Search results

  1. M

    Safi sana Hon Mwigulu

    Mwigulu Polisi walitegemea kuskia hayo kutoka kwako na kwa namna hii umeongeza morali kwa askali wetu...... watanzania tumekuelewa, wizara yako imeskia, jeshi la polisi limefurahi - IGP ni utekerezaji tu mkuu wa wizara kesha nena FIDIA ZA ASKALI WALIOUMIA KAZINI ZIHARAKISHWE........ "Mtu...
  2. M

    Hongera sana Mkurugenzi Lushoto, Bwana Makwega

    Hongera sana Makwega Adeladius mkurugenzi Lushoto umefanya kile ambacho mheshimiwa raisi alitarajia kukiona kutoka kwako..... Wilaya yako kuongoza katika mapato kwa mkoa wa tanga si jambo la kubeza.... najua kazi ya kukusanya mapato imekuongezea maadui na kwa kiasi kikubwa imekupunguzia...
  3. M

    Wema aikataa CCM na kujiunga Chadema?

    Bora aende huko maana fursa za kuvuta na kubwiya zipo...... CCM kwa sasa haitaki wabwiyaji na wavutaji.
  4. M

    Piga Kazi Makwega

    Wakati wao wanahangaika kufanya yasio na tija kwa WanaLushoto yeye anapambana kuleta maendeleo......., anapambana kuondoa kero kwa WanaLushoto....., anaendelea na mpango wa kuunganisha vijiji vilivyotenganishwa na mito ili kurahisisha huduma za kijamii..... Makwega Adeladius Kazimbaya you are...
  5. M

    Happy birthday Mr President

    #watu wa Aina yako wanazaliwa kwa nadra sana. Umekuwa Rais wa mioyo ya wanyonge.umeirudushia Tanzania heshima na utukufu wake! Umekuwa msemaji wa wale wasiokua na sauti, na sasa dunia nzima inalitaja jina lako. Ufalme, uungu watu na utukufu waliojivika watanzania jeuri kwa sababu ya madaraka...
  6. M

    Madaktari watumbuliwa wilayani Malinyi

    MADAKTARI WATUMBULIWA - Malinyi MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Mkoa wa Morogoro, Marcelin Ndimbwa amewasimamisha kazi Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Matimbira, Dk Severiana Mayenja, Daktari wa zamu, Dk Evelyne Tenes na Tabibu wa zamu, Nsallu Masembo kwa tuhuma ya kufanya...
  7. M

    Madaktari watumbuliwa Malinyi

    MADAKTARI WATUMBULIWA - Malinyi MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Mkoa wa Morogoro, Marcelin Ndimbwa amewasimamisha kazi Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya Matimbira, Dk Severiana Mayenja, Daktari wa zamu, Dk Evelyne Tenes na Tabibu wa zamu, Nsallu Masembo kwa tuhuma ya kufanya...
  8. M

    Great thanks to Mr Marcelin R Ndimbwa Mkurugenzi - Malinyi

    Great thanks to Mr Marcelin R Ndimbwa Mkurugenzi - Malinyi... Mwanzo wa kuyathibitisha yaliyoandikwa na kuyajadiri juu ya mapinduzi ya kilimo Wilayani Malinyi umeanza Jana nikiwa na Comrade Muganyizi tulianza safari rasmi ya kuelekea Malinyi rasmi kwa kuwawakilisha kama wanamapokeo wa...
  9. M

    Great thanks to Marcelin R Ndimbwa - DED Malinyi

    Greet thanks to Mr Marcelin R Ndimbwa Mkurugenzi - Malinyi... Mwanzo wa kuyathibitisha yaliyoandikwa na kuyajadiri juu ya mapinduzi ya kilimo Wilayani Malinyi umeanza Jana nikiwa na Comrade Muganyizi tulianza safari rasmi ya kuelekea Malinyi rasmi kwa kuwawakilisha kama wanamapokeo wa...
Back
Top Bottom