Search results

  1. Graph

    Powerful encryption, every hacker, pentestER, researchers must know (bypass all antivirus)

    Thats your personal stupid opinion hujui chochote kuhusu online security, kabla ya kuanza defense nilikua offense, nimehack hadi cryptocurrencies nikapiga hela za watu, I know exactly what I'm talking about, we hujui hata kinachoongelewa nini unajifanya unajua kuchangia, unasupport kureverse...
  2. Graph

    Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

    Haha kudhihaki ni kosa? Basi funga nchi nzima, ni kitu kila binadamu anafanya, tofauti moja ni online nyingine ni offline. I'm done dealing with you stupid people, block list yangu karibia ijae.
  3. Graph

    Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

    Washenzi ka wewe hua ni kublock tu, so stupid and fuckin poor
  4. Graph

    Barua ya wazi kwenda kwa Rais Magufuli kuhusu COVID 19

    Jiwe ni kilaza, nothing u say kinamuingia, yeye kwake anaona kila anachofanya ni correct. Yupo tayari mfe wote ili mradi asifate kitu cha kuambiwa, anataka kila kitu kitoke kichwani kwake tu.
  5. Graph

    Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    Mtukufu wetu jiwe, mkemia mkuu wa nchi, daktari mkuu, igp wetu, mchumi mkuu wa nchi, yeye mwenyewe alikuja na vipimo vyake, yeye ni physician mkuu wa nchi unadhani alishindwa kutengeneza kipimo chake mwenyewe?
  6. Graph

    Ushauri tafadhali, nataka kuacha kazi Serikalini nitimkie ughaibuni

    Hiyo siri, wanaonitafuta humu kisa simpendi jiwe ni wengi mno
  7. Graph

    Ushauri tafadhali, nataka kuacha kazi Serikalini nitimkie ughaibuni

    Nje sio kwamba unaomba visa tu ya kufanya kazi unapewa. Unless umepata kampuni tayari ambayo ipo tayari kukusponsor visa au kama una 200 million ya kwenda nje kuinvest kuingia sio kirahisi, ndiyo maana wengi wanapitia njia za shule kwanza. Ukienda kuomba visa ukafanye kazi nje hivihivi tu...
  8. Graph

    Huyu Jaden Smith amekumbwa na nini?

    Wazazi wake wamelea vibaya, mtoto ukimpa kila kitu anakua jinga kama huyu. Kakonda balaa na si hata sababu ya madawa, sababu anajifanya hali nyama, eti kawa vegan hahaha! nyoko kabisa. Ghafla kageuka gay, na utakuta si gay basi tu anafanya hivyo ili kujaribu kua politically correct. Ukiwa na...
  9. Graph

    Ni sahihi Mkuu wa Mkoa kumkejeli Rais wa nchi?

    Unaongelea moja ya vilaza wanaomfuata kufuli? Watu wote aliochagua kufuli ni type hii, wanajihisi wanaongoza dunia nzima, zamani Tanzania ukiwa na hela unajiona upo juu ya wengine, sasa hivi ukiwa unapendelewa na jiwe unajiona upo juu ya ulimwengu, huyu na wakuu wamikoa wengine wakiongozwa na...
  10. Graph

    Kenyatta, Museveni, Kagame na Lungu wasijibiwe kihuni, kejeli wala matusi

    Alisema anatamani kua igp sa hivi utasikia natamani kua rais wa kenya, uganda na rwanda hahaha. Jiwe kimeo, ashadata kichwani
  11. Graph

    Uchaguzi 2020 Mbowe kugombea urais 2020 kupitia CHADEMA?

    Wasipomuweka mtu kama lisu wategemee maumivu, mbowe hata 20% ya kura hatochukua, watanzania wengi sana hawamuamini hata walio CDM wenyewe.
  12. Graph

    The best African President John Pombe Magufuli

    Watu mmezidisha sifia sifia, alafu cha kushangaza wote ni masikini na vilaza.
  13. Graph

    Rais Magufuli, kwa hili la COVID-19 hujengi Taifa bali unajenga chuki na hasira kwa wananchi

    Yupo tayari nchi nzima mfe ili mradi asifate maneno ya wapinzani hahaha! Mnaongozwa na tahira
  14. Graph

    Wazoefu wa Forex

    Hahaha 😂 unaongea utadhani ni rahisi, hakuna mtu mwenye trading algorithm ambayo inaguarantee faida, unamwambia mtu ambaye hana hata background yoyote atengeneze algorithm ya trading? Haha unataka apoteze hela zake zote?
  15. Graph

    Don't promise!

    Pole sana, it happens to almost everyone. Kaa jipange upya, usitake furaha yako itoke kwa mtu mwingine, furaha yako itoke kwako mwenyewe kitu kama hiki kikikutokea tena utaweza ku-move on very quickly. Tafuta hobby au kama una kazi concentrate fanya, be the best you can be utakutana na watu...
  16. Graph

    Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    Ndiyo aseme hauna dawa sio kutudanganya kua ukijifukiza unapona. Hehe mna matatizo kichwani?
  17. Graph

    Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    Fatilia post zangu uone, nimekubaliana naye kama 50% na kumpinga kama 50%. Mimi sio sifiasifia kila kitu wala pondea kila kitu, vipo vitu vingi tu namuunga mkono, lockdown isiwepo naunga mkono, alivyopambana na wachina naunga mkono, kuzuia watoto waliopata mimba wasisome nimepinga, umeme...
  18. Graph

    Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    Na kuna watu laki kadhaa waliougua wakakaa tu nyumbani wakajifungia wakapona. Hahah zee jinga hili, mtu moja kupona haimaanishi ni dawa, ingekua hivyo watu milioni waliopona duniani kwa kukaa tu miili yao ikapambana na virusi tungesema hiyo ni dawa kwa hiyo tusifanye lolote. PhD hivi aligawiwa...
  19. Graph

    Tanzanians: We worship God only not Corona

    Haha mnaabudu mungu aliyeletwa na wakoloni alafu mnajiona wajanja kuliko wakoloni wenyewe. Stupid
Back
Top Bottom