Search results

  1. Graph

    Tujifunze kitu kutoka Brazil na South Korea

    Marais wa hizi nchi mbili walileta fyoko fyoko mwisho wake ikawa hivi. Hapa ni Brazil, mamilioni ya watu walimchoka ikabidi aondolewe Hapa ni South Korea, na hii ni ya juzijuzi tu. Huyu naye aliondolewa. Hawa marais wawili walichokifanya kinafanana sana na huyu wa hapa kwetu, huyu wa...
  2. Graph

    Messaging Authentication API

    Kwa developers, ningependa kama kuna mtu anafahamu any messaging api specifically kwa mitandao ya Tanzania, nahitaji kuweka feature ya authentication kwa kumtumia user sms yenye pin number. I cant go with services za nje kama Twilio kwa sababu ni very expensive kwa mitandao ya Tanzania...
  3. Graph

    There's more to web development than PHP

    Nimeamua kuanzisha huu uzi baada ya kuona karibia kila developer ninayekutana naye mtanzania tools zake backend: Php + MySQL, frontend: HTML/CSS/JavaScript. Ok sawa, Php is a great language ndiyo, ni popular next to Javascript kwenye web development. You can do a lot of things with Php, Ila...
  4. Graph

    Shipping container homes

    Nimekutana na hizi nyumba zilizojengwa kwa shipping containers nimezipenda sana. Very simple and clean design, contemporary houses. Na hata kama sio kwa ajili ya nyumba nadhani inafaa kitu kama a small coffee au chilling area. Kwa anayefahamu bei ya shipping containers kubwa naomba anitajie bei...
Back
Top Bottom