hashtagi #katibampya ,mpka lile jaribio kule Mwanza lilipofeli, sasa mbona kama mliwasha moto wa mabua ,Sasa hivi wimbo wa katiba mpya umegeuka kuwa bring back Mbowe,Mbowe sio...
  6. Last KING Ontuzu

    Jinsi Katiba Mpya itakavyorahisisha kuitoa CCM Madarakani

    Nawasalimu kwa jina la Muungano wa Tanzania.kitu Ninachoona kinaendelea nchini kwa sasa ni harakati za wapinzani Kutaka KATIBA mpya,ni harakati za kupaza sauti kufanya makongamano ya katiba na makongamano kufanyika nchi nzima. Tumeona leo mwenyekiti wa CDM jijini Mwanza amekamatwa na polisi...
  7. Last KING Ontuzu

    Umri sahihi wa kuoa na kuolewa kwa mujibu wa wanasayansi

    Kwa kawaida maisha ya mwanadamu hupitia katika hatua mbalimbali ambazo ni hatua ya kuzaliwa,kuoa/kuolewa,kufa. Circle hiyo hujirudia karne na karne sababu hiyo ndiyo asili.hivyo hatua hizo ni muhimu ktk maisha ya mwanadamu. Watu wengi wamekuwa wakitafuta majibu kwenye Google kuhusu umri sahihi...
  8. Last KING Ontuzu

    Jamani uchawi upo: Kama ndio hivi nitafanikiwa lini kuoa?

    Kila napotafuta binti mwenye msimamo na tabia njema huwa naishia kumkinai mapema na uhusiano kuyumba mwishoni hufa kwa sababu zisizoelezeka. Na mara nyingi mabinti naowaacha baada ya muda mfupi wanaolewa na mimi hubaki kuwa kama msafisha nyota tuu. Sasa umri umesogea na nina uwezo wa kuhudumia...
  9. Last KING Ontuzu

    Msaada: Nawezaje kuziba matundu kwenye bati zilizowahi kutumika ili niezekee kwenye nyumba nyingine?

    Habari zenu wana jf,kutokana na bomoabomoa zinazoendelea kupisha ujenzi wa barabara nimejikuta naambulia bati na vitu vingine kama milango na madirisha. Ninawaza kutumia bati zilezile pamoja na baadhi ya mbao,ili niezekee nyumba mpya kupunguza gharama za ujenzi ,bati ni za geji 28 Ni kwa namna...
  10. Last KING Ontuzu

    Wanawake kipi huwa kinawafanya mseme hivi?

    Iko hivi, Mwanamke siku zote huwa anaamini mume ndiye atakayeanza kufa, kama unabisha mwambie "Hii nyumba nataka tuiuze" utasikia "Halafu siku ukifa mimi nitaishije na watoto?" Wanawake mna nini?
  11. Last KING Ontuzu

    Huyu mwanamke simwelewi

    Habari wakuu, Nawakumbusha tuu tuendelee kuchukua tahadhali dhidi ya corona,kwa sasa Tanzania corona haivumi lakini ipo na inaua kimyakimya. Turudi kwenye mada,Kijana mwenzenu nilianzisha uhusiano na mwanamke mmoja umri wake miaka 25 kwa sasa tulikutana mwaka 2018 jijini Dar tulikuwa tunaonana...
  12. Last KING Ontuzu

    Nini Faida ya kuoa au kuolewa na kabila lako?

    Wengi wenu nadhani mshawahi kukutana na pingamizi za ndugu na wazazi linapokuja suala la kuolewa au kuoa mtu fulani ambaye ni mtu wa jamii tofauti na yako namaanisha kabila tofauti. Mambo haya yapo tangu enzi za mababu zetu ukiangalia ndani ya biblia utakutana na habari za akina Samsoni...
  13. Last KING Ontuzu

    Vijana wasomi mnakwama wapi hadi kuzidiwa na wasio na shule?

    Elimu ni ufunguo wa maisha Elimu ni dira Elimu ni mwanga Elimu ni kazi Hizo ni baadhi ya motto mbalimbali nilizobahatika kukutana nazo kipindi nasoma shule ya msingi Majengo A na n.k Tuachane na hilo la motto kilichonifanya nilete mada hii nimeona documentary fulani ya kijana darasa la 7...
  14. Last KING Ontuzu

    Raha ya tendo aliumbiwa nani kati ya mwanamke na mwanaume?

    Ukitoa kula, kitu kingine ambacho ni muhimu kwa binadamu ni kufanya mapenzi. Hata wanyama nao wamepewa zawadi hii. Angalia mbwa, tena hawa viumbe wanafaidi sana wanafanya mpaka mwisho wanageukiana kwa utamu, hapa hata ufanyaje hawaachiani mpaka fundo la utamu liishe. Unakuta hadi macho...
  15. Last KING Ontuzu

    Mambo 5 usiyofahamu kuhusu Wasukuma ambayo yatakushangaza

    Ukiachana na asili yao na misafara ya kuhama hama kutoka Ethiopia, Cameroon, Congo na and then kuingia Tz hapa mimi nataka nikupe tips chache tuu kuhusu wasukuma na lugha yao. 1. Kisukuma ni Lugha no 3 ya Taifa Sasa mheshimiwa ni wakati wa kuliweka hili officially. Kisukuma kinaongoza kwa kuwa...
  16. Last KING Ontuzu

    Ukiachana na Lack of Capital sababu gani zingine zinakufanya usimposti mtandaoni mpenzi wako?

    Mi nataka kufahamu sababu zinazowafanya baadhi ya watu kutofaposti hadharani wapenzi wao najua kila mtu ana mtazamo wake mi napenda kujua wenzangu kwanini hamuwaposti wapenzi wenu mtandaoni! Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Last KING Ontuzu

    Rais Magufuli aagiza vijana 800 wa JKT waajiriwe

    Rais Magufuli ameagiza vijana 800 wenye shahada waliojitolea katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa miaka miwili kuajiriwa serikalini kuanzia Februari 2020. Akizungumza jijini Dodoma, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dr. Laurent Ndumbaro amesema Rais...
  18. Last KING Ontuzu

    Nauza viatu bei nafuu sana

    Viatu aina ya honeywell vina ngozi imara sana ambayo unaweza kutumia hata miaka 10. Ni viatu vya fashion na pia ni vya mazingira magumu ,kazi na kadhalika Size 42 au namba 8 Napatikana Dar,hata mkoani natuma. 0784112347
  19. Last KING Ontuzu

    Hizi nazo niziite baraka ama?

    Wanasema baraka zikifunguliwa humiminika kwa pamoja ila najiuliza kwa hili tuite nazo ni baraka ama mtego! Wiki iliyopita nimepokea appointment ya kutembelewa wasichana watatu tofauti ambao walitaka kuja ghetoni kwangu siku moja ambayo ni jumamosi iliyopita. Mademu hawa wote ni wakali...
  20. Last KING Ontuzu

    Tecno W4 kwa bei nafuu sana

    Nauza simu kwa bei nafuu Tecno W4 Ukubwa wa Kioo - Inch 5.0 chenye teknolojia ya IPS LCD capacitive touchscreen, chenye uwezo wa kuonyesha rangi miloni 16 pamoja na resolution ya 720 x 1280 pixels, 294 pixels per inch (PPI). Mfumo wa Uendeshaji - Android 6.0 Marshmallow Uwezo wa Processor -...
Back
Top Bottom