Search results

  1. Million dollars

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hawa pimbi dawa yao ni kuwahama tu
  2. Million dollars

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Lazima wakuletee mbamba nyingi! kuna mtu wa kuitwa Tips master alikuwa anatumia 22bet aliunda group akasema lile group stake ni kuanzia 2M wakambutua siku mbili tatu 22bet wakaanza figisu za kutoa njia za kuwithdraw ndo mpaka leo hii ile kampuni ikafa maana walikuwa wanapigika haswaaa
  3. Million dollars

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kumbe ndo michezo yao?? na leo wamefanya hvyo
  4. Million dollars

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu, hv kuna mtu amefanikiwa kutoa Pesa Helabet kuanzia jana?? Hawa wangese wameanza Michezo ya kitapeli kama 22bet kipindi kileee! sasa hv nishastuka ukiona kampuni lolote Bongo limefanana na 1xbet halafu kudeposit na kuwithdraw ni kwa Mobile payments jua tu ipo Siku Watakuliza watakimbia na...
  5. Million dollars

    Nini kinakuvutia zaidi katika simu janja(smartphones) kutoka kampuni ya Samsung?

    Hizo Features zote hazipatikani kwenye A Series halafu S na Note Series Ambapo ndo zinapatikana napo Betri Majanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo ndo ninapochanganyikiwa kununua Samsung! ukitaka Battery chukua A Series ila sasa Ule unyama Haupo huko...
  6. Million dollars

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Zongtong Mega
  7. Million dollars

    Ni ujuzi (skill) gani ukiwa nayo huwezi kulala njaa kwa mwaka ujao 2023?

    Ukiwa kwenye sector ya Usafirishaji uwe Konda, Dereva Bajaj, Bodaboda, Daladala as long as inahusisha abiria Nakuhakikishia 2023 is going to be your Year! Usisahau Key point :UAMINIFU sio unakuwa Bodaboda unapigiwa Simu unaulizwa uko wapi unasema upo jirani kumbe Upo Km 20 away unafata abiria...
  8. Million dollars

    Ni ujuzi (skill) gani ukiwa nayo huwezi kulala njaa kwa mwaka ujao 2023?

    Dereva ukawa naLeseni ya Class A,D na C1 tosha sana
  9. Million dollars

    Character gani ulimkubali zaidi kwenye series

    Raymond Reddington - The Blacklist [emoji41][emoji41][emoji41]
  10. Million dollars

    Kipindi cha Hello Mr. Right

    Yale ni Maigizo na kuna Script kabisa imeandikwa na kila kinachofanyika pale kimeshakuwa Planned Msidanganyike Watanzania wenzangu ule ni Utopolo mtupu kama Mieleka (WWE)
  11. Million dollars

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi nishapoteza kama 500k huko wiki hii
  12. Million dollars

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu kuna anayechoma pesa kwenye Aviator?
  13. Million dollars

    Mwanamke- Mke ni kitu Gani kikubwa ana kitoa kwa Mume wake zaidi ya Ngono

    Anaitwa pastor Rose Shaboka search insta utamuona ana bonge la Tako
  14. Million dollars

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kama Huwezi kumla Kanji Buku 2 kwa stake ya Buku nakuhakikishia hata uweke milioni napo utshindwa kumla! Kama unabisha tafuta Hiyo laki 5 unayosema halafu utupe majibu
Back
Top Bottom