Search results

  1. daveposta

    naomba kujuzwa juu yaRecognition of Prior Learning (RPL) Examination

    Habari zenu wana Jf, naomba kujua mtu yeyote anaejua kuhusu Recognition of Prior Learning (RPL) Examination kwa upande wa education
  2. daveposta

    Photo entry kwa shilingi 500/= Tshs kwa picha

    Ndio bado bado mia tano tu
  3. daveposta

    Photo entry kwa shilingi 500/= Tshs kwa picha

    PHOTO ENTRY KWA SHILINGI 500/= TSHS KWA PICHA Tunafanya photo entry kwa wote watakaohitaji huduma yetu, tutamaliza ndani ya dakika 10. VITU MUHIMU VYA KUWA NAVYO NI picha za wanafunzi wako ambazo umezipanga kama mpangilio wa majina ya wanafunzi wako katika entry form entry form iliyojazwa...
  4. daveposta

    Mkojo kunuka vibaya kama kinyesi

    Tatizo lako lilishaje mtoa mada?
  5. daveposta

    Nina PASS ya DSEE ya 2.3 GPA na nataka niendelee na elimu ya Chuo kikuu. Nifanyaje?

    Nashukuru bwana Jose. Hivyo vyuo ni kama kipi?. Manake nilisomea DSEE masomo ya physics and chemistry
  6. daveposta

    Nina PASS ya DSEE ya 2.3 GPA na nataka niendelee na elimu ya Chuo kikuu. Nifanyaje?

    Naombeni msaada wana Jf , Kama mjuavyo entry requirement minimum ni GPA 2.7 nchini Tanzania. Ningependa niendelee na elimu ya Chuo kikuu, lakini naona sijafikia sifa Je nifanyaje?
  7. daveposta

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Mtwara (v) nije pwani au Kilwa (m)
  8. daveposta

    Photo Entry kwa Shilingi 500/=

    Tunapatikana Dar Es Salaam, lakini Huduma yetu itakufikia popote Ulipo. Asante
  9. daveposta

    Photo Entry kwa Shilingi 500/=

    PHOTO ENTRY KWA SHILINGI 500/= TSHS KWA PICHA Tunafanya photo entry kwa wote watakaohitaji huduma yetu, tutamaliza ndani ya dakika 10. VITU MUHIMU VYA KUWA NAVYO NI picha za wanafunzi wako ambazo umezipanga kama mpangilio wa majina ya wanafunzi wako katika entry formyako kwa kuandikwa majina...
  10. daveposta

    Lema apigwa na kuumizwa vibaya na polisi

    Mwreeeee jaman
  11. daveposta

    Nawashwa mwili mzima

    Vpele kwenye mboo vnatoa maj na vnawasha xana ila magotini haviwashi. Hata nikienda haja kubwa anus unawasha msaada plz.
  12. daveposta

    Nawashwa mwili mzima

    Nmefikisha kama mwiez3 nawashwa mwl mzima hasa kwenye maungio ya mikono na miguu, kwenye uume na ku7bisha vpele kutokea.
  13. daveposta

    tuition..maths n b.keeping

    Mwaishi wapi?
  14. daveposta

    nafanya photo entry kwa ajiri ya usajiri form four 2014

    Kwa sasa nipo mtwara ila dec mpaka january ntakua dar. Kuhusu ubora nafanya kulingana na necta wanavyotaka.
  15. daveposta

    nafanya photo entry kwa ajiri ya usajiri form four 2014

    kwa wale wanaotaka kupunguziwa picha kwa ajiri ya usajiri wa necta form four, kwa vipimo vya necta kwa bei chee wanitafute kwa kuni PM au kwa e mail info@shuleni.org
  16. daveposta

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Me npo mtwara (v) sec. atakayeitaj kubadlshana ani PM
Back
Top Bottom