Search results

  1. T

    TANZIA Balozi Emanuel Ole Naiko afariki Dunia Dar

    Hahahahahaaah kweli kabisa mkuu, mmeru wa Tengeru arusha
  2. T

    TANZIA Balozi Emanuel Ole Naiko afariki Dunia Dar

    Ki asili sio mmasai mkuu
  3. T

    Naomba kujuzwa kuhusu Amazon web services certification kwa Tanzania

    Habari wadau, naamini mko poa. Ni muda sasa nimekuwa nikifuatilia kuhusu cloud computing na nikafikia hatua ya kutaka kujua kiundani, katika kufuatilia kwangu nikagundua kuwa naweza kujifunza online na kupata cheti. Ningeomba kujua kama kuna mtu ambaye alishafanya mitihani ya amazoni anipe tu...
  4. T

    Computer Maintenance

    Nashukuru mkuu, ila nilipokuja kuchunguza vizuri computer inaanza kutoa mngurumo baada ya 5 beeps (kutoa mlio mara tano) na nilivyofuatilia ni kama ni cmos battery ina tatzo
  5. T

    Computer Maintenance

    Boss nina desktop yangu Dell, nikiiwasha tu feni inanguruma kwa nguvu lakin haiwaki kabisa, naskia feni tuu ina nguruma na kataa ka kuonyesha kwamba ipo on lakin kwenye screen hamna kitu
  6. T

    Vitabu vya software application development

    Habari za mda huu wadau, ningependa kujua ni wapi naweza kununua au kupata vitabu vya programming language kama javascript na java kwa Dar es Salaam, Nimejaribu kutafuta maduka mbalimbali ya vitabu bila mafanikio. Yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali
  7. T

    Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha waandamana baada ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kukata pesa zao za kujikimu

    kweli mkuu wanafunzi wengi wameweka akili pembeni, ukionekana cdm au act unashambuliwa sawa
  8. T

    Msaada simu YANGU YA Tecnop W4 haiingizi chaji

    Hahahaha Mkuu kuwa na upendo basi aisee!!
  9. T

    Msaada simu YANGU YA Tecnop W4 haiingizi chaji

    DUUUH kwahiyo ndo imepita hivi mkuu, hata nikibadilisha betri?? maana kuna vitu vingi kwenye simu natamani nivihamishie kwenye simu nyingine
  10. T

    Msaada simu YANGU YA Tecnop W4 haiingizi chaji

    Habari za muda huu wadau, Nilikuwa natumia Tecno W4 kwa mUda mrefu kidogo, lakini ghafla ilianza kupunguza muda wa kukaa na chaji na mwisho kabisa ikawa haichaji. Inawasha kitaa chekundu kwa ishara kama inachaji lakini haiingizi chaji, hata ikiingiza itaishia asilimia 3 tu, Nimebadilisha...
  11. T

    Dr. Pallangyo, Mbunge mpya Arumeru ashindwa kuuliza swali la nyongeza Bungeni

    Hamna uchaguz uliofanyika mkuu, 2015 nassar alimshinda kwa 85%
  12. T

    Dr. Pallangyo, Mbunge mpya Arumeru ashindwa kuuliza swali la nyongeza Bungeni

    Mkuu huyo ni jiran kabisa nlkuwa nikipita pemben ya fence yake nikienda shule o level, unayoyasema ni ya kweli kabisa, pamoja na fedha zote hzo hawez kukumbukwa kwa msaada wowote,
  13. T

    CCM wavamia na kuvuruga uchaguzi wa DARUSO (UDSM)

    Asante sana Baba swalehe watu wapunguze upuuzi kichwan hasa wachumia tumbo wa kijani,
  14. T

    Umesoma vitabu gani mwaka 2018?

    Bonge la kitabu aseee
  15. T

    What happened to Musiba/Tanzanite?

    Nadhan atakuwa anaandaa Bonge la hotuba ya kuhutubia wananchi maana donge nono la uteuzi kutoka juu linamsubiri:D:D:D:D:D
  16. T

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Bora amesepa yule jamaa(Dr. Masoud), kwanza alkuwa na dharau na majigambo kibao
  17. T

    Bishop Zachary Kakobe: Mimi si CCM wala CHADEMA, sina kati ya chama cha Siasa hata Kimoja

    Hatubu mtu na tutaendelea kudunda kama kawaidaaaaa
  18. T

    Wale wazee was c++ tukutane hapa

    je wale wa Java na Python mbona tunatengwa wazeeeeeeee:cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool:
Back
Top Bottom