Search results

  1. M

    Mke wangu kanihamishia familia yake yote kwangu

    Kwa hiyo kama familia ya mkeo ni familia yako pia inamaanisha mwanaume akioa familia nzima ya mwanamke inaamia kwa huyo mwanamke na kumtegemea kwa kila kitu Kuna familia zina mambo ya ajabu
  2. M

    Jinsi ya kupika sambaro

    Ndo inaitwa hivyo hivyo wengi Jaribu kupika utapenda
  3. M

    Jinsi ya kupika sambaro

    Kwa nn unasema hivyo?
  4. M

    Jinsi ya kupika sambaro

    Duh ya nn tena?
  5. M

    Kama una tabia hizi utazeeka nyumbani

    Aah babu we nyakati zimebadilika hatuwez kuvaa kama kama watu wa kale
  6. M

    Jinsi ya kupika sambaro

    Mahitaji 1.Viazi mbatata kilo 1 2. Mabamia fungu 1 kubwa 3. Mabiringanya makubwa 2 4. Karoti 5. Mafuta ya kupikia 6. Nyanya 7.Vituungu maji 2 8. Swaumu 9. Ndimu 10. Chumvi Jinsi ya kupika 1. Chukua viazi vimenye na uvioshe kisha vipasue mara nne kwa urefu kisha uvikate kwa upana kama unakata...
  7. M

    Kama una tabia hizi utazeeka nyumbani

    Hiyo namba 4 si kwel
  8. M

    Ndoa na wadada wa kisomali kushamiri, kunani?

    Si wavivu hawarusiwi kufanya kaz na waume au baba zao na uzuri pesa ipo hafanyi kaz na anapata mahitaji yote
  9. M

    Sijawahi kutukanwa matusi haya toka nizaliwe, ila mzazi mwenzangu kaweza

    Mmejifunza busara ni kitu muhimu sana kwa mwanamke
  10. M

    Sijawahi kutukanwa matusi haya toka nizaliwe, ila mzazi mwenzangu kaweza

    We acha tu wanaume wanamaudhi alafu siku zote wao wanajiona wamekamilika hawakosei
  11. M

    Sijawahi kutukanwa matusi haya toka nizaliwe, ila mzazi mwenzangu kaweza

    Huyo ni mtu mzima na ana akili timamu hawez kukutukana bure lazima kuna jambo kubwa ulomfanyia
  12. M

    Gharama za kusafirisha mzigo kwa ndege toka Dar es Salaam hadi Oman

    Kwann usiende kwenye ofisi za hizo ndege wanazosafirisha mizigo nafikiri huko utapata info zote muhimu na kwa ufasaha zaidi Kama kwel uko makini na biashara yako fanya hivyo mkuu
  13. M

    Unatambua kwanini mwanamke aliesalitiwa anasamehe na mwanaume dont?

    Si kwel mbona mwanamke mm sisamehi nkifumania Si wanawake wote husamehe
  14. M

    Hivi kuna wanandoa wanasex every day?

    Kutiwa kila siku ni utumwa kwa mwanamke
  15. M

    Zitto Kabwe asimulia alichokutana nacho hospitalini mkewe akijifungua

    Na mimi pia ndo nimeelewa hivyo kwamba nia yake ilikuwa kuhamasisha na sio kujionyesha kwa watu kuwa katoa msaada Hakika mwenyezi mungu anajua zaidi yetu
Back
Top Bottom