Search results

  1. Mkulima Jr

    Nikimwangalia Trump anavyopambana nalazimika kuamini CHADEMA siyo chama cha Kibepari, wako kinyonge sana

    Mada yako haina ukweli wowote..Trump angekuwa Tanzania asingeweza kuruka kuviunzi...angeishiwa kufilisiwaa au kuuwawa kabisa. Wenzetu kule wanafuata sheria za mahakama...lakini sio kwetu Tanzania, kwetu maigizo toka juu ndio kila kitu. Maada yako haina ukweli wowote ule
  2. Mkulima Jr

    Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

    Mshukuru MUNGU amekufuniliaa mapema. Hapo kazi kwako kusuka au kunyoa
  3. Mkulima Jr

    Matajiri wakubwa Tanzania si wafanya biashara bali ni wanasiasa, viongozi wa serikali na ndugu zao, kuonyesha kwamba kuna kitu hakipo sawa

    Beberu hujaelewaa mada kabisa. Matajiri wengi ni watu wa serikali achana na awo iliwataja wewe. Sisi tunazungumziaa wengi ni wapigaji viongozi wa serikali ni Matajiri kupitiaa wizi wa pesa za serikali na kujiwekea mifumo ya kujilinda na kuwekaa ndugu zao au watoto
  4. Mkulima Jr

    Engineer Hersi anafanya uongozi wa soccer uwe mgumu

    Tuacheee ushabiki mpira nafikili engineer Hense anafaa kuwa raisi TFF
  5. Mkulima Jr

    Huduma ya usafirishaji wa magari kutoka Afrika Kusini - Tanzania

    Flat bed trella or trella yenye container 40ft au box body trella naweza Pata kwa pesa ngapi??
  6. Mkulima Jr

    Hivi kuna chama ambacho kinaweza kuitoa CCM madarakani?

    Wajibuu wakukitoaa CCM madarakani ni wananchi sio Chama. Wananchi ndio wanapiga kula kukipaaa lizaaa Chama kutawala
  7. Mkulima Jr

    Usalama wa Taifa, ni kwanini mpaka leo sabuni ya jamaa imeshika soko Tanzania?

    Wapo bizee kuipambaniaa CCM nakuwapa mbinu mbali mbali zakuendeleaa kuitawala Tanzania. Sio rahisi kupata muda kufikilia maslai mapana ya uchumi wa Tanzania
  8. Mkulima Jr

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ecowas wamekubaliana kuingia NIGER kijeshi kulinda maslai ya Marekani na NATO. Poor Africa
  9. Mkulima Jr

    Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

    Elimu ya mtaani...haya madini upati darasani. Tunashukuru sana
  10. Mkulima Jr

    Putin atishia kuiparamia Poland ikiimarisha mpaka wake!

    Nato mnadeka sana...muingiee vitani tuone..tumechoka Sasa kila cku Russia russia...cmko wengi ingieni uwanjani mamayee...kama hamjaja kuishii Africa kama wakimbizi
  11. Mkulima Jr

    Singida ni Mkoa Maskini sana. Yaani Mwaka Mzima TRA inakusanya Bilioni 11 tu

    Ikianzaa Sela ya majimbo itafikaa mbali sana..kwa maana mapato yake yatatumikaa kuwekezaa apo apo
  12. Mkulima Jr

    Zelenskyy ashauriwe kwa manufaa ya Ukraine

    Tutasimama na [emoji635] Russian hadi eukrane yote iwe chini ya Russian ili kuwe na balance of power, inaboaa kuwa na Dunia inayojaa mashoga..Russian wakishinda hii SMO Dunia itakuwa mahala salamaa sana
  13. Mkulima Jr

    Magufuli ndio alikuwa wa kuibadilisha nchi, kama ilishindikana basi hatokaa atokee mwingine

    Kwanini??..wenye Zama zao kipindi icho wanasema amefanya makubwa
  14. Mkulima Jr

    Magufuli ndio alikuwa wa kuibadilisha nchi, kama ilishindikana basi hatokaa atokee mwingine

    Si kweli..upeo wako wakufikilia ni mdogo sana..unauwakika gani? Unajuaa alichofanya Nyerere katka hii nchi ni makubwa jee unajuaa Rais atayekuja baada baadaee miakq michachee ijayo..au kipindi mwanao akianza kupiga...labda usemaa wewe binafsi ndio raisi wako bora Magufuri...
  15. Mkulima Jr

    Urusi yapendekeza makao makuu ya UN yaondolewe Marekani na kuhamishiwa nchi nyingine

    Naunga mkono hoja...yaamishwe tena kwa haraka zaidi
  16. Mkulima Jr

    Hivi kwanini mwendokasi huduma zinakuwa mbovu na wao ni monopoly?

    Sababu serikali imesimamiaa ila trust kama angepewaa mtu binafsi kuwendeshaa..huduma zingekuwa nzuri..angalia tu mfano wa mabasi makubwa..ya mikoani inavyoendesha vizuri na watu binafsi
  17. Mkulima Jr

    Mercedes-Benz itawaua watanzania asee

    Benz...ni gari nzuri sana...sema..Sasa upate mafundi wazuri special wa benz..tofauti na apo utaichukiaa...kwa wale wa Arusha wanaomiliki benz niwapelekee sakina kwa mafundi benz
Back
Top Bottom