Search results

  1. co fm

    Watoto waliotelekezwa

    Watoto waliotelekezwa na baba zao hasa wale wa kiume huwa wanabahati sana,hiyo nimeprove kabisa yaani unakuta kuna vitu vinawaendea tu yaani luckly bila hata struggle sana kivile. Nini kipo behind hawa watu? Au ni baraka za Mungu kwao?
  2. co fm

    Pisi za uswahilini

    Wadau hasa nyie mnaokaa uswahilini, hivi kwanini watoto au mademu wa uswahilini wanaturingia sisi tunaoishi kishua katika mitaa yao. Yaani unaweza kumuita anaringa balaa ila sasa ukicheki mwanaume anayetembea naye unachoka kabisa, hivi tatizo ni nini?
  3. co fm

    Hatari ya kipindupindu

    Wanajamii,sijui ni ushamba wangu au sijui ni kutoelewa.Katika mapenzi siku hizi kama mwanamke au mwanaume hawaja nyonyana sehemu za siri basi penzi halijakamilika,sasa kwa wale wanaolamba wanawake sehemu zao za siri hasa uke ambao upo karibu na sehemu ya kutolea haja kubwa hamuoni kuna hatari ya...
  4. co fm

    Nimechoka kuishi Bongo

    Habarini za humu wadau, Mimi ni kijana wa 26 yrs, mkazi wa Dar es Salaam, nakaa Sinza. Nina kazi nzuri tu ambapo napata mshahara wa 2m+ basic salary. Sina mtoto wala sijaoa, nategemewa na familia yangu huko mkoani, pia ni kijana wa kwanza kwetu, wapo wadogo zangu kama wawili hivi. Sawa...
  5. co fm

    Huduma ya kunyoa nywele

    Hivi wadau kwa hapa Dar es Salaam naweza pata wapi sehemu ambapo wananyoa kwa ustadi nywele hasa za kifuani, kwapani na sehemu za siri. Mara nyingi nikijinyoa mwenyewe ninatokea kujichana au kujikata. Tafadhali Wapi naweza kupata huduma ya kunyoa nywele hizo
  6. co fm

    Watu wa uswahilini sio wa kuwazoea kabisa

    Wadau, kuna watu wanasema ooh ukiwa unaishi uswahilini ujichanganye na watu,ilo kwa sasa nalikataa kabisa. Miezi kama miwili iliyopita hivi kulikuwa na kisherehe hapa mtaani ambapo ni uswazi kidogo,sherehe ilikuwa inafanyika nje tu hapo ya nyumba yetu ambapo mimi nimepanga so kuna sometimes...
  7. co fm

    Mkono wa kushoto ni dharau, nimfanyaje au nijilinde vipi?

    Habari wanazengo, mimi nina duku duku kidogo kuhusu watu wanopenda kutumia mkono wa kushoto ili hali siyo watu wa mikono ya kushoto. Kuna mwana mmoja mtaani hapa ninapokaa yeye mara nyingi ukikutanana nae mkisakimiana nae yeye huwa analeta mkono wa kushoto na siyo mara moja au mbili like all...
  8. co fm

    Tabia ya kukurupuka

    Habarini wanajamvi, katika haya maisha kila mtu anatabia zake ambazo kwa namna moja au nyingine zinamsababishia matatizo.Mimi nina tabia ya kukurupuka sana katika kuongea au kufanya maamuzi au kufanya jambo halafu baadae ndo nakuja kugundua nimefanya wrong. Wanajamvi naamini nyie ni watu wa...
  9. co fm

    Kuomba kazi NMB Bank

    Hello wadau,naombeni msaada kidogo,huwa ninaomba ajira za nmb bank kupitia site yao https://careers.nmbbank.co.tz/ lakini cha kushangaza sijawahi kuitwa hata katika interview au hata kuambiwa maombi yako yamekatatliwa yaani kimya tu. Naombeni msaada hivi kuomba ajira zao unataikiwa upitie njia...
  10. co fm

    Watoto na vyeti vya kuzaliwa zaidi ya kimoja

    Habarini, Wanajamii kuna hili suala la wanawake kuwatafutia watoto zao cheti cha kuzaliwa zaidi ya kimoja. Katika vyeti hivyo unaweza kuta vipo vitatu na kila kimoja kina jina la baba tofauti kabisa. Hii ni kwa sababu ya wao kuendelea kupata hela ya matunzo ya mtoto, unaweza kuta mtoto ana...
  11. co fm

    Gari linanitesa

    Habarini humu wanajf, kuna kipindi niliwahi kuomba ushauri humu kuhusu kununua gari kisa tu wenzangu wote hapa home wana magari yao nakuwa kama mnyonge. Sasa nikajichanga nikanunua gari kwa mtu kama milioni sita hivi IST number D, toka ninunue hili gari kila mwezi lazima initoke kuanzia laki...
  12. co fm

    Ninashindwa kuelewa hii jinsia ya kike hasa ya mkoa wa dar wanataka nini?

    Habari za humu wananzengo, mimi ninashindwa kuelewa hii jinsia ya kike hasa ya huu mkoa wa dar wanataka nini? Mbona wanaringa sana. Mimi sitaki mapenzi ya biashara kama kuhonga sana ili mwanamke akukubali au kununua mpenzi nataka real love Ila pesa mbele ndo wametanguliza. Nyie mnafanyaje? Na...
  13. co fm

    Nimechoka kuishi Bongo, nataka niende mamtoni

    Habarini za humu wanajamii, humu JF kuna watu mbalimbali wengine wanakaa Buza huko kwa mpalange, wengine Masaki na Osterbay, wengine Mwananyamala kwa kopa huko ila wengine wapo mamtooni huko pande za akina Biden. Sasa wale wa kwa biden na ulaya huko ndo naomba ramani za kwend kuzama huko. Je...
  14. co fm

    Kuamka asubuhi ni changamoto

    Nauliza tu kwa nyie wanajamii wenzangu, hivi hii inasababishwa na nini asubuhi kuamka kwenda kazini yaani uvivu wa ajabu yaani natamani kurudi kitandani nilale. Kuna muda nilidhani labda nachelewa kulala maana huwa nalala saa sita usiku basi hata nikilala saa nne usiku bado nahisi sijalala vya...
  15. co fm

    Maisha haya, nyie acheni tu!

    Habarini za humu wenye jamvi, naomba nikunjue jamvi kwa mkasa wa dada mmoja mkazi wa sinza ambaye ni jirani yangu kwa jina anaitwa Angela. Mnamo siku ya Jumatatu natoka zangu kwenye mishe mishe zangu nafika home napigiwa simu angela anaumwa yupo sinza palestina amelazwa kaishiwa damu na hali...
  16. co fm

    Wajuba msaada kwenye bajeti

    Habari za humu wadau, Ninaomba muongozo kwa malegend jinsi gani ninaweza survive kwa mshahara wa 895k per month baada ya makato yote...chini hapa ni ufafanuzi wa jinsi naweza kugawanya. 1. Kodi 250,000 2. Mafuta ya gari 200,000 3. Wazazi 100,000 4. Matumizi etc 200,000 5. Saving ni amount...
  17. co fm

    Watoto waliotelekezwa huwa wana bahati sana

    Habarini za humu wana jamii, I hope mmeamka vizuri sana leo pamoja na changamoto ya tozo katika taifa letu hapa Tanzania. Kuna kautafiti kadogo nimekafanya na nimegundua kwamba asilimia kubwa sana ya watoto waliotelekezwa na baba zao huwa wanakismati sana katika maisha. Yaani hata kama sio...
  18. co fm

    I just wonder tu

    Leo nipo job hapa hamna kazi, mizigo imechelewa kutoka bandarini so leo kuchat tu..Sasa nikawa nawaza hivi binadamu tungekuwa tumegawanyika kama ilivyo weusi na weuspe katika muktadha wa kwenda chooni, yaani ingekuwa hivi kwamba kuna baadhi ya binadamu hawaendi haja kubwa na wengine wanaenda...
  19. co fm

    Kulipa deni ni mtihani

    Wanajamvi kama unataka kufanya jambo lako na hela inapungua bora usubiri tu upate hela umalizie jambo lako maana sio poa. Nilikuwa nataka kununua kitu last month hela ikapungua kama laki mbili hivi, basi nikamcheki mshikaji wangu aniongezee then tarehe 21 ntamrefund nikitegemea mshahara kuingia...
  20. co fm

    Vijana waliofanikiwa maisha

    Kuna vijana ambao wanaona maisha wameyapatia kama vijana wenye sifa hizi;- 1. Anakaa sinza 2. Anamiliki crown au Mark x 3. Anafanya kazi posta na hii sio lazima sana anafanya kazi bank. vijana hawa huwa wanaona maisha wameyapatia sana,
Back
Top Bottom