Search results

  1. Kibirizi

    Nimenunua home theater LHD657 Model, lakini cha ajabu ina Sauti ya kawaida sana

    Hizi radio nyingi huwa ni issue ya setting, cheza na remote vizuri, cheki bass, check noise, mwisho cheki connection za waya kama zipo sawa. Kuna rafiki yangu mmoja alinunua subwofer la aina ya Seapiano, akiwasha inaongea kama sauti ya simu ya kitochi, nikakutanaye naye yupo kwenye bajaji...
  2. Kibirizi

    DATA RECOVERY SOFTWARE FROM FORMATTED PARTITION OF HDD/SSD

    Habari Wakuu Naomba mwenye software ya kurudisha data ambazo zilikuwa kwenye partition ya HDD lakini kwa bahati mbaya ikawa formatted
  3. Kibirizi

    ADOBE ACROBAT DC PRO

    Habari Wakuu. Naomba mwenye Adobe Acrobat DC au sehemu ambayo naweza dowload sihitaji Adobe Acrobat X Pro
  4. Kibirizi

    Msaada wa kupakuwa Drivers za Samsung 300E4C

    Habari, Msaada wa link ya kudownload drivers za Samsung model 300 E4C ambazo haziuzwi. Baada ya ku upgrade kutoka Windows 7 kwenda Windows 10 pro 64bits nimepata tatizo za drivers, bluetooth, display etc. Nimejaribu kusearch nakumbana na za kuuza tu. Je, wapi nitapata kwa free.
  5. Kibirizi

    Kigoma kuna upungufu mkubwa sana wa wanaume, ni rahisi dada kuokota hela Kigoma kuliko kupata mchumba

    Sio kweli. Wanawake wa Kigoma unaowazungumzia ni wa zamani ndio wana tabia hizo sio wa sasa, kwanza ni vema utambue Kigomankina mwingiliano mkubwa wa raia wa nnchi ya jirani yaani Burundi na Rwanda. Aidha nchi hizo zina kabila la Watutsi na Wahutu. Kabila la watutsi wapo wemelowea wengi sana...
  6. Kibirizi

    Window 7 inaanza na screen nyeusi

    Wakuu wazima. Nina shida na win 7 nikiwasha computer inaonekana kama nimeistall win 2 nifanyeje.
  7. Kibirizi

    AINA IPI YA COMPUTER [LAP TOP] NI NZURI?

    Mambo! Aisee ni computer [Laptop} gani ambayo ni nzuri kwa maana ya kudumu na muonekano mzuri, na kwa Dar es Salaam ni sehemu gani ninaweza pata ambazo ni original.
  8. Kibirizi

    Pakua Microsoft Office 2016 na 2013 hapa

    Mkuu naona Office 2016 zilizopo ni 64 Bit msaada za 32Bit [Au sielewi sijui]. pia kuna tofauti gani kati ya open office na microsoft Office. Je zina activation? Msaada please.
  9. Kibirizi

    Window 7 proffesional activation/loader

    Naomba msaada mwenye kujua ku - activate win 7 prof, nimeistall ila inasema zimebaki siku tano.
  10. Kibirizi

    Mchango watoto wachanga

    Aloe vera ni kama hiyo ila jinsi ya kuchanganya ndio sijui.
  11. Kibirizi

    Mchango watoto wachanga

    Ikimbu hiyo ndio shubiri = Aloe vera
  12. Kibirizi

    Game ya computer iliyonivutia

    mkuu Aleyn nitapata wapi hiyo call on duty?
  13. Kibirizi

    Text watermark in publisher 2010 msaada!

    Tafadhari mwenye kufahamu namna ya kuweka hii "text watermark" kwenye certificate/cheti, nimejaribu ku google nimepata ila kuna sehemu inanishinda kwenye TIP na namba 7, natanguliza shukrani za dhati.
  14. Kibirizi

    Huyu ni mpenzi au bomu la machozi?

    Mimi nina mahusiano na binti mmoja kwa sasa mahusiano yetu yamefikia miaka mitatu. Lakini cha kushangaza kila ninapokutana naye lazima nitoke machozi, yaani lazima atapigiwa simu ambazo zinanikwaza na nikijaribu kudadisha mwisho wa siku lazima nitoke machozi. Pia nikikagua simu yake lazima...
  15. Kibirizi

    Kisirani kwa wa dada wenye 30 and above

    Huo umri kimbia mbali san wana visirani mfanoe hakuna, ukimsalimia tu siku ya pili anaanza kukusumbua kukutaka ukajitambulishe kwao (wazazi) na kukuuliza harusi lini, ni majanga. Imefikia hatua mpaka unaongopa kujenga nao urafiki ukienda tofauti na matakwa yake/yao ameshanuna.
  16. Kibirizi

    The guide: Ukishaamua kuwa na 'nyumba ndogo'

    Nyumba ndogo hazina kanuni, kanuni ni kwa mkeo, nyumba ndogo ndio ina uwezo wa kukupa wewe kanuni za kuapply kwa mkeo.
  17. Kibirizi

    Sababu zinazompelekea mwanamke kutoolewa hata kama ni mzuri wa sura na wanaume kutooa

    Kuolewa ni bahati tu zaidi mi mapenzi ya mwenyezi Mungu, kuna wanawake wana tabia nzuri sana na sura mpaka unaweza muonea wivu mwanamem mwenzako ambaye atamuoa, lakini umri unasonga tu haolewi, mimi mwenyewe naendelea kumshuhudia dada mmoja ambaye ana 32 hajaguswa kabisa na ana tabia nzuri...
  18. Kibirizi

    Jamani mwenzenu nahisi demu wangu amenisaliti usiku wa kuamkia leo

    unauliza swali ili upewe jibu sasa kama ukiuliza jibu sijui ujibiwe nini, manyoya umeshayaona bado unaamini kuku mzima.
  19. Kibirizi

    Game ya computer iliyonivutia

    Mkubwa wewe ni hatari hadi IGI 2
  20. Kibirizi

    Naomba mnisaidie mbinu za kumrejesha kwenye mstari mpenzi wangu

    Chapa mwendo kaka hapo teyari keshapendwa mwenzako
Back
Top Bottom