Search results

  1. T

    Naomba kujuzwa kuhusu Amazon web services certification kwa Tanzania

    Habari wadau, naamini mko poa. Ni muda sasa nimekuwa nikifuatilia kuhusu cloud computing na nikafikia hatua ya kutaka kujua kiundani, katika kufuatilia kwangu nikagundua kuwa naweza kujifunza online na kupata cheti. Ningeomba kujua kama kuna mtu ambaye alishafanya mitihani ya amazoni anipe tu...
  2. T

    Vitabu vya software application development

    Habari za mda huu wadau, ningependa kujua ni wapi naweza kununua au kupata vitabu vya programming language kama javascript na java kwa Dar es Salaam, Nimejaribu kutafuta maduka mbalimbali ya vitabu bila mafanikio. Yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali
  3. T

    Msaada simu YANGU YA Tecnop W4 haiingizi chaji

    Habari za muda huu wadau, Nilikuwa natumia Tecno W4 kwa mUda mrefu kidogo, lakini ghafla ilianza kupunguza muda wa kukaa na chaji na mwisho kabisa ikawa haichaji. Inawasha kitaa chekundu kwa ishara kama inachaji lakini haiingizi chaji, hata ikiingiza itaishia asilimia 3 tu, Nimebadilisha...
  4. T

    PC imezima ghafla

    Habari za wakati huu wadau, naomba msaada kwa wataalamu wa computer. computer yangu imezima ghafla nimejaribu kutoa betri na kuirudisha tena lkn wap, nimejaribu kubadilisha adapter pamoja na betri kutoka kwenye pc nyingne ya aina hyo hyo ambazo ziko vizur lakin bado haijawaka, na haikuwa na...
  5. T

    Continuous Students na mkopo

    Salaam wakuu, Naombeni kuuliza hiv kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo nikimaanisha mwaka wa 2 na 3 majina yao ya mkopo huwa yanatoka kwa batch pia?? Yan kwamba unaweza kuwa continuos student lkn jina lako lisije kwenye batch ya kwanza likaja kwenye batch zinazofuata Naombeni kujulishwa
  6. T

    Msiogope mtapata vyuo wakuu

    Mm nakumbuka mwaka jana nilikosa round ya kwanza nikakata tamaa lkn round ya pili nikapata, kuna rafki zangu walikosa bado baadae wakaja kupata vyuo hvyo nawasihi wadau msiwaze sana ila muwe mnafuatilia kwa karibu taarifa zinazotolewa na vyuo mlivyoomba pamoja na tcu, kuna mdau wangu mmoja hvo...
  7. T

    sniffer software

    HABARI WAKUU Naomba mwenye ujuzi kuhusu upatkanaji wa hii software anijuze
  8. T

    Software engineering vs Electrical engineering

    Habari wakuu Naomba kufahamishwa kuhusu hii fani ya software eng kwa anaye ijua vizuri hususan kwenye kaz zake niliomba electrical dit na software udom sasa dit sjachaguliwa hvo nasubiri second batch ya udom ingawa kiukweli moyoni naikubal electrical ila sina namna msaada wakuu
  9. T

    Nawezaje kujifunza lugha ya Kingereza mwenyewe?

    Habar wakuu Naomba kujulishwa ni namna gan naweza kujifunza kiingereza mimi mwenyewe na kuweza kuongea bila kusitasita, kwa sasa naweza kwa kiwango kidogo sana Ni vitabu gani nisome? Ahsanteni
  10. T

    Makumira na arusha university on air second batch

    Tembelea www.makumira.ac.tz www.uoa.ac.tz kwa taarifa na msaada zaidi
  11. T

    NACTE hii siyo haki

    Habari Mpaka sasa nacte kutokutoa selection wala kutokuwepo kwa taarifa yeyote elekezi ni kama kuonea wanafunzi kwa sababu kuna maandalizi yanayotakiwa yafanyike na wanaotarajia kujiunga na vyuo ukizingatia vyuo vingine viko mbioni kufunguliwa
  12. T

    DIT na MUST Kulikoni

    Habari wakuu Kwa wanao vijua hivi vyuo viwili DIT na MUST heb tunaomba mtujulishe mwaka wa masomo 2016/17 unaanza lini ili tusijichoshe sana kusubir selection kumbe kitu ni mwezi huu mwishoni Asante
  13. T

    Diploma holder mjiandae

    Habari wakuu Chuo cha maji kimetoa majina ya diploma holder na form 6 kwa pamoja first batch, hvyo tusubri kidogo na tuamin kwamba hatujatengwa Asanteni
  14. T

    Makumira University wameachia batch ya kwanza

    Makumira wameachia tayari batch ya kwanza kwa msaada zaidi ingia HAPA
  15. T

    NACTE mbona kimya, kulikoni?

    Aiseee hawa nacte mpaka sasa wamesizi wakati vyuo baadhi wameshatoa first batch kwa wale walio apply kupitia TCU, Kulikonii
  16. T

    Electrical Engeneering UDSM au DIT

    Wakuu Naomba kuuliza kati ya hv vyuo viwili vikongwe ni kipi kinatoa wahandisi wazuri wa umeme?
  17. T

    Nimrodi na babeli ya zamani na Mwanzo wa dini za kishetani

    Habari wakuu,, Kwanza kabisa mimi ni Mkristo ninaye muamini MUNGU, ROHO MTAKATIFU na YESU KRISTO... Miaka michache iliyopita nilikuwa nikipenda sana kufuatilia mambo mbalimbali kuhusu dini na madhehebu tofauti tofauti kuona yalianzishwaje na chanzo chake kilikuwa ni nini na makusudi yao pia, lkn...
  18. T

    Kama kuna waliopata NACTE first selection

    Habari vipi wakuu?? naona ukiingia kwenye website ya nacte kwenye results wameandika we are finalizing second selection, je kuna ambao wameshapata hyo first selection ya nacte???
  19. T

    Kama kuna Diploma holders aliyechaguliwa tufahamishane

    Wakuu vip kama wameruhusu kuanzia tar 12 watu waapply tena vip mbona selection bado?? au kama kuna wa diploma aliyekwisha ona amechaguliwa tujulishane wadau, kwenye profile naona wameniandikia system is current running, Tujulishane plz tusije chelewa second round
  20. T

    TCU Diploma mbona mmetusahau?

    Jamani TCU ndo mmeshatusahau au vip leo tar 15 bado kimya
Back
Top Bottom