Salamu wakuu
Kama kichwa cha habari hapo, natafuta soko la maziwa ya ng'ombe kuna lita 90 za maziwa kila Siku yanaweza patikana.
Kwa mwenye mahitaji au anayejua soko nitashukuru sana
Tuwasiliane email bunyinyiga2014@gmail.com
Asante sana
Kauli ya Nape kutetea watoto wa viongozi kupewa vyeo au kubebwe ni kijembe kwa Pinda yakwamba mbona na yeye kapewa
hapo chini ni alichosema nape kwenye post yenye link kwa chini kabisa
British empire
Mr Cameron told BBC One's Andrew Marr Show that "British aid should have more strings attached".
But he conceded that countries could not change immediately, and cautioned that it would be a "journey".
"This is an issue where we are pushing for movement, we are prepared to put...
New list shows 20 dynamic young African women under age 45
This is the obvious question that follows from my blog yesterday which listed Mfonobong Nsehe's selection of Africa's most powerful men under 40.
Nsehe has also compiled a list of 20 powerful African women under age 45.
What do you...
Jeshi la polisi limekumbwa na kashfa nyingine baada ya askari wake kudaiwa kumpiga risasi msichana wa miaka 16 baada
ya kumkuta akivunja amri ya sita ndani ya gari.
Msichana huyo (Jina tunalihifadhi) alikumbana na mkasa huo Jumatano usiku eneo la Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam, ambapo...
Baada ya kusoma makampuni bora kwa ulipaji kodi
Kutokana na vodacom kusema kila siku wao ni kampuni kubwa/mama ya mawasilino ya simu na internet nchi , inapokuja kwenye suhara la kodi wanakuwa sio kampuni mama/kubwa nchini, hapa wananchi tunakila sababu ya kuwa wajibisha hawa watu maana...
MAMLAKA ya Udhibiti wa Chakula na Dawa (TFDA), imekifungia Kiwanda cha Kusindika Samaki cha Sea Product cha jijini Tanga kwa kosa la kuingiza shehena ya samaki kutoka nje ya nchi bila kibali cha mamlaka hiyo.
Uamuzi wa TFDA kukifungia kiwanda hicho umefikiwa baada ya kufanyika kwa ukaguzi...
For the first time an African country has subjected itself to international scrutiny of the rates of mental, physical and sexual violence suffered by girls and boys, and their impact
An 11-year-old girl walks along a road with her sister in Tanzania
Much is known about the physical health of...
Rebecca Balira sentenced to six months and ordered to pay 21-year-old Methodia Mathias £3,000 in compensation
Rebecca Balira was convicted at Southwark crown court of keeping Tanzanian woman Methodia Mathias as a slave
An HIV expert has been jailed for keeping a 21-year-old woman as a slave...
je haki imeshatengeka? na sheria za madini je?
Dhahabu ya damu' ya Bulyanhulu
haki itendeke kwa damu iliyomwagika
MIAKA 15 imepita, lakini sauti za wachimbaji wadogo wa dhahabu waliouawa kwa kufukiwa katika mgodi wa Bulyanhulu wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga, bado zinasikika katika kijiji...
je haki imeshatengeka? na sheria za madini je?
Dhahabu ya damu ya Bulyanhulu
1.haki itendeke kwa damu iliyomwagika
2. makampuni ya madini sasa iwe mwisho wa kupotea roho za watanzania bali wapate utajili
MIAKA 15 imepita, lakini sauti za wachimbaji wadogo wa dhahabu waliouawa kwa kufukiwa...
DPP amkana Hoseah
ASEMA HAJAPATA JALADA LA CHENGE,
AAMBIWA AKAANGALIE MASJAJA
SIKU moja baada ya Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah, kusema kwamba ofisi yake imekamilisha uchunguzi wa madai ya kumiliki Dola za Marekani 1.2 milioni katika...
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Dk. James Wanyancha kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara (RFB) kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia Juni 3 mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Ujenzi iliyosainiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Herbert Mrango, uteuzi huo ni kwa...
25th June 2011
Bpe
Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo
Serikali imesema suala la kuondolewa kwa posho za vikao kwa wabunge linawezekana isipokuwa mchakato ni lazima uanzie katika kamati ya uongozi ya Bunge.
Kauli hiyo ilitolewa juzi jijini Dar es Salaam na Waziri wa Fedha na Uchumi...
kila anapokwenda jk lazima hule mapambe wake anaye mbegea mizigo awe kwa nyuma au pembeni, lakini nashanga leo hayupo au wakienda USA uwa anatolewa? tufaamisha wakuu na nchi yetu ya kijima
President Jakaya Kikwete (2nd R) signs a world map indicating different areas where the U.S Peace Corps...
wana jamii salamu
pamoja na JF kufanya kazi kubwa kuwafikia watanzania wengi kwa siku na wasio watanzania.
llazima tuhakikishe vita inapigwa kila kona kuna page katika faceboo kama hutakuwa huko karibu kutoa post ili kuelimisha
wenzetu wengi ambao hawajalala au kufika hapa jamii forum...
WANAFUNZI wa shule za msingi mkoani Lindi wamedaiwa wameacha masomo na kuamua kuwalea wazazi wao walioathirika na maambukizi ya magonjwa.
Mratibu wa Mradi wa Pasha mkoani Lindi, Sarah Mraponi alitoa taarifa hiyo wakati akizungumza na walimu wanasihi wa shule za msingi kutoka wilaya za Kilwa...
Fredy Azzah
MWENYEKITI wa Umoja wa Maofisa Watendaji Wakuu wa Kampuni zilizopo nchini, Ali Mufuruki amesema vijana wengi wanaomaliza vyuo vikuu mbalimbali nchini, wanashindwa kupata ajira kwa kuwa hawana sifa zinazotakiwa katika soko la ajira.Mufuruki alisema vyuo vingi nchini vinazalisha watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.