Search results

  1. M

    Malipo ya Mamilioni Parastatal Pensions Fund (Invoices): Rewarding and Defending Corruption

    We Mwenda.. nini hivi kweli mtu apoteze muda kuchakachua doc. kumchafulia jina ili iweje au unataka uonyeshwe nini ndo ukubali, tumia japo akili kidogo na sio makamasi!!
  2. M

    Mfuko wa Jimbo kupingwa mahakamani

    Huu ni ukweli usiopingika kuwa wabunge hutumia fedha hizi kama mali yao na kufanya wanavyo taka wao bila kuzingatia mahitaji halisi ya wapigakura wake. Pia inatoa mwanya kuwanyima wapigakura wa sehemu zile ambazo mbunge husika hakupata kura nyingi kuto fikiriwa kwenye miradi hio na kupendelea...
  3. M

    President Kikwete's 20days world record marathon!

    This is your president Mkwere. It is the tradition of the coast people(waswahili) aspec. Zaramos and the like to travel as much as they get chances also banquets(sherehe na dhifa) ooh! so dont be supprised ma fellow JFs
  4. M

    Toleo Jipya: Uongozi wetu na Hatma ya Tanzania

    Mze Nakubali kazi yako maana kilikua ni kazi kweli kukipata. Tatizo lingine wengi hawapendi kusoma Hoja za Mdingi wetu maana yote aliyokua akiyapiga vita ndo yamepata kushika kasi ya ajabu sasaivi
  5. M

    Profesa Lipumba amshambulia Rais Kikwete

    Kusema ule ukweli ni kwamba CUF bara wamewekwa njia panda, wanajaribu kubembeleza serikari na wakati huo huo wasionekane kama ccm B mbele ya wapinzani wenzao, kwa namna hii kauli zitokazo zina ashiria anawabeza wanaotoa maneno ya kejeli kwa prezda na wakati huo kutaka kumshauri awe makini. Hapa...
  6. M

    Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    WEWE hujui na kama unaota jaribu kuota tena labda unaweza kuwa kama mchungaji wa Loliondo. Na unapo otandoto zako toa na utafiti uliofanya, hapa hakuna alie kutusi bali hoja zako angalia pa kuziweka ""Dont Try This""
  7. M

    Ni Woga gani huu

    Ukiangalia historia za africa utagundua, kama nchi ina machafuko au wasiwasi wa kupinduliwa au kuwepo na uasi basi rais wake hathubutu hata kutoa mguu wake kwenye nchi yake hata kwenda kwa jirani yake anaepakana nae, kwa hofu ya kupinduliwa atakubakishwa huko huko nje, Mbona JK tangu alipo toa...
  8. M

    Bwana harusi

    Zamani ulikua Huoi mpaka uwe na nusu au robo tatu ya Gharama za harusi, Si mchezo babaake
  9. M

    Ni Woga gani huu

    Bado naendelea kufikiri jambo lililomfanya mkuu wa nchi kutangaza kuwa anataka kuondolewa madarakani kwa nguvu. Si jambo la kumwingia mtu akilini kwa Rais kusema jambo zito kama hilo la kuwatisha wananchi kuwa nchi inataka kupinduliwa, ukizingatia kuna vyombo mbalimbali vinavyofanya kazi zake...
  10. M

    Is it true Tanzania is the 2nd Largest Economy in East Afrika?

    Yes and it is real that we are going to overtaken by UG du to those FISADIS' who harvest the fruits on atree by cutting the branch or the whole tree JK!!!!! :A S 13:
  11. M

    Kumbe ukiukwaji wa maadili ulianza kipindi cha j.k.nyerere?

    Alichokifanya JK ni Umbea na unafiki na majungu kwani alipaswa aulize ndani ya uongozi na viongozi wenzake kama alikua anahujumu jeshi au la na kama alikua akisaply kwa bei za halali na kwa kiwango kinacho kubalika alikua na haja gani ya kuwaruka viongozi wenzake na kwenda direct kwa mkuu wa...
  12. M

    DPP kuiadhibu CHADEMA?

    Kwa Kauli ya Tendwa nashindwa kuamini kua imetoka kwa mtu aliye pewa madaraka makubwa ya kusimamia vyama vya siasa. Tendwa hapaswi kutoa maneno ambayo unaweza kuyatafsiri kama ni matusi kwa kiongozi mkubwa wa chama cha CDM, Je anaweza kutoa kauli ya kejeli kwa mkuu wa CCm ambayeni JK kwa...
  13. M

    Stashahada ya JK

    Hii ilikua udom je udom ishafikia kutoa shahada ya uzamivu??? Ndo maana wana mchakachua na yeye
  14. M

    Kwa chiligati haya ni matusi na sio upungufu

    4 sure Msharika Hawa watu ni kama hawakwenda shule au walidesa, maana wanacho zungumza kinapingana na ukweli. Sina hakika sana kama Tendwa aliyokua akiyazungumza yalitoka baada ya kufikiri kwa makini kwani hajui athari zake nini, ni kama mtu anakata tawi la mti huku akiwa amekalia tawi...
  15. M

    chadema na imani ya umma wa watanzania.

    Unaonekana wewe ni kipofu na kiziwi kwani huoni na husikii au una masikio hutaki kusikia na macho hutaki kutazama na kuona mwelekeo. Nakupa Bg Up asakuta maana hilo ndilo lililobaki Baada ya Op Sangara ni kuingia hadi uvunguni """"WA TA JI JU"""" wasiotaka
  16. M

    CDM sasa ni wakati wa oparesheni dagaa

    For sure Lakini Ni new strategy pia hata likibaki sangara ilenge kwenda vijijini zaidi
  17. M

    CDM sasa ni wakati wa oparesheni dagaa

    Wana CDM natumaini Tumefanya na tumeona mafanikio ya operesheni SANGARA, operesheni iliyo lenga kupata wanachama katika Miji mikuu na sehemu karibu na miji hii. Sasa ni wakati wa kuingia ndani zaidi vijijini, kupanda na kushuka milima hadi kule ambako ccm hawajawahi kufika tangu nchi hii...
  18. M

    Kama unaweza njoo

    billaa ioo!!
  19. M

    Wanaume kuwaficha wake zao juu ya akaunti zao. Why??

    Mimi naamini kua kumweleza mke au kutomweleza kunachangiwa na mambo mengi, kwanza usiri ndani ya familia- mke awezakua kila anapozungumza na shoga,ndugu au rafiku aweza kueleza tunahela nyingi,au mme wangu tajiri kuliko wako nk. pili nidhamu ya matumizi, mke aweza kuhitaji kwa matumizi yasiyo ya...
  20. M

    Jeshi lilijua kuwa mabomu yangelipuka...?

    Kweli ni Jambo la kushangaza, pia kuna taarifa kua wanajeshi hao na hata wanao ishi uraiani karibu na kambi hio wali vacate (hama) nyumba zao pamoja na familia zao. Kubwa zaidi ni kwamba lipi bora Kuwalipa watu vifutajasho kama wanavyo dai au kuwatahadharisha wahame mapema??? sasa imebaki...
Back
Top Bottom