Search results

  1. Drjacka92

    Nawezaje kuwa Usalama wa Taifa?

    Wakikuhitaji watakutafuta
  2. Drjacka92

    Mlinzi wa shule alinilaani, nami nimekuwa mlinzi

    Sijakulaani kijana japo uliniudhi sana sikuile. Mi bado nalinda apa shuleni kwenu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Drjacka92

    Sisi Waafrica hatupo serious kabisa, yaani hadi leo Robert Mugabe hajazikwa!!!

    Kuna rais apo Congo amezikwa miaka miwili baada ya kufariki.
  4. Drjacka92

    Nyimbo za Jaguar huenda kufungiwa kupigwa nchini

    We unaona ni Jambo Dogo lakufumbia macho?? Nasisi tukisema tufukuze wakenya nchini Tanzania itakuwajee? Ameboronga Sana jamaa
  5. Drjacka92

    Nyimbo za Jaguar huenda kufungiwa kupigwa nchini

    Aahaa!! Kumbe Yule mshenzi anaetaka kuwafukuza watanzania Kenya.
  6. Drjacka92

    Nyimbo za Jaguar huenda kufungiwa kupigwa nchini

    Waombe radhi Kwa kipi walichofanyiwa??? Jaguar wanangu wa mnanda kutoka Moro au???.
  7. Drjacka92

    Salama Condom Mbona hazipo Madukani?

    Wafadhili labda wamekata msaada.
  8. Drjacka92

    Binafsi sijaielewa hii picha

    Mchicha Fungu mbili wenye thamani isiyozidi shipingi elfu moja, kitambulisho shingoni cha shilingi elfu ishirini.
  9. Drjacka92

    Miradi mikubwa ya mabilioni bila bajeti inaweza kutufikisha mahali ikatushinda kumalizia

    Machozi ya waliobomolewa bila kulipwa hayajadondoka bure. Tutakuja kufundisha Nguvu ya Roho zilizokunjika, unaweza usifanikiwe mpaka nafsi hizo zikunjuke.
  10. Drjacka92

    Hizi dawa za ARTs mbona zinanipa ndoto za kufakufa...!!!

    Uza Smartphone upate ela ya chakula.
  11. Drjacka92

    Wakazi wa Mtwara na Lindi, tupeni hali ya hewa na kile kinachojiri

    Nipo Lindi kwasasa, Hali ni Mawingu Mazito, Bahari imetulia kabisa, hakupa upepo kabisa na umeme umekatwa, Giza tuu.
  12. Drjacka92

    Safari channel imeanza kuharibu mambo

    Wamekazania kumuonesha Yule Kitukuu cha MKWAWA utadhani ndio historia pekee ya Tanzania. Nimeshaacha kutazama iyo channel. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Drjacka92

    Je unajua report ya uchunguzi ya ajali ya ndege kuwa ilishatoka? Pitia hapa

    Ngoja tupitie tuone yaliyomo. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Drjacka92

    Usafiri wa mwendokasi hauna tofauti na usafirishaji wa ng'ombe toka mikoani

    Kila kitu Rais Magufuli tusaidie, kwani hakuna mawaziri wa wizara ya usafirishaj au hakuna viongozi wa mamlaka husika?. Kila kitu tukisubiri mpaka Rais hatutafika mahali. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Drjacka92

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Daaah!! Kumbe umepigia apo mjini kabisa Ruvu!!. Balaa lipo 841kj uko mjini Mafinga. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Drjacka92

    Leo ningesafiri na kampuni ya mabasi super sami T 203 DHM kutoka Mwanza to Dsm, nimekereka sana

    Kwahiyo sasa uhuni uko wapi apoo? Heading na maelezo vitu viwili tofauti, tuliza Akili uandike kitu chakueleweka. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Drjacka92

    Naomba nisiwe mnafiki, naomba Lethoso iifunge Cape Verde 3 bila

    Kama hata kuandika tu neno Lesotho inakushinda unadhani unaweza fanikiwa maombi yako?. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom