Search results

  1. ngutu

    Msaada: Nataka kuingia Jijini Nairobi kutokea Tanzania

    Habari wakuu. Poleni na hongereni kwa majukumu, sijawahi kutoka nje ya Tanzania ndio nataka nianze sasa kwa kuanza na Jiji la Nairobi, Sina ndugu, rafiki wala mtu ninayefahamiana nae Nairobi, ila nimekuwa na msukumo wa ndani ukinitaka nifike Nairobi ,Sina passport ya kusafia, nahitaji kujua...
  2. ngutu

    Simu inauzwa htc

    Simu htc one 7 inauzwa bei laki 250000
  3. ngutu

    Hii ni aina gani ya madini?

    Habarini za jioni ndugu wanajukwaa ... Naomba kujua hii ni aina gani ya madini
  4. ngutu

    Why beer?

    Kama unatumia beer na unapenda kubadishana mawazo na wanaopenda beer karibu ujiunge kwny group whatsapp Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/Jwme5LhbWOoK28mpX7hopg
  5. ngutu

    Biashara ya juice ya miwa inakodishwa

    Nakodisha ofisi ya biashara ya juice miwa kwa mkataba wa Meizi 6,biashara ipo magomeni na imekamilika gharama zangu ni Tsh.10000 kwa siku,kama kuna mtu anahitaji anicheki 0692484388
  6. ngutu

    House4Sale Nyumba inauzwa,

    Nyumba inauzwa ipo mbagala sabasaba kwa mpili bei in sh Million 12 maongezi yapo karibuni sana.
  7. ngutu

    Nauza simu aina ya Samsung J1 ace kwa shilingi 140,000/=

    Nauza simu aina ya samsang j1ace kwa shilingi 140,000/= ipo ktk hali nzuri kama unahitaji ni pm
  8. ngutu

    Car4Sale Gari aina ya rava4 kiltime inauzwa

    Habarin wakuu. ..nauza Gari aina ya rava4 kilitime kwa bei mil.13 mazungumzo yapo
  9. ngutu

    Msaada: Nahitaji kujua wapi nitapata daktari wa kutibu matege kwa watoto

    Wakuu poleni na majukumu,naombeni msaada wenu ni wapi nitapata daktari kwa ajili ya matibabu kwa mtoto wa mwaka mmoja na nusu anaonekana kuwa na matege ..Pia nimewahi kumpeleka ccbrt niksambiwa nimrudishe akifika miaka miwili hawakumpatia tiba yoyote..nitashukuru kwa msaada wenu na Mungu...
Back
Top Bottom