Search results

  1. Da Lu

    Naomba kujuzwa fursa za Biashara Madagascar na Mauritius

    Habari zenu Great thinkers? Naomba kujua fursa za biashara zilizopo katika nchi mbili nilizozitaja hapo. Ni bidhaa gani naweza kutoa Tanzania nikapeleka huko au ni bidhaa gani nitaitoa huko nilete Tanzania. Karibuni wapendwa
  2. Da Lu

    Heri ya siku ya furaha ya wanawake wote duniani

    Habari za muda huu wanawake wenzangu.. Napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia Heri na furaha ya siku yetu ya leo duniani. Ujumbe wangu : Tusikubali kukatishwa tamaa, tujitume kwenye fursa chanya. Nawapenda[emoji11][emoji11][emoji11] NB: Kama kuna mtu ana chochote kile cha kutujenga...
  3. Da Lu

    Kitambi kwa mwanamke hupoteza mvuto wa mwili

    Habari za muda huu wapendwa... Kuna tatizo la sasa la wanawake baada ya kujifungua tu, utakuta mtu anafumuka kama anakula amira. Mwaka jana mwezi wa 1 nilibahatika kupata baby boy lakini kwa njia ya operation baada ya kukaa hospitali siku 3 lakini njia iligoma kufunguka nilimshukuru Mungu...
  4. Da Lu

    Mahusiano ya mapenzi ya humu JF yamezaa matunda mazuri?

    Habari za usiku huu mabibi na mabwana, Kwa muda mrefu tangu nianze kusoma topic mbalimbali za wenzetu wanaotafuta wachumba/ wapenzi hivi wapo members waliofahamiana JF wakawa wapenzi hatimaye wakafunga ndoa? Au ndo mwendo tu wakutest mitambo tu basi hebu wajuzi wa hayo mambo njooni mtiririke.
  5. Da Lu

    Hili swala la wanaume kulala usingizi huku mnara unasoma 4G

    Habari zenu jamani Nimeamka zangu niende toilet maana mkojo umebana kichizi, na mara paap naona mnara wa mpenzi wangu umesimama kama nyoka cobra. Na si mara ya kwanza hii, hivi hii ni sawa au kuna tatizo
  6. Da Lu

    Nafasi ya kazi

    Anahitajika kijana wa kiume aliyesomea admistration ngazi ya diploma azibe nafasi ya office administrative awe experience na alichosoma kwa mawasiliano nicheck Pm interview ni kesho saa 4 asubuhi. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Da Lu

    Nauza simu ya iphone 5S

    Habari zenu wakuu humu ndani, Kutokana na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira nimeamua kuuza simu yangu iPhone 5s nimetumia mwezi 1 tu. Bei ni shs.650,000/=.
  8. Da Lu

    Nauza simu yangu iphone 5s

    Habar zenu wakuu humu ndani...Kutokana na ugumu wa maisha na ukosefu ajira nmeamua kuuza simu yangu ambayo nmetumia mwezi tu ili nipate mtaji wa kuanza biashara.
  9. Da Lu

    Written interview TRA

    Jamani waungwana naomba mnisaidie kwa mtu aliyewahi kwenda kwenye written interview TRA je ni maswali gani wanauliza?
Back
Top Bottom